bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,385
- 2,587
Mimi nimewahi shika nywele za Mwarabu jina lake Abduli, ni zamani kidogo kipindi nikiwa kidato cha kwanza. Nilishangaa nilivyozishika kwani zilikuwa ngumu kama manyoya ya kondoo nilitegemea zitakuwa laini. Na wengine mtoe ushahidi wenu.
Lakini, kabla sijaongea sana kwanini sisi watu pori tuna nywele ngumu sana kama katani vile, alafu rangi yake haieleweki! haki yaani mi naonaa haya ni makusudi ya Mwenyezi, kwanza alianza na rangi ya ngozi tukazuga cheusi mangala sasa na hili la nywele mi naona nimchane laivu kwani ushaidi upo wazi.
Jamani hii kesi ishakuwa kubwa sana! Shida ilianza kwa madada zetu wakaugeza uzungu kwa kuwa na nywele ndefu kwa mawigi ya bei mbaya sasa shida imekuja kwa wanaume pia sasa kila kukicha wapo na black kwa nywele zao.
Swali la mwisho kwa nini upepo haupeperushi nywele zetu kama hawa wenzetu? This is so unfair