Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,569
- 94,834
Usicheke mkuu
Usicheke mkuu
...Mimi wameishaka 400 zangu. Kila nikiuliza wanakaa kimwa lakini Mia yangu wanakuwa wameishaiotesha mbawa!!Tangu nitume ujumbe wa NIDA sijajibiwa hata mara moja.



Yani hii nchi mtu akiamka analeta la kwake hapo hapo bila ya kufanya tathmini ya jambo hilo.Usicheke mkuu
Ukiwa na shida nacho utafanya tu. Wapuuzi sanaYani hii nchi mtu akiamka analeta la kwake hapo hapo bila ya kufanya tathmini ya jambo hilo.
Mi nilipobonya hiyo number yao nilipoona habari ya malipo nikaachana nao..
Wamekula 600 yangu
Fundi we ulishapata?Duuh
Nilifuatilia bila mafanikio nikaamua kuachana nacho kwanza kwa muda usiojulikanaFundi we ulishapata?
Labda Uende na Documents zingn Tofauti na zamara ya Kwanzaa .....Vinginevyo Sio Rahisi au Fika Ofisi Ya NIDA iliyokaribu nawe.What if nataka kubadili jina?
Sawa mkuuLabda Uende na Documents zingn Tofauti na zamara ya Kwanzaa .....Vinginevyo Sio Rahisi au Fika Ofisi Ya NIDA iliyokaribu nawe.
Mkuu c ungepanda 5 5 uende makao makuu yao tu? Hio nauli yangu ya kutwa ujue!Mimi ni zaidi ya 2000 mpaka sasa
Wacheki kwenye email yao mkuu. Mi wamenjibu nakunitumia NIN.Asap.Wameshakula 800 yangu
Haha Muhimu hapo kufika Huko Huko NIDAni
Mimi ni zaidi ya 2000 mpaka sasa