Mr Equalizer
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 611
- 724
Kule Marekani binafsi nawapenda sana viongozi kutoka chama cha Democratic.Huwa nawaona kama viongozi welevu wenye mawazo wa kisasa yanayoenda na wakati.
Sasa kuna hawa jamaa wawili, CLINTON na OBAMA. Hawa viongozi siyo wa kawaida hasa wanapohutubia nawapenda sana. Kwanza muonekano wao ,jinsi wanavyotumia viungo vyao wakati wakihutubia huchoki kuwatazama.
Nani mkali zaidi kati yao?