Nani anawadanganya Wakenya kuwa wana Ubavu wa Kushindana 'Kijeshi' na Tanzania inayoogopeka 'Kijeshi' na 'Kiujasusi' Ukanda wa Maziwa Makuu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,006
Reaction score
126,388
Na bahati nzuri nilipo sasa GENTAMYCINE nakutana na Wanajeshi wa kutoka Tanzania, Uganda, Rwanda, Sudan Kusini na wa Kenya.

Taarifa ambazo ninazo na pia tu kwa Kuona kwa Wanajeshi wa Kenya ni kwamba wanachojivunia nacho zaidi ni Majigambo na Kiingereza kingi ila nikiwaona katika Mazoezi ya Kimedani hapa nilipo nawaona ni Watupu na sishangai kuona kuwa Kundi Dogo tu lile la Vijana wa 'Gen Z' liliwatoa Jasho Kenya kiasi cha Rais wao Ruto kuomba Msaada wa Rais wa Uganda Museveni ambaye alimsaidia 'Kimkakati' kutuliza hali Tete iliyokuwepo Kenya.

GENTAMYCINE sikushangaa kabisa pale Mkuu wa Majeshi Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba aliposema kupitia Mtandao wa X (zamani Twitter) kuwa ana uwezo wa kuipiga Kenya ndani ya Siku Mbili tu.

Nilishawahi kuandika hapa hapa JamiiForums kuwa JWTZ halina Mpinzani Kimedani katika huu Ukanda wetu ila baadhi ya Watu hawakunielewa, ila GENTAMYCINE nilithubutu kusema vile baada ya Utai (Ujasusi) wangu wa Kimkakati hasa mahala nilipo sasa.

Kama tu nakutana na Vijana wa Kijeshi (Maafisa Wanafunzi) wa Kitanzania waliofanya Mafunzo yao Kenya, Uganda na Rwanda wananiambia Kaka GENTAMYCINE kaa na Amani ukijua kuwa Tanzania yako tumewaacha mbali mno hawa Majirani zetu Kijeshi na nilipowauliza vipi Kenya Kijeshi wakabaki tu Kucheka na kusema kuwa hao Amiri Jeshi Mkuu Rais Samia Suluhu Hassan akisema tu tuingie nao Vitani kwa jinsi Jeshi lao lilivyo Dhaifu na Wanajeshi wao basi kuna uwezekano mkubwa Kenya ikawa ni Mali rasmi ya Tanzania ndani ya Saa 6 tu.

Sasa kama tu Uganda ya Museveni na Rwanda ya Kagame kutwa Wanalipongeza Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuwa ni Jeshi imara na limewasaidia mno katika Kufunza Wanajeshi wao na kwa Ushuhuda ambao GENTAMYCINE ninao ni kwamba hadi hivi sasa Jeshi la Uganda na la Rwanda bado wanajifunza kutoka Jeshi la Tanzania kiasi kwamba hata baadhi ya Wakufunzi wa Tanzania (JWTZ) huenda Kukufunzi / Kufundisha Medani za Kivita Wanajeshi wa Uganda na Rwanda.

Binafsi kama GENTAMYCINE juzi nilifurahi mno pale Rais wangu Samia alivyowaadabisha Wakenya Tanzania kwani hata Mimi huku nilipo Siku hiyo hiyo (what a coincidence) nami nilimuadabisha Mjeda mmoja wa Kenya aliyekuwa anatoa Maneno ya Kashfa kwa Tanzania na kwa nilichomwambia nadhani ameanini kuwa Tanzania si tu ni Wababe wa Kijeshi Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati bali pia hata katika Vita ya Maneno tuko vizuri vile vile.

Choko choko za Wakenya kwa Watanzania GENTAMYCINE sijaanza kuzisikia leo na sijui ni kwanini Wakenya wanapenda Kutudharau Watanzania hasa kwa Kigezo cha kutoongea Kiingereza cha KISHOGA kama Wao na kusoma sana.

Hakuna asiyejua (hasa kwa Sisi ambao tunatembea) kuwa Maisha ya Wakenya kama Wakenya ni mabaya na wana Dhiki mno kwani kwa 90% Uchumi wao umemilikiwa na Waingereza na Wamarekani ila Kenya kama Kenya haina lolote.

Kuonyesha kuwa Wakenya wana Matatizo na kwamba wanalolitafuta kwa Watanzania walipata soon hata jana tu Mkuu wa Majeshi Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba alimpongeza Rais Samia kwa hatua thabiti aliyoichukua juu ya Wakenya na kasema kuwa kuanzia sasa Yeye (CDF Gen Muhoozi Kainerugaba) atakuwa ni Shabiki wa Rais Samia huku akimheshimisha zaidi kwa kumuita Mama....

Wakenya wote mlioko hapa JamiiForums kuweni makini sana na Sisi Watanzania kwani hamtuwezi tu kwa Kimedani (Kivita) bali hata pia Kiuchawi (Kiunyangindo) hamtuwezi vile vile Kudadadeki zenu.

Na kuonyesha kuwa GENTAMYCINE naiwakilisha vyema Tanzania huku nilipo kwa Kuwaadabisha Wakenya huyu Mkenya wenu nimemwambia akithubutu tu kumleta Mkewe hapa tulipo NITAMKAZIA MKEWE na jana nilimsikia akiongea katika Simu na Mkewe akimwambia kuwa Yeye ndiyo atakuwa anaenda mara moja moja kumtembelea Kwao Kenya na kwamba asije Kumtembelea nikajua kuwa BITI LANGU ( MKWARA WANGU) umefika mahala pake.

GENTAMYCINE nikiambiwa nichague Marafiki haraka sana nitawachagua Waganda (Uganda) na Wanyarwanda (Rwanda) ila siyo Wakenya (Kenya) ambao SIWAPENDI.
 
Tanzania kijeshi inaweza ikawa ya 3 nyuma ya rwanda na kenya, juzi nasoma bajeti naona eti wametenga billion 300 kwa ajili ya maendeleo, hivi kwa dunia ya leo pesa hizo utanunua vifaa ganibvya kisasa kwa ajili ya kujilinda? Maana kutengeneza wenyewe hatuwezi
 
Samahani, wale ni wanaharakati, na si wanajeshi,.mwanajeshi hawezi react eti kisa ya mwanaharakati mmoja kakamatwa huko. Tuwe na vya kuandika sio kukurupuka.
Nadhani umesoma taarifa kutoka kwa mudavadi. Yule ndio anapresent kenya na si hao wanajeshi wako wa harakati wanaotumwa.
 
Mkuu umesema kweli Kabisa! Hata maneno ni moja ya silaha ya kumtisha adui akasalimu amri hata bila kuingia kwenye Field.
Changamoto ni kwenye Field!
Mkuu umenifanya nitafakari jinsi Putin wa Russia alivyosema ataipiga Ukraine ndani ya wiki mbili,lakini ni mwaka wa nne sasa.
Kwa kweli Wakenya ni Wapumbavu kutaka kuitishia nchi yetu yenye nguvu za kijeshi na inteligensia ya kutosha kuzipiga nchi zote za E.Africa!
God bless Tanzania!
 
Na bahati nzuri nilipo sasa GENTAMYCINE nakutana na Wanajeshi wa kutoka Tanzania, Uganda, Rwanda, Sudan Kusini na wa Kenya.

Taarifa ambazo ninazo na pia tu kwa Kuona kwa Wanajeshi wa Kenya ni kwamba wanachojivunia nacho zaidi ni Majigambo na Kiingereza kingi ila nikiwaona katika Mazoezi ya Kimedani hapa nilipo nawaona ni Watupu na sishangai kuona kuwa Kundi Dogo tu lile la Vijana wa 'Gen Z' liliwatoa Jasho Kenya kiasi cha Rais wao Ruto kuomba Msaada wa Rais wa Uganda Museveni ambaye alimsaidia 'Kimkakati' kutuliza hali Tete iliyokuwepo Kenya.

GENTAMYCINE sikushangaa kabisa pale Mkuu wa Majeshi Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba aliposema kupitia Mtandao wa X (zamani Twitter) kuwa ana uwezo wa kuipiga Kenya ndani ya Siku Mbili tu.

Nilishawahi kuandika hapa hapa JamiiForums kuwa JWTZ halina Mpinzani Kimedani katika huu Ukanda wetu ila baadhi ya Watu hawakunielewa, ila GENTAMYCINE nilithubutu kusema vile baada ya Utai (Ujasusi) wangu wa Kimkakati hasa mahala nilipo sasa.

Kama tu nakutana na Vijana wa Kijeshi (Maafisa Wanafunzi) wa Kitanzania waliofanya Mafunzo yao Kenya, Uganda na Rwanda wananiambia Kaka GENTAMYCINE kaa na Amani ukijua kuwa Tanzania yako tumewaacha mbali mno hawa Majirani zetu Kijeshi na nilipowauliza vipi Kenya Kijeshi wakabaki tu Kucheka na kusema kuwa hao Amiri Jeshi Mkuu Rais Samia Suluhu Hassan akisema tu tuingie nao Vitani kwa jinsi Jeshi lao lilivyo Dhaifu na Wanajeshi wao basi kuna uwezekano mkubwa Kenya ikawa ni Mali rasmi ya Tanzania ndani ya Saa 6 tu.

Sasa kama tu Uganda ya Museveni na Rwanda ya Kagame kutwa Wanalipongeza Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuwa ni Jeshi imara na limewasaidia mno katika Kufunza Wanajeshi wao na kwa Ushuhuda ambao GENTAMYCINE ninao ni kwamba hadi hivi sasa Jeshi la Uganda na la Rwanda bado wanajifunza kutoka Jeshi la Tanzania kiasi kwamba hata baadhi ya Wakufunzi wa Tanzania (JWTZ) huenda Kukufunzi / Kufundisha Medani za Kivita Wanajeshi wa Uganda na Rwanda.

Binafsi kama GENTAMYCINE juzi nilifurahi mno pale Rais wangu Samia alivyowaadabisha Wakenya Tanzania kwani hata Mimi huku nilipo Siku hiyo hiyo (what a coincidence) nami nilimuadabisha Mjeda mmoja wa Kenya aliyekuwa anatoa Maneno ya Kashfa kwa Tanzania na kwa nilichomwambia nadhani ameanini kuwa Tanzania si tu ni Wababe wa Kijeshi Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati bali pia hata katika Vita ya Maneno tuko vizuri vile vile.

Choko choko za Wakenya kwa Watanzania GENTAMYCINE sijaanza kuzisikia leo na sijui ni kwanini Wakenya wanapenda Kutudharau Watanzania hasa kwa Kigezo cha kutoongea Kiingereza cha KISHOGA kama Wao na kusoma sana.

Hakuna asiyejua (hasa kwa Sisi ambao tunatembea) kuwa Maisha ya Wakenya kama Wakenya ni mabaya na wana Dhiki mno kwani kwa 90% Uchumi wao umemilikiwa na Waingereza na Wamarekani ila Kenya kama Kenya haina lolote.

Kuonyesha kuwa Wakenya wana Matatizo na kwamba wanalolitafuta kwa Watanzania walipata soon hata jana tu Mkuu wa Majeshi Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba alimpongeza Rais Samia kwa hatua thabiti aliyoichukua juu ya Wakenya na kasema kuwa kuanzia sasa Yeye (CDF Gen Muhoozi Kainerugaba) atakuwa ni Shabiki wa Rais Samia huku akimheshimisha zaidi kwa kumuita Mama....

Wakenya wote mlioko hapa JamiiForums kuweni makini sana na Sisi Watanzania kwani hamtuwezi tu kwa Kimedani (Kivita) bali hata pia Kiuchawi (Kiunyangindo) hamtuwezi vile vile Kudadadeki zenu.

Na kuonyesha kuwa GENTAMYCINE naiwakilisha vyema Tanzania huku nilipo kwa Kuwaadabisha Wakenya huyu Mkenya wenu nimemwambia akithubutu tu kumleta Mkewe hapa tulipo NITAMKAZIA MKEWE na jana nilimsikia akiongea katika Simu na Mkewe akimwambia kuwa Yeye ndiyo atakuwa anaenda mara moja moja kumtembelea Kwao Kenya na kwamba asije Kumtembelea nikajua kuwa BITI LANGU ( MKWARA WANGU) umefika mahala pake.

GENTAMYCINE nikiambiwa nichague Marafiki haraka sana nitawachagua Waganda (Uganda) na Wanyarwanda (Rwanda) ila siyo Wakenya (Kenya) ambao SIWAPENDI na natamani sana Siku moja tuingie nao Vitani ili TUWANYOOSHE na tuheshimiane.

Pumbavu zao......!!!!!!!
Kwasababu wanashirikiana na COW - Coalition of the Willing (Uganda, na Rwanda)

Na kati ya hao, Rwanda anaijua Tanzania NJE na NDANI.

Vita ya Uganda tulishinda kwasababu WANANCHI walikuwa kitu kimoja.

Sasa hivi UMOJA wa KITAIFA umekufa.

Watawala ndio wanaua watu wao kila siku kwasababu ya madaraka. Wanapambana na wananchi ambao hawana hata Wembe.

====

Mfano halisi kuwa kwasasa hakuna jipya ni udhalilishwaji waliofanyiwa JESHI la Tanzania walipopita mpaka wa Rwanda wakitokea DRC.

Na hiyo ilikuwa TRAILER tu.

====

Screenshot_20250520_092304_X.jpg
20250111_080119 (1).jpg

Na bahati nzuri nilipo sasa GENTAMYCINE nakutana na Wanajeshi wa kutoka Tanzania, Uganda, Rwanda, Sudan Kusini na wa Kenya.

Taarifa ambazo ninazo na pia tu kwa Kuona kwa Wanajeshi wa Kenya ni kwamba wanachojivunia nacho zaidi ni Majigambo na Kiingereza kingi ila nikiwaona katika Mazoezi ya Kimedani hapa nilipo nawaona ni Watupu na sishangai kuona kuwa Kundi Dogo tu lile la Vijana wa 'Gen Z' liliwatoa Jasho Kenya kiasi cha Rais wao Ruto kuomba Msaada wa Rais wa Uganda Museveni ambaye alimsaidia 'Kimkakati' kutuliza hali Tete iliyokuwepo Kenya.

GENTAMYCINE sikushangaa kabisa pale Mkuu wa Majeshi Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba aliposema kupitia Mtandao wa X (zamani Twitter) kuwa ana uwezo wa kuipiga Kenya ndani ya Siku Mbili tu.

Nilishawahi kuandika hapa hapa JamiiForums kuwa JWTZ halina Mpinzani Kimedani katika huu Ukanda wetu ila baadhi ya Watu hawakunielewa, ila GENTAMYCINE nilithubutu kusema vile baada ya Utai (Ujasusi) wangu wa Kimkakati hasa mahala nilipo sasa.

Kama tu nakutana na Vijana wa Kijeshi (Maafisa Wanafunzi) wa Kitanzania waliofanya Mafunzo yao Kenya, Uganda na Rwanda wananiambia Kaka GENTAMYCINE kaa na Amani ukijua kuwa Tanzania yako tumewaacha mbali mno hawa Majirani zetu Kijeshi na nilipowauliza vipi Kenya Kijeshi wakabaki tu Kucheka na kusema kuwa hao Amiri Jeshi Mkuu Rais Samia Suluhu Hassan akisema tu tuingie nao Vitani kwa jinsi Jeshi lao lilivyo Dhaifu na Wanajeshi wao basi kuna uwezekano mkubwa Kenya ikawa ni Mali rasmi ya Tanzania ndani ya Saa 6 tu.

Sasa kama tu Uganda ya Museveni na Rwanda ya Kagame kutwa Wanalipongeza Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuwa ni Jeshi imara na limewasaidia mno katika Kufunza Wanajeshi wao na kwa Ushuhuda ambao GENTAMYCINE ninao ni kwamba hadi hivi sasa Jeshi la Uganda na la Rwanda bado wanajifunza kutoka Jeshi la Tanzania kiasi kwamba hata baadhi ya Wakufunzi wa Tanzania (JWTZ) huenda Kukufunzi / Kufundisha Medani za Kivita Wanajeshi wa Uganda na Rwanda.

Binafsi kama GENTAMYCINE juzi nilifurahi mno pale Rais wangu Samia alivyowaadabisha Wakenya Tanzania kwani hata Mimi huku nilipo Siku hiyo hiyo (what a coincidence) nami nilimuadabisha Mjeda mmoja wa Kenya aliyekuwa anatoa Maneno ya Kashfa kwa Tanzania na kwa nilichomwambia nadhani ameanini kuwa Tanzania si tu ni Wababe wa Kijeshi Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati bali pia hata katika Vita ya Maneno tuko vizuri vile vile.

Choko choko za Wakenya kwa Watanzania GENTAMYCINE sijaanza kuzisikia leo na sijui ni kwanini Wakenya wanapenda Kutudharau Watanzania hasa kwa Kigezo cha kutoongea Kiingereza cha KISHOGA kama Wao na kusoma sana.

Hakuna asiyejua (hasa kwa Sisi ambao tunatembea) kuwa Maisha ya Wakenya kama Wakenya ni mabaya na wana Dhiki mno kwani kwa 90% Uchumi wao umemilikiwa na Waingereza na Wamarekani ila Kenya kama Kenya haina lolote.

Kuonyesha kuwa Wakenya wana Matatizo na kwamba wanalolitafuta kwa Watanzania walipata soon hata jana tu Mkuu wa Majeshi Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba alimpongeza Rais Samia kwa hatua thabiti aliyoichukua juu ya Wakenya na kasema kuwa kuanzia sasa Yeye (CDF Gen Muhoozi Kainerugaba) atakuwa ni Shabiki wa Rais Samia huku akimheshimisha zaidi kwa kumuita Mama....

Wakenya wote mlioko hapa JamiiForums kuweni makini sana na Sisi Watanzania kwani hamtuwezi tu kwa Kimedani (Kivita) bali hata pia Kiuchawi (Kiunyangindo) hamtuwezi vile vile Kudadadeki zenu.

Na kuonyesha kuwa GENTAMYCINE naiwakilisha vyema Tanzania huku nilipo kwa Kuwaadabisha Wakenya huyu Mkenya wenu nimemwambia akithubutu tu kumleta Mkewe hapa tulipo NITAMKAZIA MKEWE na jana nilimsikia akiongea katika Simu na Mkewe akimwambia kuwa Yeye ndiyo atakuwa anaenda mara moja moja kumtembelea Kwao Kenya na kwamba asije Kumtembelea nikajua kuwa BITI LANGU ( MKWARA WANGU) umefika mahala pake.

GENTAMYCINE nikiambiwa nichague Marafiki haraka sana nitawachagua Waganda (Uganda) na Wanyarwanda (Rwanda) ila siyo Wakenya (Kenya) ambao SIWAPENDI na natamani sana Siku moja tuingie nao Vitani ili TUWANYOOSHE na tuheshimiane.

Pumbavu zao......!!!!!!!
Watz tuna matatizo ya akili , huez shinda vita kwa ubora wa jeshi tu , ingawaje hata ubora wa kijeshi wakeny wanatuzid kwa mbali wala sio washindan wetu
 
..jamani tusichonge sana wakati madonda ya kipigo tulichopewa na RDF na M23 bado hayajapona.

..mimi siyaamini majeshi yetu mpaka pale yatakapopata ushindi katika uwanja wa mapambano.
 
Kenya ni moja ya nchi zenye majeshi yenye wanajeshi walio na maadili mabovu kupindukia, hii inatokana na wengi wao kuingia jeshini kupitia rushwa. Utimamu wa jeshi kimedani unaanza kupimwa kwenye maadili.
Nakumbuka kwenye tukio la ugaidi lililotokea Nairobi Westgate shopping mall badala ya wao kuwasaka na kupambana na magaidi au kuokoa raia wao walijikita katika kuiba mali za kwenye maduka, nadhani hata magaidi wenyewe waliwashangaa.

View: https://www.youtube.com/watch?v=e0MWhcGGv5M
 
kuna wadau husema wewe ni chizi na huwa unawajibu matusi humu! hivi wewe si ndiye ulikuwa unalikosoa jeshi kwa kujenga frame za biashara kwenye maeneo ya kambi na uligusia katika mambo ya kiusalama na kijasusi leo hii umeandika uharo wako hapa
Amejamba na kunya kwa pamoja kisha ananusa harufu ya kinyesi chake
 
Kenya amepigana uso kwa uso na Al shabab, Tanzania tangu ile vita ya kizamani ya Idi Amin ambaye hata wananchi wake walimkataa haijawahi kupigana uso kwa uso na mtu yeyote zaidi ya kuwaotea watia vurugu na waasi wa nchi za jirani.
Mpaka leo watu wana refer ile vita mfu ya 1978
 
Back
Top Bottom