Kumbe wewe mwanasheria uchwara ikumbukwe Professor kaajiriwa na serikali kwanza na sasa pia anaenda kuitumikia serikali kosa lipo wapi?kwani lazima abaki darasani tu,unajua alikotoka Professor kwanza ,au ulisahau kwamba ni mwanasiasa pamoja na kuwa mwana taaluma,shida mnataka kupinga kila kitu kwa manufaa yenu ,akiteuliwa upande wa pili anakuwa shujaa mara jembe ,akiteuliwa na serikali mnakuja na ngonjera zenu oh mara msaliti ,kamu saliti nani?Alipoingia kwa mara ya kwanza darasani kunifundisa Family Law niliamini kweli niko chuo kikuu na ninafundishwa na GURU mwenye uwezo mkubwa, na baada ya kufundishwa nae kwa muda mrefu sikuamini kama kuna mtu Tanzania ambaye anaweza kuwa na uwezo mkubwa katika maswala ya sheria za familia kwa wakati ule zaidi yake.
Naikumbuka sauti yake kali na maelezo yake yasiyobabisha nakumbuka pia wanafunzi wengi waliopendelea kukaa viti vya mbele walilalamika kuwa Palmagamba alikuwa ananyesha sana, yaani akiongea anatoa mate huku na huku hilo sikulishuhudia kwani nilikuwa napendelea kukaa nyuma kama ilivyo mila yetu kuwa kijana wa kichaga unakaa nyuma ya familia ili kuilinda na kuhakikisha familia inakuwa salama sio uhuni kukaa backbencha.Siamini mtu mahiri ambaye mara zote darasani aliiponda serikali na kuwaponda watendaji wake
Mwalimu ambaye hakuna hata siku moja laiyowahi kusema zuri juu ya serikali na katiba yake,kila siku akijadili katiba alionyesha mapungufu makubwa juu ya katiba iweje leo ausifie mswada mbovu LAZIMA AMELOGWA na huku ni kulogwa kwa kununuliwa na SHILINGI.
Alipoingia kwenye siasa za kinafki na kuanza kuchambua hoja ya mgombea binafsi kinafki bila kusema ukweli kwa wananchi niligundua kuwa mwalimu wangu sasa ana njaa ,na ameamua kutafuta umaarufu mwingine zaidi ya ule uliotukuka aliokuwa nao.Nilifikiri labda anajiandaa kugombea ubunge sehemu fulani au ameahidiwa Uanasheria mkuu.
Wiki iliyopita nilishangaa sana kumuona mwalimu huyu wa Family law akiungana na adui yake mkubwa Jaji wa zamani wa mahakama Kuu kitengo cha biashara kwa kuteatea mswada mbovu wa katiba unaopelekwa bungeni kwa nguvu ya mafisadi na serikali isiyosikiliza maoni na matakwa ya watu waliowapeleka madarakani,""hii si sawa na ni lazima itambulike kuwa wanasiasa nyie ni watanzania pia na huu mswada unawahusu zaidi nyie"" Haya ni baadhi ya manene yaliyomtoka Guru wa sheria za kifamilia na kunifanyua nijiulize ni nani aliyemloga Guru huyu??
Naomba kumshauri mwalimu wangu kuwa kwa sasa amebaki peke yake mtaalamu na msomi anayeitetea CCM,aangalie sana isije ikawa mwaisho wa wema wake unafikia kuwa mwanzo wa ubaya wake.
Mabadiliko tunayoyataka ni lazima yaje kwa nguvu au kwa hiari Mkapa alisema HAKI HAIOMBWI INADAIWA NA IKISHINDIKANA INAPIGANIWA, tutaidai haki yetu hata kwa kuipigania.
Alipoingia kwa mara ya kwanza darasani kunifundisa Family Law niliamini kweli niko chuo kikuu na ninafundishwa na GURU mwenye uwezo mkubwa, na baada ya kufundishwa nae kwa muda mrefu sikuamini kama kuna mtu Tanzania ambaye anaweza kuwa na uwezo mkubwa katika maswala ya sheria za familia kwa wakati ule zaidi yake.

Kumbe wewe mwanasheria uchwara ikumbukwe Professor kaajiriwa na serikali kwanza na sasa pia anaenda kuitumikia serikali kosa lipo wapi?kwani lazima abaki darasani tu,unajua alikotoka Professor kwanza ,au ulisahau kwamba ni mwanasiasa pamoja na kuwa mwana taaluma,shida mnataka kupinga kila kitu kwa manufaa yenu ,akiteuliwa upande wa pili anakuwa shujaa mara jembe ,akiteuliwa na serikali mnakuja na ngonjera zenu oh mara msaliti ,kamu saliti nani?
Huyu mtu sasa asubiri madongo zaidi .Watu wanafufuaa uzi tu
Mkuu uliona mbali!!Fununu zilizovuja kutoka Ikulu ni kwamba Prof. Palamagamba Kabudi ndiye aliyeanza kuandika muswada wa katiba kabla ya kurejeshwa serikalini kwa marekebisho, Na kitu alichokifanya ni kuunakiri (copy) muswada ule wa Kenya na kuhariri(Edit) baadhi ya vipengele hasa kwa kuongeza mambo ambayo rais na CCM walikuwa wakiyataka.
Ni wazi atatetea muswada huo. Kwa ujumla anajua anachokifanya, He is opportunistic, soon he will be awarded certain senior political post. Wapo wengi tu kama yeye ambao tulikuwa tunawaamini sana lakini wakageuka kabisa: eg Prof. Lwekaza Mukandara (Sasa VC), Dr.Benson Bana (Mshauri wa Rais-Uchumi), Dr.Masumbuko Lamwai (Mwanasheria wa CCM) nk.
Anaondoka njaa anaingia njaa Kali,Mwakuembe oooooutHuyu mtu sasa asubiri madongo zaidi .
Alipoingia kwa mara ya kwanza darasani kunifundisa Family Law niliamini kweli niko chuo kikuu na ninafundishwa na GURU mwenye uwezo mkubwa, na baada ya kufundishwa nae kwa muda mrefu sikuamini kama kuna mtu Tanzania ambaye anaweza kuwa na uwezo mkubwa katika maswala ya sheria za familia kwa wakati ule zaidi yake.
Naikumbuka sauti yake kali na maelezo yake yasiyobabisha nakumbuka pia wanafunzi wengi waliopendelea kukaa viti vya mbele walilalamika kuwa Palmagamba alikuwa ananyesha sana, yaani akiongea anatoa mate huku na huku hilo sikulishuhudia kwani nilikuwa napendelea kukaa nyuma kama ilivyo mila yetu kuwa kijana wa kichaga unakaa nyuma ya familia ili kuilinda na kuhakikisha familia inakuwa salama sio uhuni kukaa backbencha.Siamini mtu mahiri ambaye mara zote darasani aliiponda serikali na kuwaponda watendaji wake
Mwalimu ambaye hakuna hata siku moja laiyowahi kusema zuri juu ya serikali na katiba yake,kila siku akijadili katiba alionyesha mapungufu makubwa juu ya katiba iweje leo ausifie mswada mbovu LAZIMA AMELOGWA na huku ni kulogwa kwa kununuliwa na SHILINGI.
Alipoingia kwenye siasa za kinafki na kuanza kuchambua hoja ya mgombea binafsi kinafki bila kusema ukweli kwa wananchi niligundua kuwa mwalimu wangu sasa ana njaa ,na ameamua kutafuta umaarufu mwingine zaidi ya ule uliotukuka aliokuwa nao.Nilifikiri labda anajiandaa kugombea ubunge sehemu fulani au ameahidiwa Uanasheria mkuu.
Wiki iliyopita nilishangaa sana kumuona mwalimu huyu wa Family law akiungana na adui yake mkubwa Jaji wa zamani wa mahakama Kuu kitengo cha biashara kwa kuteatea mswada mbovu wa katiba unaopelekwa bungeni kwa nguvu ya mafisadi na serikali isiyosikiliza maoni na matakwa ya watu waliowapeleka madarakani,""hii si sawa na ni lazima itambulike kuwa wanasiasa nyie ni watanzania pia na huu mswada unawahusu zaidi nyie"" Haya ni baadhi ya manene yaliyomtoka Guru wa sheria za kifamilia na kunifanyua nijiulize ni nani aliyemloga Guru huyu??
Naomba kumshauri mwalimu wangu kuwa kwa sasa amebaki peke yake mtaalamu na msomi anayeitetea CCM,aangalie sana isije ikawa mwaisho wa wema wake unafikia kuwa mwanzo wa ubaya wake.
Mabadiliko tunayoyataka ni lazima yaje kwa nguvu au kwa hiari Mkapa alisema HAKI HAIOMBWI INADAIWA NA IKISHINDIKANA INAPIGANIWA, tutaidai haki yetu hata kwa kuipigania.
Kuna wakati Prof.Baregu aliwaita baadhi ya ma Prof 'THERE ARE ACADEMIC PROSTITUTES" wachache walimuelewa na wengi walimdhihaki, ila alimaanisha kuwa wanataaluma wenzake wanakiuka miiko ya taaluma zao kwa kupewa fedha na ahadi na wanasiasa na kufanya yale wanasiasa wanayo yataka na sio kusimamia taaluma zao zinavyotaka.
Leo haya maneno na haya mambo yanajidhihirisha kabisa kwa maprof wengi wa Tanzania
Sio kwamba wameona Mwakyembe akimpeleka Lowasa mahakama ya mafisadi itaonekana ni chuki binafsi kwa sababu tume yake ndiyo iliyo muondoa Lowasa kwenye uwaziri mkuu ? Sasa wanataka mtu mwingine kabisa kwenye nafasi ya Mwakyembe ya sasa ili asimuonee haya LowasaAnaondoka njaa anaingia njaa Kali,Mwakuembe ooooout