Mimi nimejaribu na kusaidia watu watatu no zao za nida walipata ila lazima uwe na 100 salio la kawaida, majina yako matatu na no yako ya simu ambayo uliiandika wakati kusajili kitambulisho cha Nida, hata kama hiyo laini imepotea au uitumii Kwa Sasa na k Wana majibu matatu(1)Kama akijatoka wanakuambia(OMBI LAKO LINAENDELEA KUSHUGHULIKIWA (2)Kama kimetoka wanakuambia (Ndugu Jumaa Salimu,kitambulisho chako Kimegaiwa tafadhali fika ofisi ya Nida of Tanga.Kwa msaada zaidi piga 0573333444.NIN 19851209211100000127)(3)kama a Kipo wanakuambia (taarifa zako hazipatikani)