Nani Mbunge bora kuliko wote Tanzania. Piga kura yako hapa.

Wadau katika bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mbunge yupi unampa heshima ya kuwa mbunge bora kuliko wote? Vigezo ni uzalendo,kujiamini,kujitoa kwa ajili ya Taifa,msimamo kwa maslahi ya taifa,Jasiri,mbunifu katika kuwasaidia wananchi,ukaribu wake na wananchi,ushirikiano na viongozi wenzake,uwazi, uaminifu na umakakini.

RED: Mh. Zitto Kabwe
BLUE:Mh. Nimrod Mkono
GREEN:Mh. John Mnyika

GENERAL: Mh. Tundu Lissu
 
Wadau katika bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mbunge yupi unampa heshima ya kuwa mbunge bora kuliko wote? Vigezo ni uzalendo,kujiamini,kujitoa kwa ajili ya Taifa,msimamo kwa maslahi ya taifa,Jasiri,mbunifu katika kuwasaidia wananchi,ukaribu wake na wananchi,ushirikiano na viongozi wenzake,uwazi, uaminifu na umakakini.

J. Mnyika
 
John Mnyika
serious talks, accountable, feasible move, good social profile.
 
Augustine Lyatonga Mrema

pata kinywaji kwa bill yako,,,,tukikutana unidai,,,lyatonga bwana the best,,,baharin wavumao papa,,,,,yeye ni mtumishi wa watu,,,nenda jimboni kwake hawajuti,,,anamentain,,,sana,,,,,,:spy:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom