Nani kamfukuza Rais wetu Dar?

Nani kamfukuza Rais wetu Dar?

Mkuu mimi nimeshangaa sana. Kwanini waziri mkuu anafanya monkey business? Yaani mzuku umepanda nahamia Dodoma!!!! Je budget hiyo imepitishwa na nani? Mawaziri wanaenda huko na naibu wao budget hiyo imepishwa wapi? Wakuu wa taasisi wote na idara zao wataishi huko kwa pesa za budget ipi? it's monkey business

Mkuu:
-Kuhusu Waziri mkuu kuhamia Dodoma hilo halihitaji tamko lake, ikumbukwe kwamba ofisi yake ipo Dodoma tangu enzi za Mh. Rashid Mfaume Kawawa (R.I.P) ni Mawaziri wakuu watatu tu walio kuwa na dhamira ya dhati kuhamia Dodoma (Kawawa;Sokoine;Msuya) hawa walikuwa na nyumba zao huko, wengine wote ni porojo.
-Ifahamike kwamba mfanyakazi yeyote aliyepo Dar. yupo kwenye ofisi ndogo na inawezekana wanajilipa masurufu wakiwa Dar.
Sasa bajeti gani ya Waziri Mkuu ya kuhamia Dom. inahitajika?

Na hii inadekezwa na chama (CCM) makao makuu ya chama ni Dom lakini viongozi wake wote wapo Dar kwenye ofisi ndogo na hivi karibuni imeboreshwa .....Kulikoni?.
 
By the way, kuna sheria au kanuni yoyote iliyovunjwa kwa kitendo cha serikali kuanza kuhamia Dodoma?
 
Uamuzi wa kuhamia dodoma ulifanywa na nyerere sio jpm, kumbuka nyumba za mawaziri zilijengwa na npf, tatizo humu jf sikuhizi watoto wengi.
 
Uamuzi wa kuhamia dodoma ulifanywa na nyerere sio jpm, kumbuka nyumba za mawaziri zilijengwa na npf, tatizo humu jf sikuhizi watoto wengi.
 
Asipohama mtamunanga tena mbona amechelewa, anataka kuondoka kelele kibao, nyie watanzania mmelogwa na nani?, muacheni rais wetu atimize azima ya taifa ya muda mrefu ya kihamisha serikali Dodoma, suala la hela anajua yeye maana ndio mkuu, huwezi ukahoji matumizi ya baba yako wewe mtoto wa miaka minne, hujui baba yako anapata wapi hela, na serikali inajua itapata wapi hela nyie ngedere tulieni serikali itimize wajibu wake, mnadandia matukio tu, hoja hamna.

Ati tusihoji anapata wapi hela wakati tunalipa kodi. Hata kwa baba yako ungekuwa unalipa kodi kwake ungeuliza tu. Mfano gani huo....
 
Uamuzi wa kuhamia dodoma ulifanywa na nyerere sio jpm, kumbuka nyumba za mawaziri zilijengwa na npf, tatizo humu jf sikuhizi watoto wengi.
Akafanya uamuzi halafu yeye mwenyewe hakuhamia mpaka akang'atuka na kuwaachia wenzake msala!
 
Nimemsiliza Mbunge wa Geita Vijijini maarufu kama Msukuma anasema itakuwa karibu na Geita. Naamini Rais anarahisisha kwenda Chato kipindi cha mapumziko maana usafiri wa ndege ana allergy nao
2019 basi Ikulu itahamia GEITA
 
Kanumba hajafa na bongo movie.

Zidi kutega sikio, utasikia mengi tu.
 
Dar imeshakuwa mali ya CHADEMA /UKAWA, hujasikia mtifuano unaoendelea kati ya viongozi wa ccm na chadema huko Dar? Sasa hv wala haijulikani nani mwenye sauti ya mwisho kati ya halmashauri (chadema) na serikali kuu (ccm), pia ccm imeona kuwa ikiendelea kukomaa na mipango ya maendeleo hapo Dar mwisho wa cku sifa zitaenda kwa ukawa hivyo kitengo kimemshauri mkulu aende akafanyie mambo yake dodoma ambayo ni ya ccm 100%
 
.
Mh! Naona umesahau kutumia qualifiers kama vile huenda, inawezekana, yamkini, nk
 
Back
Top Bottom