.Nimeishia kucheka tu mkuu, mimi professionally am not a journalist. thanks anyway
Haya bwana!
.Nimeishia kucheka tu mkuu, mimi professionally am not a journalist. thanks anyway
Serikali ikihamia Dodoma ni wazi taasisi nyingi za umma na hata binafsi zitahamia Dodoma. Aidha mabalozi, mashirika ya kimataifa yote yataelekea Dodoma!Unataka kutuambia kuwa flyover wanajengewa watumishi wa mawizara waliopo Dar? wapo wangapi kwanza?
Haya magharama unayoyazungumzia ni nauli?..Je? Dodoma unapafahamu au ni mihemko?Mh Rais na Serikali yake hawakuwa na mpango wa kuhamia Dodoma at least mpaka may mwaka huu na sijui hii ghafla kashauliwa na nani. Hebu angalia yafuatayo
Kwa sababu hizi na nyingine lukuki, napatwa na wasiwasi, nani kamfukuza Mh Rais Dar? Magogoni kuna nini?
- Kama angekuwa na huu mpango katika bujeti ya 2016/2017 wangeweka fungu la kuhama, lakini hakuna fungu la serikali kuhama katika bajeti hii
- Kama angepanga kuhama mapema kiasi hiki waziri mkuu katika majumuisho yake katika bunge la bajeti angetoa taarifa hii ili kuwapa mawaziri taarifa rasmi na muda wa kuhama. lakini hili halikufanyika
- Kama angekuwa na mpango wa kuhama mapema kiasi hiki CCM wasingehangaika kulazimisha kuchakachua matokeo ya umeya wa jiji (wote mnakumbuka zile sarakasi). Hii ni kwasababu wangujua kuwa wanahama na DODOMA ni ngome yao hivyo wasingepata wasiwasi wa eti rais hawezi kuwa katika jiji linaloongozwa na UKAWA.
- Kama angekuwa na mpango wa kuhama, nna uhakika asingepeleka bil 12 mahakamani kwa mkupuo wakati wizara zake zote hazina bujeti ya kuhamia Dodoma katika fedha walizotenga.
- Kama angekuwa na mpango wa kuhama mapema kiasi hiki asingejikita katika ujenzi wa flyover Dar eti ili kupunguza foleni wakati barabara za Dodoma ni nyembamba ka mti, angesubili serikali ihamie Dodoma ili wafanye assessment kama bado kuna ulazima wa hizo flyover Dar hasa baada ya wafanyakazi wa serikali kuhamia Dodoma
- Kama angekuwa anampango wa kuhama mapema, asingezuia miradi mipya ya NHC kuendelea hasa ile ya Dodoma, kwa kuzingatia uhitaji wa nyumba utakaoongezeka katika mji huo mkuu
Mh Rais na Serikali yake hawakuwa na mpango wa kuhamia Dodoma at least mpaka may mwaka huu na sijui hii ghafla kashauliwa na nani. Hebu angalia yafuatayo

AMEJIPANGA HUYO NI MZEE WA MAAMUZISerikali ikihamia Dodoma ni wazi taasisi nyingi za umma na hata binafsi zitahamia Dodoma. Aidha mabalozi, mashirika ya kimataifa yote yataelekea Dodoma!
Kwa hiyo si ajabu msongamano Dar ukapungua kwa kiwango kikubwa!! Fikiria msongamano uliopo Dar asubuhi na jioni wakati wafanyakazi wanakwenda kazini na kurudi makwao utakwisha kabisa!!
Ukawa kweli tuna tisha , ccm wanaikimbia dar ? sasa tujitahidi 2020 tuwabadilishe wagogo ili huko nako wakimbie tena ..teh teh teh ...kwnn tutaichukua manspaa ya dodoma ? Makabila yanayoichukia ccm yatahamia pale ...eg wanyakyusa ..wakinga ..wachaga ..waha ...wanyiha ...wakiingia hapo dodoma , bc inakuwa rahisi sana kuwakimbiza ccm hata hapo dodoma
Kinachokushangaza nini hapo. Rais wetu alilieleza hilo la kuhamia Dodoma hata kabla ya kuchaguliwa kuwa Rais wa JMT. Nia anayo na uwezo anao.Mh Rais na Serikali yake hawakuwa na mpango wa kuhamia Dodoma at least mpaka may mwaka huu na sijui hii ghafla kashauliwa na nani. Hebu angalia yafuatayo
Kwa sababu hizi na nyingine lukuki, napatwa na wasiwasi, nani kamfukuza Mh Rais Dar? Magogoni kuna nini?
- Kama angekuwa na huu mpango katika bujeti ya 2016/2017 wangeweka fungu la kuhama, lakini hakuna fungu la serikali kuhama katika bajeti hii
- Kama angepanga kuhama mapema kiasi hiki waziri mkuu katika majumuisho yake katika bunge la bajeti angetoa taarifa hii ili kuwapa mawaziri taarifa rasmi na muda wa kuhama. lakini hili halikufanyika
- Kama angekuwa na mpango wa kuhama mapema kiasi hiki CCM wasingehangaika kulazimisha kuchakachua matokeo ya umeya wa jiji (wote mnakumbuka zile sarakasi). Hii ni kwasababu wangujua kuwa wanahama na DODOMA ni ngome yao hivyo wasingepata wasiwasi wa eti rais hawezi kuwa katika jiji linaloongozwa na UKAWA.
- Kama angekuwa na mpango wa kuhama, nna uhakika asingepeleka bil 12 mahakamani kwa mkupuo wakati wizara zake zote hazina bujeti ya kuhamia Dodoma katika fedha walizotenga.
- Kama angekuwa na mpango wa kuhama mapema kiasi hiki asingejikita katika ujenzi wa flyover Dar eti ili kupunguza foleni wakati barabara za Dodoma ni nyembamba ka mti, angesubili serikali ihamie Dodoma ili wafanye assessment kama bado kuna ulazima wa hizo flyover Dar hasa baada ya wafanyakazi wa serikali kuhamia Dodoma
- Kama angekuwa anampango wa kuhama mapema, asingezuia miradi mipya ya NHC kuendelea hasa ile ya Dodoma, kwa kuzingatia uhitaji wa nyumba utakaoongezeka katika mji huo mkuu
Mtazamo hafifu na finyu sana.
Hoja hiyo inakuhusu pia! Unafanya nini hapa JF saa hizi umemaliza kazi?KAFANYENI KAZI ITAWASAIDIA KUONGEZA KIPATO JAMANI DUH!
mji wa biashara utabaki Dar es salaam usijidanganyemiji iliyo karibu na dodoma kukua,biashara kuongezeka na gharama ya kusafirisha mazao ya kilimo na ufugaji kupungua,mengi yataishia dom.Uchumi wa maeneo karibu na dodoma kukua.
Wale wabunge wanaohamia DSM na kurudi majimboni kipindi cha uchaguzi sijui watasingizia nini maana walikuwa wanasingizia kwenda wizara mbali mbali kushughulikia kero za wapiga kura wao. Sasa mambo yote yatakuwa yamerahisishwa watafute sababu nyingine....Mahudhurio bungeni yataongezeka.
Ni zaidi ya MIAKA 40. Kweli Tatizo nchi hii vijana wengi hawaijui historia ya nchi yao ikiwa ni pamoja na wewe. Kumradhi sana.!!!!!Dodoma ndipo yalipo makao makuu ya nchi. Na hili si la Magufuli. Tatizo nchi hii ina vijana wengi ambao historia hawana. Zaidi ya miaka 20 tangu uamuzi wa kuhamia Dodoma, leo hii tunahoji nini?
.Serikali ikihamia Dodoma ni wazi taasisi nyingi za umma na hata binafsi zitahamia Dodoma. Aidha mabalozi, mashirika ya kimataifa yote yataelekea Dodoma! Kwa hiyo si ajabu msongamano Dar ukapungua kwa kiwango kikubwa!! Fikiria msongamano uliopo Dar asubuhi na jioni wakati wafanyakazi wanakwenda kazini na kurudi makwao utakwisha kabisa!!
Magogono ndio wapi tena au ndo kuvurugwa?Ina maana magogono patabaki kama makumbusho ya taifa auu?? Afadhal tupatege pa kupigia picha