Nani kajibiwa na NIDA baada ya kutoa 100/=?

Nani kajibiwa na NIDA baada ya kutoa 100/=?

Hawa NIDA mimi hat siwaelewi
Maan 2nako elekea sasa rais awamu ya sita tutaambia tusajili laini kwa mfumo wa eyescan
 
Mie walikula kama buku jero but nashukuru kuna siku wakanitumia namba ya ID nikaenda kuchukua kitambulisho changu.
 
Ni mradi mzuri wa kuongeza mapato. Milioni 15 wameshapata, wengine eligible, lets say 15m, na kati yao 10m wakauliza nida na kulipia sh 100, hiyo ni 10mx100 ni 1000m, or 1bilion.
 
Mimi nilijibiwa muda huo huo kwa kutumiwa namba ya NIDA(kitambulisho)

Ni kwamba utajibiwa kwa kutumiwa namba ya kitambulisho kama kitambulisho chako kipo tayari
Ni kuhusu nn hasa,maana mm sijui lolote,naomba kujuzwa
 
Mi nilijibiwa ..nna swali hivi ukipoteza kitambulisho unaweza kurenew?
Unaweza kurenew,..uwe na lose report ya polisi unaenda ofisi zao zilipo kwenye wilaya yako watakupa namba ya akaunti ukalipie gharama zaku renew 20,000/= baada ya hapo taratibu zingine zitaendelea,..mimi nilirenew baada ya kupoteza.
 
Miradi kama miradi mingine tupo zaidi ya 50m.

Wakituma watu 10m only 100tsh wanakuwa na 1b.
Hayo ndiyo malengo yao. Kwanini wasingehakikisha kwanza kila Mtz mwenye sifa anapata kitambulisho?? Wenye leseni za udereva wamechukuliwa alama ya vidole, kupitia Tin No wamechukua pia sasa hiki cha NIDA kina nini hasa kwenye alama za vidole?? Isitoshe hata ukiwa na kitambulisho cha NIDA bado watahitaji tena alama za vidole wakati wa kusajili line ya simu. Wawe wa kweli wanahitaji pesa na si usajili. (100×3)×(2,000,000) hii ina maana mtu mmoja akiangalia usajili wake NIDA mara tatu utapata sh 300/= ukizidisha kwa watu milioni mbili wanaomiliki simu za mikononi ni hela ndefu. 300×2,000,000=.......Watz sio Wajinga.
 
Dah safi sana aisee...kilikua kinaniumiza sana kichwa..ndo umuhim wa jukwaa huu
Unaweza kurenew,..uwe na lose report ya polisi unaenda ofisi zao zilipo kwenye wilaya yako watakupa namba ya akaunti ukalipie gharama zaku renew 20,000/= baada ya hapo taratibu zingine zitaendelea,..mimi nilirenew baada ya kupoteza.
 
Unaweza kurenew,..uwe na lose report ya polisi unaenda ofisi zao zilipo kwenye wilaya yako watakupa namba ya akaunti ukalipie gharama zaku renew 20,000/= baada ya hapo taratibu zingine zitaendelea,..mimi nilirenew baada ya kupoteza.
What if nataka kubadili jina?
 
*152*00# unakatwa tzs100 ni bakuli la NIDA lililopata vibali vyote ili kupunguza ukwasi wa shekeli.
Mkuu, kwa ninavyoelewa, ukwasi ni hali ya kuwa na pesa za kutosha pengine na ziada.

Neno sahihi hapo lingekuwa ukata.

Ni maoni tu mkuu
 
What if nataka kubadili jina?
Kubadili jina sina hakika maana kwenye kurenew unatumia documents zilezile za mara ya kwanza kinachofanyika ni kukupiga picha upya na kusign,..kwa kubadili jina nadhani ubadili informations zote ulizotumia wakati unajisali kwa mara ya kwanza,vinginevyo ni kuwafuata wahusika watakupa info zaidi
 
Asante
 
Back
Top Bottom