Nani kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar baada ya kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad?

Na wewe mwandika bandiko huna utu,hata kidogo,mtu hajazikwa unaanza kubashiri warithi wa cheo?
Kuwa na utu japo kidogo,subiri azikwe ndo mengine yaendelee,ungekua nduguyo wa karibu,ungefurahi watu wajadili namna hiyo?
Mbona Bashiru Ally kateuliwa kabla hata mashada hayajanyauka ?
 
Back
Top Bottom