Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani unampa kura yako kama Miss Chit Chat 2012?

  • Cacico

    Votes: 27 11.2%
  • Remmy

    Votes: 7 2.9%
  • Madame B

    Votes: 40 16.5%
  • Ciello

    Votes: 5 2.1%
  • Charminglady

    Votes: 115 47.5%
  • Arabela

    Votes: 48 19.8%

  • Total voters
    242
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
It's my hope that hujaisoma post ya hapo juu
Nimeogopa kuzua ugomvi kati ya Kipipi na Remmy ulivyomchukua Remmy nimefurahi nipate uhuru wa kwa Kipipi ingawa mtoto mwenyewe anaruka vihinzi kama Kanga (Ndege jamii ya kuku)
 
Last edited by a moderator:
We usipofanyiwa maombi mwaka huu lazima wakuokotee msitu wa pande!

Kama umeliona hilo nimekukubali, maisha yake yamo hatarini huyu dogo, labda ndo nzi kufia kwenye kidonda!??
 
Tutapiga mkuu.. ngoja waendelee kujinadi kidogo...
GeeCee.
 
Sina cha kuogopa coz najua usingeweza kunifanya lolote hasa ukizingatia we mwenyewe ni mwizi pia . . .LOL!

hahahaaaaaaa
mie niliachiwa.
kumbe biti linafaa.
 
Mkuuu Ruhazwe JR ili kukwepa lawama next time unda kamati kama ile ya lundenga ili likitokea la kutokea ***** uangukie kamati...hivi kuna majaji?? kuna watu wanawaulizia sijui wanataka kupenyeza rupia?
 
hahahaaaaaaa
mie niliachiwa.
kumbe biti linafaa.

Uliachiwa au umekubali kupimiwa?
Subiri mwenyewe siku akija!

BTW, wala hamna biti hapo . . . .sema tu umenikuta mtu mwenyewe wala sina uhitaji.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…