Nani Mbunge bora kuliko wote Tanzania. Piga kura yako hapa.

mtanisamehe mimi nina kikosi hata aje baeca,real,man,arsenal au chelsea anakula bao.
1.mbowe-captain
2.tundu lisu
3.MNYIKA
4.NYERERE
5.MACHEMULI
6MDEE
7.WENJE
8.SUGU
9.ZITO
10.SILINDE
11.DOGO JANJA.

BENCHI
12.HAINES
13.OWENYA
14.MSIGWA

MAJERUHI
LEMA

MTOVU WA NIDHAMU
SHIBUDA(mzee wa og)

COACH
NDESAMBURO

ASST,COACH
SAID ARFI.
 
Naona wote mmejawa na fikra kuwa Mbunge bora ni yule anayesikika zaidi Bungeni
 
Kwa kura zilizopigwa so far
(1)zitto
(2)jj mnyika
(3) Antipas tundu Lissu
(4)deo filkonjombe
(5)january makamba
 
haaaaa mbona wantisha? hakuna wahuni kama wanaoishikilia hii nji kwa sasa

sasa wewe umeambiwa nani mbunge bora kuliko wote unamtaja muhuni,kibaka,jambazi lema alioa dada ako nn emb kua na akili ww taja mbunge co majina ya wahuni c bora ata useme wewe sasa.....
 
hakuna zaidi ya ZITTO KABWE
1.ZITTO KABWE ni bungeni na jimbon kwake anafanza uzuri sana
2.MOHAMED DEWJI ni jimboni kwake anafanz uzur kuwashinda wabunge wote,
3.JANUARY MAKAMBA ni bungeni na jimbo anajitaidi
4.JOHN MNYIKA ni bungeni tu jimboni hakuna kitu
5.GODFREY ZAMBI ni bungen jimbon hakuna kitu
6.DEO FILIKUNJOMBE ni bungen na jimboni anajitaidi angalau
7.NDESAMBURO ni jimboni anajitaid sana huyu mzee.
 
Nadhani babu ndesa atakuwa bora kwa uzalendo na kuwajali wananchi wake!
 
Back
Top Bottom