Nani mkali wa speech kati kati ya Obama na Bill Clinton?

Mr Equalizer

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
611
724
Kule Marekani binafsi nawapenda sana viongozi kutoka chama cha Democratic.Huwa nawaona kama viongozi welevu wenye mawazo wa kisasa yanayoenda na wakati.

Sasa kuna hawa jamaa wawili, CLINTON na OBAMA. Hawa viongozi siyo wa kawaida hasa wanapohutubia nawapenda sana. Kwanza muonekano wao ,jinsi wanavyotumia viungo vyao wakati wakihutubia huchoki kuwatazama.

Nani mkali zaidi kati yao?
 
Sizonje weeee ni nouma huyu jamaa hata anavyotumia viungo sana sana pale anaporusha rusha mikono na kunyosha nyosha vidole na lile koti linavyompwaya kwenye mikono yake weeee utatamani aendelee kuongea huyu jamaa......
 
Ivi magufuli anatoaga speech au analalamika!

Nimejaribu kuangalia speech za akina obama nikafananisha na magufuli duuuh!
 
Hata hizo ni speech pia mkuu [HASHTAG]#upepowapesa[/HASHTAG]
Niliangalia speech ya obama aliposhinda urais mara ya kwanza mwaka 2008 kama sikosei, daaah yan hata kama ni mpinzani lazima utulie tu!!!

Magufuli kama rais anakiwa ajifunze kutoa speech kutoka kwa obama!!
 
Mkuu hawa wote wawili huchoki kuwasikiliza, utapenda wawe wanaongea mda wote, wanajua kuitendea haki hutuba asee

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
pamoja sana
Niliangalia speech ya obama aliposhinda urais mara ya kwanza mwaka 2008 kama sikosei, daaah yan hata kama ni mpinzani lazima utulie tu!!!

Magufuli kama rais anakiwa ajifunze kutoa speech kutoka kwa obama!!
 
Sizonje weeee ni nouma huyu jamaa hata anavyotumia viungo sana sana pale anaporusha rusha mikono na kunyosha nyosha vidole na lile koti linavyompwaya kwenye mikono yake weeee utatamani aendelee kuongea huyu jamaa......
NA akiliweka upande bichwa lake ndo magamba yanafurahi zaidi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom