wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,688
- 26,796
Yaa ni kweliKuna ruhusa na wajibu.
Kama imeandikwa anaruhusiwa nadhhani sheria haimkalifishi pale ambapo ataamua asichague
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaa ni kweliKuna ruhusa na wajibu.
Kama imeandikwa anaruhusiwa nadhhani sheria haimkalifishi pale ambapo ataamua asichague
Exactly, kwa toleo hili la 2010,la katiba ya zanzibar ya mwaka 1984 ,chama cha upinzani kilichozidi 10% ya viti vya ubunge (majimbo) ndicho kitakachotoa makamo wa kwanza wa rais ....hivyo kina ACT-WAZALENDO watapendekeza jina kwa Rais wa zanzibar kama ilivyokua kwa the late.Asante , lakini Maalim pamoja na mambo Mengine aliteuliwa baada ya kupendekezwa na chama chake , sasa huyu mwingine atakayekuja naye atapitia njia hii hii ?
Hivi ni nani aliekuwa mgombea mwenza wa the late maalim Seif?.
Nassoro MazruiMaandalizi ya siasa zijazo baada ya Maalim
- Mansour Yussuf Himid
- Juma Duni Haji
Hivi Mansour ni mtu wa Unguja ?Maandalizi ya siasa zijazo baada ya Maalim
- Mansour Yussuf Himid
- Juma Duni Haji
Jussa ni mtu wa Unguja pia ?Jussa ismail
Babu Duni Juma Haji anatosha sana.Maandalizi ya siasa zijazo baada ya Maalim
- Mansour Yussuf Himid
- Juma Duni Haji
Wasubiri kwanza hata tuzike asee.. ndio waanze uroho wao wa vyeo na madaraka
Jussa ni mtu wa Unguja pia ?
Hivi Mansour ni mtu wa Unguja ?
1. Mansour Yussuf Himid
2. Ismail Jussa
3. Juma Duni Haji
4. Nassoro Mazrui.
Sawa nimekupata vizuri lakini Mansour inaonekana bado ni mchanga katika siasa za upinzani itawezekana kweli ACT kupendekeza jina lake ?
- nassor mazrui haitowezekana kuwa makamo kwa sababu ameteuliwa kuwa muakilishi na raisi, muda wowote anaweza kuziba nafasi ya uwaziri katika ya wizara mbili walioachiwa ACT. makamo wa kwanza haingii kwenye baraza la wawakilishi
- kuhusu Jussa sidhani kama itawezekana kuchaguliwa, nitakupa sababu zangu private kama utahitaji (jussa ni rahisi kumchafua mbele ya jukwaa)
- mansour na Duni ndio wabeba maono wa upinzani na wote wameshajijengea mvuto mbele ya hadhira, wote ni wazungumzaji na wahamisishaji wazuri
Nazihitaji hizo sababu za Jussa kutokupendekezwa jina lake.
- nassor mazrui haitowezekana kuwa makamo kwa sababu ameteuliwa kuwa muakilishi na raisi, muda wowote anaweza kuziba nafasi ya uwaziri katika ya wizara mbili walioachiwa ACT. makamo wa kwanza haingii kwenye baraza la wawakilishi
- kuhusu Jussa sidhani kama itawezekana kuchaguliwa, nitakupa sababu zangu private kama utahitaji (jussa ni rahisi kumchafua mbele ya jukwaa)
- mansour na Duni ndio wabeba maono wa upinzani na wote wameshajijengea mvuto mbele ya hadhira, wote ni wazungumzaji na wahamisishaji wazuri
za nyuma ya pazia (kutoka radio wananchi), maalim alimpendekeza kijana awe makamo wa raisi lakini hussen alikataa.Sawa nimekupata vizuri lakini Mansour inaonekana bado ni mchanga katika siasa za upinzani itawezekana kweli ACT kupendekeza jina lake ?
mvuto ndio unaongaliwa zaidi na wananchi husasani vijana....kitendo cha mansuri kuhama CCM na kuelekea upinzani kilipelekee ajiongezee namba ya wananchi wenye imani kwake.Nazihitaji hizo sababu za Jussa kutokupendekezwa jina lake.
Lakini pia ningependa unipe tathmini yako Jussa ameweza kuwa katika siasa za upinzani kwa takribani miaka 20 kutokea Unguja wakati nguvu ya vyama vya upinzani Zanzibar iko Pemba ?
Sawa lakini ccm watakuwa tayari kushirikiana na Mansour iwapo jina lake litapendekezwa ?mvuto ndio unaongaliwa zaidi na wananchi husasani vijana....kitendo cha mansuri kuhama CCM na kuelekea upinzani kilipelekee ajiongezee namba ya wananchi wenye imani kwake.