nbayoungboy never broken
JF-Expert Member
- Apr 20, 2025
- 383
- 372
Pombe zilivyo nyingi mpka hali hiyo ikutokee utakuta wewe ni mbwiga sanaPoleni wote inaowatokea ๐
Nilishaipitia zamani kabla sijajipata!
Wewe wa kuniita mimi Mbwiga ๐คฃ๐คฃPombe zilivyo nyingi mpka hali hiyo ikutokee utakuta wewe ni mbwiga sana
Sio wewe madam ni hao wenye stressWewe wa kuniita mimi Mbwiga ๐คฃ๐คฃ
Aanhaa bahati yako ๐คฃ๐คฃSio wewe madam ni hao wenye stress
Haujaelewa umekurupuka na wewe una stress ๐ ๐Aanhaa bahati yako ๐คฃ๐คฃ
Sijakurupuka si nimeona umequote reply yangu, nikashangaa.Haujaelewa umekurupuka na wewe una stress ๐ ๐
Nimekumis pia , nilikua napika pombe ya weekend asee.Sijakurupuka si nimeona umequote reply yangu, nikashangaa.
Anyway, nimekumisooooo, umepotelea wapi?
Tunainywea wapi sasa, mbona huleti mualiko?Nimekumis pia , nilikua napika pombe ya weekend asee.
Mimi nakunywa chumbani , ingia chumbani tukanywe๐Tunainywea wapi sasa, mbona huleti mualiko?
Ninunulie jibapa nijitundike ๐Pombe zilivyo nyingi mpka hali hiyo ikutokee utakuta wewe ni mbwiga sana
Tajiri wewe ndio nakutegemea tajiri๐ ๐Ninunulie jibapa nijitundike ๐
Napenda kunywea nje kwenye ka upepo.Mimi nakunywa chumbani , ingia chumbani tukanywe๐
Dah Weekend yangu ndio inaanza kama hivi leo lazima nilewe ๐Napenda kunywea nje kwenye ka upepo.
Maana chumbani nina mambo yangu napenda kuyafanya, tukiingia huko pombe tutazisahau.
- Hakika hii ndio maana halisi ya Wagumu Tunadumu , Na wala usiwe na wazo la kuikimbia Familia.Ila kwasasa nilishaapa staweza tena kurudia kujitoa uhai,ni bora nikimbie familia
Kula raha, kufa kwaja ๐Dah Weekend yangu ndio inaanza kama hivi leo lazima nilewe ๐
Kufa pia ni raha tupu๐๐Kula raha, kufa kwaja ๐
Raha za kifo sizijui, acha nile hizi za uhai mpaka pale utakapokatika ๐ halafu mengine yatajulikana mbele kwa mbele.Kufa pia ni raha tupu๐๐