Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,277
- 105,478
Ume i define kuwa "Mantiki ni kile kinachosemwa; neno au wazo au kinachofundishwa."Hapana! Sikubali.
Karibu uoneshe unatili wake.
Unakubali kwamba ulitoa definition hii au unakataa?
Ume i define kuwa "Mantiki ni kile kinachosemwa; neno au wazo au kinachofundishwa."Hapana! Sikubali.
Karibu uoneshe unatili wake.
Ninakubali.Ume i define kuwa "Mantiki ni kile kinachosemwa; neno au wazo au kinachofundishwa."
Unakubali kwamba ulitoa definition hii au u
Unakubali pia kwamba kitu kinaweza kuwa ""ni kile kinachosemwa; neno au wazo au kinachofundishwa." na kikawa hakina mantiki?Ninakubali.
NakubaliUnakubali pia kwamba kitu kinaweza kuwa ""ni kile kinachosemwa; neno au wazo au kinachofundishwa." na kikawa hakina mantiki?
Unakubali kwamba ukikubali mawili haya ya mwisho uliyokubali unajicontradict?Nakubali
Hakuna utashi wa kitaaluma hapa.Unakubali kwamba ukikubali mawili haya ya mwisho uliyokubali unajicontradict?
Hujajibu swali nililokuuliza.Hakuna utashi wa kitaaluma hapa.
Jesus is a son of God, NOT a Christian God. take care plzIn Greek mythology there are many gods. They are born but immortal. Which God are you talking here. A Muslim God (Allah) or Christian God (Jesus)?
Sent using Jamii Forums mobile app
SikubaliHujajibu swali nililokuuliza.
Unakubali kwamba ukikubali mawili haya ya mwisho uliyokubali unajicontradict?
Kwa nini hukubali?Sikubali
Kwasababu hilo nimeshalieleza.Kwa nini hukubali?
Unaelewa ukiulizwa mwanamke ni nani, ukajibu mwanamke ni mtu, umejiachia nafasi ya kukosea kwa sababu hata mwanamme naye ni mtu?
Kwasababu hilo nimeshalieleza.
Neno "unaelewa" haliambatani na neno "kukosea"; anaelewa hawezi kukosea. Hivyo swali hilo hapo ni batili.
Kosa lako ni kwamba unakosa uelewa.Umekubali mambo mawili yanayopingana.
Hakuna kuelewa kukosea, lakini kuna kujifunza baada ya kukosea.Unaelewa kwamba kuna kuelewa kukosea na hapo neno kuelewa linaambatana na kukosea?
Kwa nini neno "unaelewa" lisiweze kuambatana na neno "kukosea"?
Ukishasema "hakuna kuelewa kukosea" tayari ushaambatanisha kueleewa na kukosea.Hakuna kuelewa kukosea, lakini kuna kujifunza baada ya kukosea.
Kwani palipo na uelewa haiwezekani kukawa na kukosea.
Kwa sababu "Uelewa" ni intellectual knowledge na " "Kukosea" ni sense knowledge.