DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,636
- 81,533
Ahaaa P O P O M A huyo
1Ukipita pale Navy kigamboni ndo utajionea makorokoro tunayotishia watu😂😂😂😂
vita sio pesa, vita ni ujasusi, rwanda amekaa pale nchi yake ndogo lakin hakuna anaetaka kupigana nae maana jamaa sio mtu wa kawaida, inasemekana yeye ni raisi wa congo na rwanda mpaka sasaTanzania kijeshi inaweza ikawa ya 3 nyuma ya rwanda na kenya, juzi nasoma bajeti naona eti wametenga billion 300 kwa ajili ya maendeleo, hivi kwa dunia ya leo pesa hizo utanunua vifaa ganibvya kisasa kwa ajili ya kujilinda? Maana kutengeneza wenyewe hatuwezi
Bro kuna uhusiano mkubwa kati ya ukubwa, wa, uchumi, na nguvu za, kijeshi, Kenya, uchumi wake ni mkubwa kuzidi nchi zote za, Africa mashariki kwa, pamoja,Na bahati nzuri nilipo sasa GENTAMYCINE nakutana na Wanajeshi wa kutoka Tanzania, Uganda, Rwanda, Sudan Kusini na wa Kenya.
Taarifa ambazo ninazo na pia tu kwa Kuona kwa Wanajeshi wa Kenya ni kwamba wanachojivunia nacho zaidi ni Majigambo na Kiingereza kingi ila nikiwaona katika Mazoezi ya Kimedani hapa nilipo nawaona ni Watupu na sishangai kuona kuwa Kundi Dogo tu lile la Vijana wa 'Gen Z' liliwatoa Jasho Kenya kiasi cha Rais wao Ruto kuomba Msaada wa Rais wa Uganda Museveni ambaye alimsaidia 'Kimkakati' kutuliza hali Tete iliyokuwepo Kenya.
GENTAMYCINE sikushangaa kabisa pale Mkuu wa Majeshi Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba aliposema kupitia Mtandao wa X (zamani Twitter) kuwa ana uwezo wa kuipiga Kenya ndani ya Siku Mbili tu.
Nilishawahi kuandika hapa hapa JamiiForums kuwa JWTZ halina Mpinzani Kimedani katika huu Ukanda wetu ila baadhi ya Watu hawakunielewa, ila GENTAMYCINE nilithubutu kusema vile baada ya Utai (Ujasusi) wangu wa Kimkakati hasa mahala nilipo sasa.
Kama tu nakutana na Vijana wa Kijeshi (Maafisa Wanafunzi) wa Kitanzania waliofanya Mafunzo yao Kenya, Uganda na Rwanda wananiambia Kaka GENTAMYCINE kaa na Amani ukijua kuwa Tanzania yako tumewaacha mbali mno hawa Majirani zetu Kijeshi na nilipowauliza vipi Kenya Kijeshi wakabaki tu Kucheka na kusema kuwa hao Amiri Jeshi Mkuu Rais Samia Suluhu Hassan akisema tu tuingie nao Vitani kwa jinsi Jeshi lao lilivyo Dhaifu na Wanajeshi wao basi kuna uwezekano mkubwa Kenya ikawa ni Mali rasmi ya Tanzania ndani ya Saa 6 tu.
Sasa kama tu Uganda ya Museveni na Rwanda ya Kagame kutwa Wanalipongeza Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuwa ni Jeshi imara na limewasaidia mno katika Kufunza Wanajeshi wao na kwa Ushuhuda ambao GENTAMYCINE ninao ni kwamba hadi hivi sasa Jeshi la Uganda na la Rwanda bado wanajifunza kutoka Jeshi la Tanzania kiasi kwamba hata baadhi ya Wakufunzi wa Tanzania (JWTZ) huenda Kukufunzi / Kufundisha Medani za Kivita Wanajeshi wa Uganda na Rwanda.
Binafsi kama GENTAMYCINE juzi nilifurahi mno pale Rais wangu Samia alivyowaadabisha Wakenya Tanzania kwani hata Mimi huku nilipo Siku hiyo hiyo (what a coincidence) nami nilimuadabisha Mjeda mmoja wa Kenya aliyekuwa anatoa Maneno ya Kashfa kwa Tanzania na kwa nilichomwambia nadhani ameanini kuwa Tanzania si tu ni Wababe wa Kijeshi Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati bali pia hata katika Vita ya Maneno tuko vizuri vile vile.
Choko choko za Wakenya kwa Watanzania GENTAMYCINE sijaanza kuzisikia leo na sijui ni kwanini Wakenya wanapenda Kutudharau Watanzania hasa kwa Kigezo cha kutoongea Kiingereza cha KISHOGA kama Wao na kusoma sana.
Hakuna asiyejua (hasa kwa Sisi ambao tunatembea) kuwa Maisha ya Wakenya kama Wakenya ni mabaya na wana Dhiki mno kwani kwa 90% Uchumi wao umemilikiwa na Waingereza na Wamarekani ila Kenya kama Kenya haina lolote.
Kuonyesha kuwa Wakenya wana Matatizo na kwamba wanalolitafuta kwa Watanzania walipata soon hata jana tu Mkuu wa Majeshi Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba alimpongeza Rais Samia kwa hatua thabiti aliyoichukua juu ya Wakenya na kasema kuwa kuanzia sasa Yeye (CDF Gen Muhoozi Kainerugaba) atakuwa ni Shabiki wa Rais Samia huku akimheshimisha zaidi kwa kumuita Mama....
Wakenya wote mlioko hapa JamiiForums kuweni makini sana na Sisi Watanzania kwani hamtuwezi tu kwa Kimedani (Kivita) bali hata pia Kiuchawi (Kiunyangindo) hamtuwezi vile vile Kudadadeki zenu.
Na kuonyesha kuwa GENTAMYCINE naiwakilisha vyema Tanzania huku nilipo kwa Kuwaadabisha Wakenya huyu Mkenya wenu nimemwambia akithubutu tu kumleta Mkewe hapa tulipo NITAMKAZIA MKEWE na jana nilimsikia akiongea katika Simu na Mkewe akimwambia kuwa Yeye ndiyo atakuwa anaenda mara moja moja kumtembelea Kwao Kenya na kwamba asije Kumtembelea nikajua kuwa BITI LANGU ( MKWARA WANGU) umefika mahala pake.
GENTAMYCINE nikiambiwa nichague Marafiki haraka sana nitawachagua Waganda (Uganda) na Wanyarwanda (Rwanda) ila siyo Wakenya (Kenya) ambao SIWAPENDI na natamani sana Siku moja tuingie nao Vitani ili TUWANYOOSHE na tuheshimiane.
Pumbavu zao......!!!!!!!
😂😂😂😂1Ukipita pale Navy kigamboni ndo utajionea makorokoro tunayotishia watu
Sijui hata wasawahili Wana satellite ipi ama logistics muscle ipi sembuse technology ipi ya kupambana kivita na Kenya,Dunia ya Leo inatumia zaid technology kuliko nguvu,saivi nchi yenye technology kubwa ndio Inakuwa stable ktk Kila sector Hilo halina upinzani yaan kiusalama, kiuchumi n.k
Swali la kujiuliza ni je Tz na Kenya ipi imepiga hatua ktk suala la technology.
Mfano kumiliki drone, ndege zisizo na ruban, stable rada, hapa lazima budget yko iwe ya kueleweka
Sisi siyo vilema ewe mtanganyika,mnaogelea utovu HUKU wenyewe mmepotoka,makajamba Tu!Naona vilema mnatambiana, east Africa yote Bado ipo matakoni mwa dunia.
Nyuzi kama hizi mmarekan au mchina akisoma anacheka mbavu Hana.
Watu wajinga kama wewe mnadanganywa kirahisi sana. Nani huyo amekudanganya kwamba rwanda inaifahamu zaidi Tanzania kullko nchi zingine na inaifahamu Tanzania kivipi hasa?Kwasababu wanashirikiana na COW - Coalition of the Willing (Uganda, na Rwanda)
Na kati ya hao, Rwanda anaijua Tanzania NJE na NDANI.
Vita ya Uganda tulishinda kwasababu WANANCHI walikuwa kitu kimoja.
Sasa hivi UMOJA wa KITAIFA umekufa.
Watawala ndio wanaua watu wao kila siku kwasababu ya madaraka. Wanapambana na wananchi ambao hawana hata Wembe.
====
Mfano halisi kuwa kwasasa hakuna jipya ni udhalilishwaji waliofanyiwa JESHI la Tanzania walipopita mpaka wa Rwanda wakitokea DRC.
Na hiyo ilikuwa TRAILER tu.
====
View attachment 3340682View attachment 3340683
View attachment 3340685
Watu wenye akili za kenge kama nyie ni mpaka muone damu.Watu wajinga kama wewe mnadanganywa kirahisi sana. Nani huyo amekudanganya kwamba rwanda inaifahamu zaidi Tanzania kullko nchi zingine na inaifahamu Tanzania kivipi hasa?
Labda zamani ila si kwa sasa, hata top 10 ya majeshi yenye nguvu afrika hawapo.Tanzania inaogopeka kijeshi na kijasusi Kwa Nchi zenye idadi kubwa ya watu wendawazimu tu lakini wenye kujitambua huiona Tanzania ni kama taka taka tu kutokana na mambo yake ya kijinga yanayofanywa na serikali
Umeandika KINAFIKI sana.Serikali ya Kenya na Tanzania akili ya kupigana vita hazipo kwenye vichwa vyao.
Kuna maeneo ambayo Tanzania ya mipaka ambayo ni risk kwa Tanzania, Iła sio Kenya.
Kwenye EAC mpaka na uhusiano wa Kenya na Tanzania ni more predictable. Hizo wishes zenu za uchawi hazipo. Tanzania na Kenya hazifokuwa na vita miaka 8000 quit with the wishful thinking.
Bahati mbaya kwako ni kwamba Tanzania na Kenya wana namna ya kumaliza upumbavu wao.Jeshi limeshindwa kuunda hata🔪 kuna wanyama wa mtaani walikuwa wanatarent ya kutengeneza bunduki walishikwa wote badala ya kuendelezwa wapo tu wanazeekea kijjni na watakufa na vipaji viunoni
Jeshi la Tanzania lilikuwa juu miaka ya 80. Ila kwa sasa tupo nyuma sana.Na bahati nzuri nilipo sasa GENTAMYCINE nakutana na Wanajeshi wa kutoka Tanzania, Uganda, Rwanda, Sudan Kusini na wa Kenya.
Taarifa ambazo ninazo na pia tu kwa Kuona kwa Wanajeshi wa Kenya ni kwamba wanachojivunia nacho zaidi ni Majigambo na Kiingereza kingi ila nikiwaona katika Mazoezi ya Kimedani hapa nilipo nawaona ni Watupu na sishangai kuona kuwa Kundi Dogo tu lile la Vijana wa 'Gen Z' liliwatoa Jasho Kenya kiasi cha Rais wao Ruto kuomba Msaada wa Rais wa Uganda Museveni ambaye alimsaidia 'Kimkakati' kutuliza hali Tete iliyokuwepo Kenya.
GENTAMYCINE sikushangaa kabisa pale Mkuu wa Majeshi Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba aliposema kupitia Mtandao wa X (zamani Twitter) kuwa ana uwezo wa kuipiga Kenya ndani ya Siku Mbili tu.
Nilishawahi kuandika hapa hapa JamiiForums kuwa JWTZ halina Mpinzani Kimedani katika huu Ukanda wetu ila baadhi ya Watu hawakunielewa, ila GENTAMYCINE nilithubutu kusema vile baada ya Utai (Ujasusi) wangu wa Kimkakati hasa mahala nilipo sasa.
Kama tu nakutana na Vijana wa Kijeshi (Maafisa Wanafunzi) wa Kitanzania waliofanya Mafunzo yao Kenya, Uganda na Rwanda wananiambia Kaka GENTAMYCINE kaa na Amani ukijua kuwa Tanzania yako tumewaacha mbali mno hawa Majirani zetu Kijeshi na nilipowauliza vipi Kenya Kijeshi wakabaki tu Kucheka na kusema kuwa hao Amiri Jeshi Mkuu Rais Samia Suluhu Hassan akisema tu tuingie nao Vitani kwa jinsi Jeshi lao lilivyo Dhaifu na Wanajeshi wao basi kuna uwezekano mkubwa Kenya ikawa ni Mali rasmi ya Tanzania ndani ya Saa 6 tu.
Sasa kama tu Uganda ya Museveni na Rwanda ya Kagame kutwa Wanalipongeza Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuwa ni Jeshi imara na limewasaidia mno katika Kufunza Wanajeshi wao na kwa Ushuhuda ambao GENTAMYCINE ninao ni kwamba hadi hivi sasa Jeshi la Uganda na la Rwanda bado wanajifunza kutoka Jeshi la Tanzania kiasi kwamba hata baadhi ya Wakufunzi wa Tanzania (JWTZ) huenda Kukufunzi / Kufundisha Medani za Kivita Wanajeshi wa Uganda na Rwanda.
Binafsi kama GENTAMYCINE juzi nilifurahi mno pale Rais wangu Samia alivyowaadabisha Wakenya Tanzania kwani hata Mimi huku nilipo Siku hiyo hiyo (what a coincidence) nami nilimuadabisha Mjeda mmoja wa Kenya aliyekuwa anatoa Maneno ya Kashfa kwa Tanzania na kwa nilichomwambia nadhani ameanini kuwa Tanzania si tu ni Wababe wa Kijeshi Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati bali pia hata katika Vita ya Maneno tuko vizuri vile vile.
Choko choko za Wakenya kwa Watanzania GENTAMYCINE sijaanza kuzisikia leo na sijui ni kwanini Wakenya wanapenda Kutudharau Watanzania hasa kwa Kigezo cha kutoongea Kiingereza cha KISHOGA kama Wao na kusoma sana.
Hakuna asiyejua (hasa kwa Sisi ambao tunatembea) kuwa Maisha ya Wakenya kama Wakenya ni mabaya na wana Dhiki mno kwani kwa 90% Uchumi wao umemilikiwa na Waingereza na Wamarekani ila Kenya kama Kenya haina lolote.
Kuonyesha kuwa Wakenya wana Matatizo na kwamba wanalolitafuta kwa Watanzania walipata soon hata jana tu Mkuu wa Majeshi Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba alimpongeza Rais Samia kwa hatua thabiti aliyoichukua juu ya Wakenya na kasema kuwa kuanzia sasa Yeye (CDF Gen Muhoozi Kainerugaba) atakuwa ni Shabiki wa Rais Samia huku akimheshimisha zaidi kwa kumuita Mama....
Wakenya wote mlioko hapa JamiiForums kuweni makini sana na Sisi Watanzania kwani hamtuwezi tu kwa Kimedani (Kivita) bali hata pia Kiuchawi (Kiunyangindo) hamtuwezi vile vile Kudadadeki zenu.
Na kuonyesha kuwa GENTAMYCINE naiwakilisha vyema Tanzania huku nilipo kwa Kuwaadabisha Wakenya huyu Mkenya wenu nimemwambia akithubutu tu kumleta Mkewe hapa tulipo NITAMKAZIA MKEWE na jana nilimsikia akiongea katika Simu na Mkewe akimwambia kuwa Yeye ndiyo atakuwa anaenda mara moja moja kumtembelea Kwao Kenya na kwamba asije Kumtembelea nikajua kuwa BITI LANGU ( MKWARA WANGU) umefika mahala pake.
GENTAMYCINE nikiambiwa nichague Marafiki haraka sana nitawachagua Waganda (Uganda) na Wanyarwanda (Rwanda) ila siyo Wakenya (Kenya) ambao SIWAPENDI.
Sisi ndugu kama hujui, ndio maana Tanzania aifanyi mazoezi ya kijeshi mipaka ya Kenya.Umeandika KINAFIKI sana.
Achana na hizi threads TOLUNa bahati nzuri nilipo sasa GENTAMYCINE nakutana na Wanajeshi wa kutoka Tanzania, Uganda, Rwanda, Sudan Kusini na wa Kenya.