Nani kaiona chupa ikiwa kwenye makalio? Daktari kathibitisha? Wanasiasa kuweni makini na hila za mitandaoni

Rais yupi?? Huyu huyu mwenye mihemko? Aliyemtimua Dr. Bashiru kwa mihemko kwamba kapora fedha BoT na kwamba alikuwa anapanga njama za kupinga asipewe urais halafu baadaye akamuomba radhi alipoujua ukweli?

Rais huyu huyu aliyyemteua Makonda makalio makubwa wakati maovu yake yanajulikana mpk na wamarekani?

Tuna rais kilaza haijawahi kutokea
Ohoooooo ..Makonda ....😁😁😁
 
1. Kuna mdada aliandaliwa kumchafua DC Simalenga. Ustadi mkubwa ulitumika kufunika jicho na shavu la huyo mdada kwa bandeji iliyopakwa tomato sauce .

Media uchwara zikategesha kamera mbele ya mdada na kurekodi shutuma kali dhidi ya DC kwamba amemnasa kibao kilichopelekea jicho na shavu kujeruhiwa.

Wanawake na wanaharakati wakapaza sauti za kulaani kitendo hicho. Mungu siyo mm na wewe, DC Simalenga akanusurika ktk hila hizo .

2. Hamis Kigwangala hakuachwa nyuma ktk ushenzi huu. Mfanyakazi wake alibuni tuhuma kali dhidi yake. Akidai Kigwangalla kampiga risasi za moto. Watu kwa wivu na chuki tu dhidi ya wanasiasa wakaanza kumlaani Kigwangalla pasi na kutafuta ukweli. Polisi wakatumia weledi wao kumhoji Kigwangalla na mtuhumiwa , hatimaye Kigwangalla akazikwepa hila hizo.

3. Hivi Sasa kajitokeza mfanyakazi wa Gekul. Huyu naye amejirekodi akilalama kuwa Gekul ameamuru aingiziwe chupa kwenye tundu la makalioni. Shutuma ni kali sana mitandaoni dhidi ya Gekul, na hata rais ametengua uteuzi wa Gekul kwenye nafasi ya unaibu waziri.

Lkn nani kaiona hiyo chupa ikiwa kwenye tundu la makalio? Vipi kama huyu kijana anafanya maigizo kama ya hawa wengine? Kwann wanasiasa wanakuwa wahanga wakubwa dhidi ya mashambulizi ya mitandaoni?

Ndipo sasa ninawaonya wanasiasa kuwa wawe makini na hila hizi.
Hoja nyepesi sana, na swali jepesi sana, hivi mfano mtu akibakwa kinachoanza ni mhusika toa taarifa au Dactari kuanza kuchunguza bila hata jalada la mlalamikaji kufunguliwa kwenye vyombo husika?

Yan mtaalam wa afya aende kutibu au chunguza kitu ambacho vyombo vya dola havijatoa kibali mfano RAB, huna akili, na hii imeenda watz sio wajinga
 
Hapana. Nimesema daktari kapimq kakuta Kuna chupa iliingizwa makalioni? Au ni mbambamba za mitandaoni tu?
Title ya thread yako ndio I lini changanya kidogo. Sijasikia kama Daktari katoka ripoti yake, POLISI watatujuza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom