Fununu zilizovuja kutoka Ikulu ni kwamba Prof. Palamagamba Kabudi ndiye aliyeanza kuandika muswada wa katiba kabla ya kurejeshwa serikalini kwa marekebisho, Na kitu alichokifanya ni kuunakiri (copy) muswada ule wa Kenya na kuhariri(Edit) baadhi ya vipengele hasa kwa kuongeza mambo ambayo rais na CCM walikuwa wakiyataka.
Ni wazi atatetea muswada huo. Kwa ujumla anajua anachokifanya, He is opportunistic, soon he will be awarded certain senior political post. Wapo wengi tu kama yeye ambao tulikuwa tunawaamini sana lakini wakageuka kabisa: eg Prof. Lwekaza Mukandara (Sasa VC), Dr.Benson Bana (Mshauri wa Rais-Uchumi), Dr.Masumbuko Lamwai (Mwanasheria wa CCM) nk.