Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,240
Kwenye kesi ya Mtikila nilimvua Palamagamba vyeo vyote akabaki empty set.
Every person has a price, the only problem is affordability.Alipoingia kwa mara ya kwanza darasani kunifundisa Family Law niliamini kweli niko chuo kikuu na ninafundishwa na GURU mwenye uwezo mkubwa, na baada ya kufundishwa nae kwa muda mrefu sikuamini kama kuna mtu Tanzania ambaye anaweza kuwa na uwezo mkubwa katika maswala ya sheria za familia kwa wakati ule zaidi yake.
Naikumbuka sauti yake kali na maelezo yake yasiyobabisha nakumbuka pia wanafunzi wengi waliopendelea kukaa viti vya mbele walilalamika kuwa Palmagamba alikuwa ananyesha sana, yaani akiongea anatoa mate huku na huku hilo sikulishuhudia kwani nilikuwa napendelea kukaa nyuma kama ilivyo mila yetu kuwa kijana wa kichaga unakaa nyuma ya familia ili kuilinda na kuhakikisha familia inakuwa salama sio uhuni kukaa backbencha.Siamini mtu mahiri ambaye mara zote darasani aliiponda serikali na kuwaponda watendaji wake
Mwalimu ambaye hakuna hata siku moja laiyowahi kusema zuri juu ya serikali na katiba yake,kila siku akijadili katiba alionyesha mapungufu makubwa juu ya katiba iweje leo ausifie mswada mbovu LAZIMA AMELOGWA na huku ni kulogwa kwa kununuliwa na SHILINGI.
Alipoingia kwenye siasa za kinafki na kuanza kuchambua hoja ya mgombea binafsi kinafki bila kusema ukweli kwa wananchi niligundua kuwa mwalimu wangu sasa ana njaa ,na ameamua kutafuta umaarufu mwingine zaidi ya ule uliotukuka aliokuwa nao.Nilifikiri labda anajiandaa kugombea ubunge sehemu fulani au ameahidiwa Uanasheria mkuu.
Wiki iliyopita nilishangaa sana kumuona mwalimu huyu wa Family law akiungana na adui yake mkubwa Jaji wa zamani wa mahakama Kuu kitengo cha biashara kwa kuteatea mswada mbovu wa katiba unaopelekwa bungeni kwa nguvu ya mafisadi na serikali isiyosikiliza maoni na matakwa ya watu waliowapeleka madarakani,""hii si sawa na ni lazima itambulike kuwa wanasiasa nyie ni watanzania pia na huu mswada unawahusu zaidi nyie"" Haya ni baadhi ya manene yaliyomtoka Guru wa sheria za kifamilia na kunifanyua nijiulize ni nani aliyemloga Guru huyu??
Naomba kumshauri mwalimu wangu kuwa kwa sasa amebaki peke yake mtaalamu na msomi anayeitetea CCM,aangalie sana isije ikawa mwaisho wa wema wake unafikia kuwa mwanzo wa ubaya wake.
Mabadiliko tunayoyataka ni lazima yaje kwa nguvu au kwa hiari Mkapa alisema HAKI HAIOMBWI INADAIWA NA IKISHINDIKANA INAPIGANIWA, tutaidai haki yetu hata kwa kuipigania.
Umetishaumesahau watu wanauzwa na kununuliwa pia? (sio miili tu mpaka na fikra zao)
Labda Peter Tino...Wacha Jf iitwe Jf hivi kuna kiumbe chochote Tanzania hii mwenye jina hajawahi jadiliwa humu ?
Alipoingia kwa mara ya kwanza darasani kunifundisa Family Law niliamini kweli niko chuo kikuu na ninafundishwa na GURU mwenye uwezo mkubwa, na baada ya kufundishwa nae kwa muda mrefu sikuamini kama kuna mtu Tanzania ambaye anaweza kuwa na uwezo mkubwa katika maswala ya sheria za familia kwa wakati ule zaidi yake.

Hawa ndugu zetu wanataka kila aliyesoma awe upande wao. Hawajui kwamba wasomi siku hizi wako kila pande ya nchi hii na wanao uhuru wa kufikiri na kutenda lolote ili mradi hawavunji sheria.Kumbe wewe mwanasheria uchwara ikumbukwe Professor kaajiriwa na serikali kwanza na sasa pia anaenda kuitumikilia serikali kosa lipo wapi?kwani lazima abaki darasani tu,unajua alikotoka Professor kwanza ,au ulisahau kwamba ni mwanasiasa pamoja na kuwa mwana taaluma,shida mnataka kupinga kila kitu kwa manufaa yenu ,akiteuliwa upande wa pili anakuwa shujaa mara jembe ,akiteuliwa na serikali mnakuja na ngonjera zenu oh mara msaliti ,kamu saliti nani?
wewe akili yako haiko sawa. hivi ccm ni chama cha kuzimu? hivi mtu msomi akiisapoti ccm basi usomi wake unaondoka au unapunguka? kwa hiyo maprofesa walioko chadema au cuf au kwingineko ndio wasomi kamili kwa kuwa wako upinzani? Ni vyema ukaleta hoja za kutofautiana na mtu kwa hoja zake - usimchukie mtu au kumshambulia kwa kuwa ANASEMA AU KUTENDA USIYOPENDA WEWE: Muswada unaouona wewe ni mbovu unaweza usiwe mbovu kwangu - law making is all about power relations in a society kwa hiyo wenye nguvu siku zote watatunga sheria wanazozitaka na hii ni popote DUNIANI. Kuichukia Kwako CCM kusikufanye ukawachukia watanzania na Tanzania - zingatia upinzani wa fikra na maoni na usishugulike na PERSONALITY. ShameAlipoingia kwa mara ya kwanza darasani kunifundisa Family Law niliamini kweli niko chuo kikuu na ninafundishwa na GURU mwenye uwezo mkubwa, na baada ya kufundishwa nae kwa muda mrefu sikuamini kama kuna mtu Tanzania ambaye anaweza kuwa na uwezo mkubwa katika maswala ya sheria za familia kwa wakati ule zaidi yake.