BangiNyeusi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 490
- 593
Buku 2 langu bora ningevutia tu 














Mi nilijaribu kwa namba ya tigo nikaambiwa taarifa zangu hazijapatikanaKwa namba za VODACOM wanajibu hapo hapo lakini kama unatumia TIGO hawajibu kabisa.
Mitandao mingine sijajaribu
Unaweza,kuna malipoMi nilijibiwa ..nna swali hivi ukipoteza kitambulisho unaweza kurenew?
Asante kwa kunifuta tongotongoInategemea na namba ya simu uliosajilia NIDA,kama ulisajili namba tofauti na ile unayopiga *152*00#
Ofcoz majibu huwezi kupata utaishia kupoteza tu hio mia yako
Leo nimewazukia na hasira pipa wanipe kitambulisho au namba jamaa ananajibu kitambulisho Bado namba kaangalie kwenye simu!
Jibu nililompa SITOKI HUMU OFISINI HADI UMENIPA NAMBA
Pole kwa kuliwa hela na hongera kwa kuambiwa Kiko tayariMi nimeuliza nikapewa namba na kuambiwa kitambulisho kiko tayari nikifuate. Ila nimeshaliwa kama zaidi ya buku kwa kuulizia tu siku za nyuma
Thanx mkuu namba nimepata mi nilikuwa naangalia kwa namba ambayo sijasajilia,kwa kufuata hii comment yako nimetumia namba niliosajilia/ kujiandikishiaInategemea na namba ya simu uliosajilia NIDA,kama ulisajili namba tofauti na ile unayopiga *152*00#
Ofcoz majibu huwezi kupata utaishia kupoteza tu hio mia yako
Thanx mkuu namba nimepata mi nilikuwa naangalia kwa namba ambayo sijasajilia,kwa kufuata hii comment yako nimetumia namba niliosajilia/ kujiandikishia
mbona mimi walijibu fasta cha msingi namba uliyojaza kwenye fomu ishabihiane nje na hapo utangoja sana unless labda kama hawajaingiza kwenye database yaoHao jamaa ni wababaishaji hawajibu ni kutulia 100/= zetu tu
BusweluOfisi ya nida mwanza airport iko mahali gani?
Si lazima simu uliotumia, waweza mwangalizia hata kwa kutumia simu ingine. Tatizo computer za nida hazina 'akili', zitakuwa za mwaka 47! Tatizo lilianzia kwa waandika fomu kwa kukosea majina. Kama Kolimba waliandika Korimba, ukiulizia computer hazina uwezo wa kutambua hata kama majina yalio baki ni sahihi.Thanx mkuu namba nimepata mi nilikuwa naangalia kwa namba ambayo sijasajilia,kwa kufuata hii comment yako nimetumia namba niliosajilia/ kujiandikishia
kwa hiyo tuliokwisha katwa mia mia, tuendelee kusubiri majibu!?Mimi nilijibiwa muda huo huo kwa kutumiwa namba ya NIDA(kitambulisho)
Ni kwamba utajibiwa kwa kutumiwa namba ya kitambulisho kama kitambulisho chako kipo tayari