pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
Walikula 200 yangu nikashtuka
Mi nilijibiwa ..nna swali hivi ukipoteza kitambulisho unaweza kurenew?
Kama ni hivi basi huu wanaofanya kukata pesa kwa watu ambao vitambulisho vyao havipo tayar ni utapeliMimi nilijibiwa muda huo huo kwa kutumiwa namba ya NIDA(kitambulisho)
Ni kwamba utajibiwa kwa kutumiwa namba ya kitambulisho kama kitambulisho chako kipo tayari
😂😂😂😂😂Nina kile cha ulozi tuu![]()
Umisikia tatu mzuka ndio hao. Mimi sijawahi kujibiwa.Naona 100 zinazidi kuyoyoma lakini jibu la namba ya kitambulisho sipewi. Kuna aliyefanikiwa baada ya kukubali makato ya Tsh 100 kupitia *152*00#?
Jinsi gani naweza kupata nakala ya kitambulisho cha NIDA baada ya kupatiwa NIN, mwenye uelewa kwenye hili jambo anisaidieNaona 100 zinazidi kuyoyoma lakini jibu la namba ya kitambulisho sipewi. Kuna aliyefanikiwa baada ya kukubali makato ya Tsh 100 kupitia *152*00#?
Hao jamaa ni wababaishaji hawajibu ni kutulia 100/= zetu tuNaona 100 zinazidi kuyoyoma lakini jibu la namba ya kitambulisho sipewi. Kuna aliyefanikiwa baada ya kukubali makato ya Tsh 100 kupitia *152*00#?
Nadhani unaweza kuingia kwenye website yaoJinsi gani naweza kupata nakala ya kitambulisho cha NIDA baada ya kupatiwa NIN, mwenye uelewa kwenye hili jambo anisaidie
Ingia kwenye website yao utaona sehemu ya kuomba copy ya kitambulisho, utajaza namba za kitambulisho chako (NIN).Jinsi gani naweza kupata nakala ya kitambulisho cha NIDA baada ya kupatiwa NIN, mwenye uelewa kwenye hili jambo anisaidie
Mie washakula 200 yangu, jibu taarifa zako hazijapatikana hahahaWameshakula 800 yangu