Nakubaliana nawewe mkuu, kuhamia dodoma sio suala la kufa na kupona, ilitakiwa kujipanga kwa kika wizara kuanda miundo mbinu yake na kuweka malengo kulingana na budget zao, na srikali kwa unumla wake isaidie ili wizara ziweze kutimiza makengo yake lakini sizote kwa wakati mmoja.Lakini cha kushangaza, pamoja na maswali yako haya yanayohitaji majibu mazuri kwa Mustakabali wa Ustawi wa Taifa letu, kati ya jana na leo, WASOMI wamepongeza uamuzi huu wa kuhamia Dodoma. Ni jambo jema lakini lilihitaji ratiba kamili.
Hao ndo wasomi wetu, hata kujenga hoja zenye ushauri hawana. Wasomi washiriki kutoa maoni chanya yenye kujenga. Kipekee, mimi binafsi naona kama Taifa, tunayo mambo mengi ambayo tulitakiwa kuyatekeleza kwanza, hilo la kuhamia Dodoma lingepewa kipaumbele, lakini baadae kidogo.
Makao makuu ya nchi yako Dodoma sehemu gani na lini nchi iliwahi kuendeshwa kutokea Dodoma?Dodoma ndipo yalipo makao makuu ya nchi. Na hili si la Magufuli. Tatizo nchi hii ina vijana wengi ambao historia hawana. Zaidi ya miaka 20 tangu uamuzi wa kuhamia Dodoma, leo hii tunahoji nini?
Don't take it serious mambo mengine magufuli anaongea kufurahisha hadhira ili apate mass popularity,but deep inside him alicho kiongea sicho anacho maanisha.Mh Rais na Serikali yake hawakuwa na mpango wa kuhamia Dodoma at least mpaka may mwaka huu na sijui hii ghafla kashauliwa na nani. Hebu angalia yafuatayo
Kwa sababu hizi na nyingine lukuki, napatwa na wasiwasi, nani kamfukuza Mh Rais Dar? Magogoni kuna nini?
- Kama angekuwa na huu mpango katika bujeti ya 2016/2017 wangeweka fungu la kuhama, lakini hakuna fungu la serikali kuhama katika bajeti hii
- Kama angepanga kuhama mapema kiasi hiki waziri mkuu katika majumuisho yake katika bunge la bajeti angetoa taarifa hii ili kuwapa mawaziri taarifa rasmi na muda wa kuhama. lakini hili halikufanyika
- Kama angekuwa na mpango wa kuhama mapema kiasi hiki CCM wasingehangaika kulazimisha kuchakachua matokeo ya umeya wa jiji (wote mnakumbuka zile sarakasi). Hii ni kwasababu wangujua kuwa wanahama na DODOMA ni ngome yao hivyo wasingepata wasiwasi wa eti rais hawezi kuwa katika jiji linaloongozwa na UKAWA.
- Kama angekuwa na mpango wa kuhama, nna uhakika asingepeleka bil 12 mahakamani kwa mkupuo wakati wizara zake zote hazina bujeti ya kuhamia Dodoma katika fedha walizotenga.
- Kama angekuwa na mpango wa kuhama mapema kiasi hiki asingejikita katika ujenzi wa flyover Dar eti ili kupunguza foleni wakati barabara za Dodoma ni nyembamba ka mti, angesubili serikali ihamie Dodoma ili wafanye assessment kama bado kuna ulazima wa hizo flyover Dar hasa baada ya wafanyakazi wa serikali kuhamia Dodoma
- Kama angekuwa anampango wa kuhama mapema, asingezuia miradi mipya ya NHC kuendelea hasa ile ya Dodoma, kwa kuzingatia uhitaji wa nyumba utakaoongezeka katika mji huo mkuu
akiendelea kukaa ikulu ya magogoni nafsi inamsuta, kwani kile kiti kilikuwa kinamwenyewe yaani EDWADO. Isitoshe NA UKAWA NDO WENYE JIJI, kila akigeuka kulia au kushoto kuna jotoDodoma ndipo yalipo makao makuu ya nchi. Na hili si la Magufuli. Tatizo nchi hii ina vijana wengi ambao historia hawana. Zaidi ya miaka 20 tangu uamuzi wa kuhamia Dodoma, leo hii tunahoji nini?
Ntakipataje hiki kitabu nakitafuta sana..Atakuwa amesoma kitabu cha Yericko Nyerere
Hivi wewe unaelewa maana halisi ya MAKAO MAKUU YA NCHI kweli!?Dodoma ndipo yalipo makao makuu ya nchi. Na hili si la Magufuli. Tatizo nchi hii ina vijana wengi ambao historia hawana. Zaidi ya miaka 20 tangu uamuzi wa kuhamia Dodoma, leo hii tunahoji nini?
.
Kwa hiyo una uhakika na maneno haya?:
"Dar imeshakuwa mali ya CHADEMA /UKAWA"
"Mtifuano una...endelea kati ya viongozi wa ccm na chadema huko Dar"
"Sasa hv ... haijulikani nani mwenye sauti ya mwisho kati ya halmashauri (chadema) na serikali kuu (ccm),"
"ccm imeona kuwa ikiendelea kukomaa na mipango ya maendeleo hapo Dar mwisho wa cku sifa zitaenda kwa ukawa"
"hivyo kitengo kimemshauri mkulu aende akafanyie mambo yake dodoma ambayo ni ya ccm 100%."
DAH kweli wakati akifanya vitu vyakeAmekimbia yale Magorofa marefu yale karibia na ikulu, watu wanamchungulia.
tena na hao wanafunzi naambiwa wakipewa mikopo wanatumia ovyoovyo,watanzania wenzangu nasema kwa dhati toka moyoni,nawahakikishieni mkinipa ridhaa hao wote nitarara nao mbereNi gorofa lipi zuri mkuu ili namimi nikachungulie kidogo
Kizuri zaidi ya sana ngoja nimwambie Yericko Nyerere aje akwambie utakipataje mimi nilikisoma kdg tu kuna askari akaniombaNtakipataje hiki kitabu nakitafuta sana..
Ukawa Kwa upande wa kuhamia Dodoma hawana tatizo kabsa wanakubali Kwa dhati , lakini Udikteta wa kuzuia mikutano na Udikteta wa spika na ile kamati ya mkuchika ndilo Adui ya Ukawa .UKAWA ni Kiboko
Wamewafukuza mafisadi kwenye jiji la kimataifa DSM. Nendani huko kwa wagogo mtuachie Dsm yetu!! Hatutawaachia hadi dahari!! Yaliogopa kufanyia siku ya mashujaa DSM kwa woga wa Meya kushiriki!!
Ok Dsm ni Mji mkuu wa UKAWA na Dodoma mji mkuu wa CCM!!
Very good!!
Harufu ya samaki, pia ikulu ipo Jirani na Bahari nyambizi za Adui ni rahisi kupenya usiku ,vilevile kero ya foleni na misafara inatakiwa ipunguzwe ili jiji lipumumue na kuharakisha maendeleo , wanataka Dodoma paendelee Kwa kasi huku mikoa yote ikipiga Hatua zaidi za maendeleo .Mh Rais na Serikali yake hawakuwa na mpango wa kuhamia Dodoma at least mpaka may mwaka huu na sijui hii ghafla kashauliwa na nani. Hebu angalia yafuatayo
Kwa sababu hizi na nyingine lukuki, napatwa na wasiwasi, nani kamfukuza Mh Rais Dar? Magogoni kuna nini?
- Kama angekuwa na huu mpango katika bujeti ya 2016/2017 wangeweka fungu la kuhama, lakini hakuna fungu la serikali kuhama katika bajeti hii
- Kama angepanga kuhama mapema kiasi hiki waziri mkuu katika majumuisho yake katika bunge la bajeti angetoa taarifa hii ili kuwapa mawaziri taarifa rasmi na muda wa kuhama. lakini hili halikufanyika
- Kama angekuwa na mpango wa kuhama mapema kiasi hiki CCM wasingehangaika kulazimisha kuchakachua matokeo ya umeya wa jiji (wote mnakumbuka zile sarakasi). Hii ni kwasababu wangujua kuwa wanahama na DODOMA ni ngome yao hivyo wasingepata wasiwasi wa eti rais hawezi kuwa katika jiji linaloongozwa na UKAWA.
- Kama angekuwa na mpango wa kuhama, nna uhakika asingepeleka bil 12 mahakamani kwa mkupuo wakati wizara zake zote hazina bujeti ya kuhamia Dodoma katika fedha walizotenga.
- Kama angekuwa na mpango wa kuhama mapema kiasi hiki asingejikita katika ujenzi wa flyover Dar eti ili kupunguza foleni wakati barabara za Dodoma ni nyembamba ka mti, angesubili serikali ihamie Dodoma ili wafanye assessment kama bado kuna ulazima wa hizo flyover Dar hasa baada ya wafanyakazi wa serikali kuhamia Dodoma
- Kama angekuwa anampango wa kuhama mapema, asingezuia miradi mipya ya NHC kuendelea hasa ile ya Dodoma, kwa kuzingatia uhitaji wa nyumba utakaoongezeka katika mji huo mkuu
Sasa vyumba na nyumba za kupanga zitakuwa Dili Dodoma uwekezaji wa kasi juu ya nyumba za kupanga unahitajika sasa wenye uwezo Nina hakika sasa wameenda kununua viwanja tayari .UKAWA tunatisha baada ya Dodoma tutaambiwa MWANZA hiyo Dodoma toka nimezaliwa nasikia watahamia leo ghafla bin vuu muasisi alitamani sana ahamie lakini CDA ikamuangusha itasababisha wagogo wapangishe chumba kimoja 150,000/=
Wengi wao ukiwauliza makao makuu ya nchi ni mkoa gani husihia kusema ni Dar Es Salaam,hawajui huu uamuzi ulichukuliwa miaka mingi ya nyuma,na hili jambo la kuhamisha makao makuu Tanzania sio ya kwanza Kuna Nigeria,Kuna Malawi ,Brazil.Tatizo watoto wa siku hizi wamebaki kukariri akina Dangote na ujinga wa magazeti ya udakuDodoma ndipo yalipo makao makuu ya nchi. Na hili si la Magufuli. Tatizo nchi hii ina vijana wengi ambao historia hawana. Zaidi ya miaka 20 tangu uamuzi wa kuhamia Dodoma, leo hii tunahoji nini?
hamna anaehoji makao makuu yako wapi, kila mtu analifahamu hilo, kinachohojiwa ni huku kukurupuka, huu uamuzi haukuwepo June, ghafla july watu wanataka kuhamia Dodoma September, what is cooking behindWengi wao ukiwauliza makao makuu ya nchi ni mkoa gani husihia kusema ni Dar Es Salaam,hawajui huu uamuzi ulichukuliwa miaka mingi ya nyuma,na hili jambo la kuhamisha makao makuu Tanzania sio ya kwanza Kuna Nigeria,Kuna Malawi ,Brazil.Tatizo watoto wa siku hizi wamebaki kukariri akina Dangote na ujinga wa magazeti ya udaku
Aaah!! Mkuu nayeye atahamia dom!cpatii picha kwa makonda
Well said mkuu! Hata juz kwenye likao lao ajenda kuu ilikuwa ni kujikosha+kujifariji! Mpka walienda kinyume na kina jecha wao wakidai ushnd wa 100%!!UKAWA tunatisha baada ya Dodoma tutaambiwa MWANZA hiyo Dodoma toka nimezaliwa nasikia watahamia leo ghafla bin vuu muasisi alitamani sana ahamie lakini CDA ikamuangusha itasababisha wagogo wapangishe chumba kimoja 150,000/=