Nani Mbunge bora kuliko wote Tanzania. Piga kura yako hapa.

yaani wabongo hovyo sana sometimes.....kwanini mnapenda vitakwimu ambavyo havitawasaidia????? ukishajua then iweje???
 
yaani wabongo hovyo sana sometimes.....kwanini mnapenda vitakwimu ambavyo havitawasaidia????? ukishajua then iweje???
is the part of motivation and performance apraisal for them and for the benefit of ths nation and the commin generations.
 
Philemon Ndesamburo

anapita kwenye serikali za mitaa na kumaliza matatizo ya wananchi hapohapo!

anatoa ajira za kudumu kupitia kampuni zake bila kuchagua kabila, rangi, dini wala jinsia

shule nyingi za kata, upatikanaji wa maji safi ndani ya jimbo lake la uchaguzi na hata kwenye majimbo mengine anapotembelea

alitoa gari yake ya ubunge iwe ambulence hospitali ya mkoa, ccm wakasema wizara hawana budget dereva akamwajiri dereva na maf ya mafuta uta ya hiyo gari yanajazwa kituoni kwake

wodi za wanawake na watoto za hospitali ya mkoa alizigharamia magodoro vitanda na mosquito nets

NANI KAMA NDESAMBURO?
 
Ukitoa Shibuda wabunge wote wa CDM ni moto mkali! Hawacheki na nyani shambani.

Karatu,Mbulu,ukerewe chadema ilishinda but wabunge wake wanazidiwa na watu kama Deo Filikunjombe,Said Nkumba.usiishi kwa kukariri wabunge wa viti maalum Chadema hawana tofauti na wenzao wa Ccm,hivi Mama Kaihula wa CDM anatofauti gan na Mama Madabida wa CCM wote mabubu!
 
zitto zuberi kabwe-mzalendo hasa,mie hata akigombea urais,he has my vote....
 
Back
Top Bottom