Nani kajibiwa na NIDA baada ya kutoa 100/=?

Nani kajibiwa na NIDA baada ya kutoa 100/=?

hawa jamaa wapuuzi sana, washakula 700 yng wananijibu taarifa zangu hawazioni
 
Niwapongeze sana NIDA Kwa kujitahidi kuwa up to date, baada ya kupata namba yako ya kitambulisho kupitia njia ya simu, unaweza kupata nakala ya kitambulisho chako online.
 
Mi nilijibiwa ..nna swali hivi ukipoteza kitambulisho unaweza kurenew?
Mkuu kama Fresh Applicatnt wa kitambulisho hawajapata; Je wewe ambaye Umepewa ukapoteza (In anyaway hata kama una strong reason) Nadhani Mlolomgo wake utakuwa mrefu sana
 
Kwanini wasishitakiwe kwa kutapeli wananchi? TCRA wanafanya kazi gani mpaka taasisi ya serikali inatapeli wananchi namna hii?
 
I
Naona 100 zinazidi kuyoyoma lakini jibu la namba ya kitambulisho sipewi. Kuna aliyefanikiwa baada ya kukubali makato ya Tsh 100 kupitia *152*00#?

Imekula kwako.Hawajibu hao
me
 
Naona 100 zinazidi kuyoyoma lakini jibu la namba ya kitambulisho sipewi. Kuna aliyefanikiwa baada ya kukubali makato ya Tsh 100 kupitia *152*00#?
Tunachangia pato la taifa kiaina, nchi utapeli sijui utaisha lini.
 
Back
Top Bottom