Nani Mbunge bora kuliko wote Tanzania. Piga kura yako hapa.

Kwa upande wangu, ni Mbunge Wangu anayejitoa kwa Taifa hili ni KAMANDA LEMA,sisi bado tunamwita Mbunge

sasa wewe umeambiwa nani mbunge bora kuliko wote unamtaja muhuni,kibaka,jambazi lema alioa dada ako nn emb kua na akili ww taja mbunge co majina ya wahuni c bora ata useme wewe sasa.....
 
kuna huyu wa karatu tutamuweka katika kundi gani? maana kama ni ukimya yeye ni zaidi ya wasira, kama ni utendaji tunampa 0% na kama ni kuongea uongo anamshinda pinda,naomba mnisaidie wana jf
:shock:
 
Ukitoa Shibuda wabunge wote wa CDM ni moto mkali! Hawacheki na nyani shambani.
 
Steven Wassirra maana jamaaa analala sana bungeni. Umahiri ule umezidi hata rafiki yangu "Kapteni".
 
Wabunge wazuri wapo wengi sana hasa kwa kambi ya upinzani CDM wote ni wazuri wana fanya kazi kitimu.
1.freeman Mbowe 2.Tundu Lisu3.John Mnyika 4.Zito Kabwe 5.Halima Mdee 6.Vicent Nyerere 7.Mchungaji Msigwa na wengineo

usiusemee moyo, hao wanapiga kelele tu kwa sababu wako nje ya system wakiingia kwenye maamuzi ya kinchi mtashangaa sana!
 
sasa wewe umeambiwa nani mbunge bora kuliko wote unamtaja muhuni,kibaka,jambazi lema alioa dada ako nn emb kua na akili ww taja mbunge co majina ya wahuni c bora ata useme wewe sasa.....
kweli lema ni muhuni kwani anawavua magamba kwenda mbele pili alimwita pinda muongo hadi leo kimya tatu mgojeni dar mtasikia mziki wake!
 
kama kwa usingizi, ni stephen wasila

Amesinzia mara ngapi?
mamajak naona unawashwa na huyo mzee wa wtu, unampenda eeehh!!! mbona wanaosinzia ni wengi kama komba, lwenge,nkya,lowasa,mrema,mama hewa n.k unashadadia utafikiri umezaa nae halafu akakuacha.
 
Wadau katika bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mbunge yupi unampa heshima ya kuwa mbunge bora kuliko wote? Vigezo ni uzalendo,kujiamini,kujitoa kwa ajili ya Taifa,msimamo kwa maslahi ya taifa,Jasiri,mbunifu katika kuwasaidia wananchi,ukaribu wake na wananchi,ushirikiano na viongozi wenzake,uwazi, uaminifu na umakakini.
Hakuna wote ni wanafki
 
Back
Top Bottom