Nani mkali wa speech kati kati ya Obama na Bill Clinton?

Sizonje weeee ni nouma huyu jamaa hata anavyotumia viungo sana sana pale anaporusha rusha mikono na kunyosha nyosha vidole na lile koti linavyompwaya kwenye mikono yake weeee utatamani aendelee kuongea huyu jamaa......

I dead!
 
True uko sahihi na sipingani na wewe mkuu [HASHTAG]#upepowapesa[/HASHTAG] huyu wa huku kwetu in history alikuwa mchungaji hodari wa ng'ombe kwa hiyo nassi anatupeleka king'ombe ng'ombe hivyo tusitegemee speech nzuri pale maana lile bichwa ni empty....
 
Hawa wasanii waanzishe bendi tu kwa sasa, Obama ataimba (Amazing Grace) Clinton atapiga sax kama kwenye Arsenio Hall Show.

Kwenye hotuba Obama kampita Clinton kwenye delivery. Obama anaweza kutoa speech anavuta hisia kama ana act movie hivi.
 
Ila akitoa mfano mmoja tu....harud kwenye msingi wa hotuba....anaendelea na hotuba kwa mada ya mfano aliotoa....hahahah
Na akitoa mfano mwingine ndani ya uliotangulia hotuba inahama tena. Yaani by the time anashuka jukwaani mnabaki kuulizana, hivi mada ilikuwa nini.
 
Back
Top Bottom