Nani atabisha kuwa yeye si used?

Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,051
653
Wana JF Merry x mass najua kila mmoja wetu leo amefurahia sana sikukuu na kwasasa umejipumzisha nyumbani ukitafakari mambo mengine na kuingoja siku ya Boxing Day iliufungue zawadi ulizoletewa.

Turudi kwenye swala letu la used sasa, mimi naamini KITU CHOCHOTE KILE TUKITUMIA HUITWA USED NA HAPA HAKUNA UBISHI KWA SWALA HILO KIASI KWAMBA SIKU HIZI MTU AKITAKA KUNUNUA GARI, RADIO,SIMU,COMPUTER,PIKIPIKI NA VITU VINGINE LAZIMA ATAULIZA JE NI USED AU BRAND NEW?

SWALI LANGU SASA KWETU SISI MARA NYINGI WANAUME WENGI NA WANAWAKE KABLA YA NDOA WATU HUANZA KUJIHUSISHA KWENYE MAPENZI HIVYOKUPELEKEA KUTUMIKA KABLA YA NDOA JE MWANAMKE NA MWAUME KABLA YA KUOLEWA KWANINI TUSIWE TUNAULIZANA KAMA NI USED KAMA TUNAVYOULIZA VITU VINGINE VILIVYOKWISHA TUMIKA?

KWANINI LEO MWANAMKE AU MWANAUME ALIYETEMBEA AU KUFANYA MAPENZI KABLA YA KUOLEWA NAE ASIITWE USED?

JE WEWE NI USED AU SI USED? NA KWANINI USIITWE USED WAKATI ULISHATUMIKA SANA TU?
 
Kwani wewe huwa huulizi, mimi huwa nasema nipo used ila nafaa kwa matumizi ya nyumbani
 
Lakini mbona msamiati huo umeshaanza kutumika mpaka kijijini kwetu. Umetumika kiasi ndo kuna determine kiasi cha ngombe za kuolea au kuolewa
 
Hapo hakuna makombo baba,hata kama used siku utakapoipata kwako itakuwa ni mpya tu.Kwani wewe hujawahi kumwambia jamaa yako kuwa leo nimepata girlfriend mpya?
 
Used hutumika kwa vitu na si watu, mfano Tv used lakini huwezi kusema mtu used sentesi yako itakosa logic na hata kama ni kiswahili cha mtaa hakileti maana. Pili inaonekana wewe unataka kuwanyanyasa wanawake kwa logic yako kwa maana wao ni rahisi kumjua kama ameshawahi kufanya ngono kabla kwa sababu ya bikra kuliko wanaume!!! NI MTAZAMO TU
 
Hapa si kwamba nimewanyanyasa wanawake wewe ndio utakuwa umewanyanyapaa Wanawake kwanini mimi hapa nimesema jinsi zote hivyo kama hujasoma vizuri rudia tena plz.....Na hakuna matumizi ya kiswahili kwanini kitu kilichotumika kisiitwe Used? Mimi kama Mimi naweza Sema Ni Used kwani si mpya kwenye maswala ya mapenzi kutokana na kuchakachua sehemu tofauti
Used hutumika kwa vitu na si watu, mfano Tv used lakini huwezi kusema mtu used sentesi yako itakosa logic na hata kama ni kiswahili cha mtaa hakileti maana. Pili inaonekana wewe unataka kuwanyanyasa wanawake kwa logic yako kwa maana wao ni rahisi kumjua kama ameshawahi kufanya ngono kabla kwa sababu ya bikra kuliko wanaume!!! NI MTAZAMO TU
 
Kwa heshima ya utu wetu hatuwezi kuitana used wala brand new mzee. Ndio maana tunaseha hakuna binadam kichaa ila kuna mgonjwa wa akili
 
Mabel sasa tutafute jina rasmi hapa kama mtu alishajihusisha mahusiano na mapenzi na wanawake au wanaume wengi tumuitaje? Kwani neno kama Malaya si zuri pia

Mkuu neno ni bikira tu hapa, unayo ama huna!
 
Wana JF Merry x mass najua kila mmoja wetu leo amefurahia sana sikukuu na kwasasa umejipumzisha nyumbani ukitafakari mambo mengine na kuingoja siku ya Boxing Day iliufungue zawadi ulizoletewa.

Turudi kwenye swala letu la used sasa, mimi naamini KITU CHOCHOTE KILE TUKITUMIA HUITWA USED NA HAPA HAKUNA UBISHI KWA SWALA HILO KIASI KWAMBA SIKU HIZI MTU AKITAKA KUNUNUA GARI, RADIO,SIMU,COMPUTER,PIKIPIKI NA VITU VINGINE LAZIMA ATAULIZA JE NI USED AU BRAND NEW?

SWALI LANGU SASA KWETU SISI MARA NYINGI WANAUME WENGI NA WANAWAKE KABLA YA NDOA WATU HUANZA KUJIHUSISHA KWENYE MAPENZI HIVYOKUPELEKEA KUTUMIKA KABLA YA NDOA JE MWANAMKE NA MWAUME KABLA YA KUOLEWA KWANINI TUSIWE TUNAULIZANA KAMA NI USED KAMA TUNAVYOULIZA VITU VINGINE VILIVYOKWISHA TUMIKA?

KWANINI LEO MWANAMKE AU MWANAUME ALIYETEMBEA AU KUFANYA MAPENZI KABLA YA KUOLEWA NAE ASIITWE USED?

JE WEWE NI USED AU SI USED? NA KWANINI USIITWE USED WAKATI ULISHATUMIKA SANA TU?

Ni wazo la ajabu kidogo.Inaelekea ndugu yangu materialism imeku-contrrol sana.Mwandamu ana a special place,you can't say he or she is used.After all you can't calculate a depreciation cost for a human being ili uweze kujua his/her real value after time t.
 
Wala si wazo la ajabu hata kidogo japo yaweza kuwa utani ambao unaukweli ndani yake
Ni wazo la ajabu kidogo.Inaelekea ndugu yangu materialism imeku-contrrol sana.Mwandamu ana a special place,you can't say he or she is used.After all you can't calculate a depreciation cost for a human being ili uweze kujua his/her real value after time t.
 
Mimi sio used, ila nina a huge practical experience ya malavidavi.
 
Back
Top Bottom