Ohooooooo ngoja nije fasta nikuwahishe hospitali mana dokta aliniambia ukianza sikia maumivu ya tumbo ujue siku ndo hizo za kuleta kiumbe kipya duniani zimewajia
haya mashindano yananipa wakati mgumu. kila mmoja ni dada yangu na kila mmoja ana umuhimu kwangu. ngoja nishawishi yangu jukwaa la siasa akupigie kura fasta. miahata wewe, duuu
chezeya figganigga weye!!. huwa nafanyaga doom. miaMzee wa mia kwani na wewe ni LEKA DUTIGITE!??
nakuja niko njiani kwani unataka kutuambia nini tukupigie kura ya kuwa miss jf au? charminglady
hatujui namna ya kupiga hizo kura tuelekeze basi ili tuwapigie hao mamiss kwani sie wengine mhm!
Kura kwa mtoto mzuri charminglady......!!!!!!!
Wewe Evelyn Salt wa wapi wewe, wa nyamanoro nini!!?? ulishawahiona wapi miss ana ujauzito wa miezi nane!??, charminglady jitoe kajitazamie bana
Miss kakaguliwa huyu, mnajisumbua kumchafua........