Nani aliyemuumba Mungu?

Nani aliyemuumba Mungu?

Kosa lako ni kwamba unakosa uelewa.

Mantiki ni kipengee cha sayansi; hivyo ni sayansi.

Sayansi haya ni maarifa, kwanza yanayokua pia yanayochunguza "Kweli zilizobainishwa", ambazo bado hazijathibitishwa.

Kwahiyo "kile kinachosemwa; neno, wazo au kinachofundishwa": au ni kweli au siyo kweli, kinakuwa mantiki kwasababu mantiki ndiyo inashughulika na hayo yote.

Kama kipengee cha sayansi; hivyo nacho ni sayansi, kile kinachosemwa; neno, wazo au kinachofundishwa kinapothibitika hakiwi tena mantiki, ila kinakuwa kweli.

Jambo lililothibitika kisayansi haliwi tena suala au jambo la sayansi, bali huwa kweli/ ukweli.

Kukinzana kwa mambo (contradiction) ndiyo mantiki yenyewe. Kinyume chake hakiwi mantiki, bali kinakuwa kweli.
Nikisema na kufundisha kwamba 1+1 = 1 katika base ten mathematics, kusema kwangu na kufundisha hivyo kuna mantiki?
 
Ukishasema "hakuna kuelewa kukosea" tayari ushaambatanisha kueleewa na kukosea.

Pia, unakataa kwamba hakuna kuelewa kwamba hapa nimekosea?

Hujawahi kuelewa kwamba umekosea?
Nieleze hivi: uelewa au kuelewa ni intellectual knowledge na kukosea ni sense knowledge. Hivi vitu viwili haviendi pamoja.

Niwie radhi kama utakwazika! Yesu alielewa hivyo hakukosea. Kwa sababub Yesu ni uelewa hivyo haambatani na kukosea.

Nataka kusema, kama unaelewa kwanini ukosee?

Au kama unaelewa inawezekanaje uelewe kwamba ulikosea?

Kama ulielewa, kwamba umekosea; hukuelewa, bali umejifunza kwamba ulikosea.

Mtu hawezi kuwahi kuelewa kwamba alikosea. Lakini anajifunza kwamba alikosea.

Kwani uelewa ni sauala la intellectual knowledge ambapo hapa hakuna makosa.

Hivyo kadiri ya swali lako la awali ulivyouliza, haiwezekani uelewa ukaambatana na makosa.
 
Nikisema na kufundisha kwamba 1+1 = 1 katika base ten mathematics, kusema kwangu na kufundisha hivyo kuna mantiki?
Mantiki; kama nilivyosema hapo awali kuwa ni kipengee cha sayansi; hivyo ni sayansi.

Tunafahamu, kwamba sayansi inaongonzwa na sheria. Hivyo mantiki nayo ina sheria zinazoongoza.

Hivyo, suala hilo hapo kama ulivyolibainisha litachunguzwa kadiri ya sheria inayoongoza mantiki kujua kama kuna mantiki au hapana.

Hivyo tutangalia sheria inayoongoza base ten mathematics inasemaje na hili la 1+1=1 likoje.
 
Mantiki; kama nilivyosema hapo awali kuwa ni kipengee cha sayansi; hivyo ni sayansi.

Tunafahamu, kwamba sayansi inaongonzwa na sheria. Hivyo mantiki nayo ina sheria zinazoongoza.

Hivyo, suala hilo hapo kama ulivyolibainisha litachunguzwa kadiri ya sheria inayoongoza mantiki kujua kama kuna mantiki au hapana.
Hujajibu nilichouliza na ulichojibu sijauliza.

Nikisema na kufundisha 1 + 1= 1 , katika base ten math, hicho nilichosema na kufundiaha kina mantiki?
 
Nieleze hivi: uelewa au kuelewa ni intellectual knowledge na kukosea ni sense knowledge. Hivi vitu viwili haviendi pamoja.

Niwie radhi kama utakwazika! Yesu alielewa hivyo hakukosea. Kwa sababub Yesu ni uelewa hivyo haambatani na kukosea.

Nataka kusema, kama unaelewa kwanini ukosee?

Au kama unaelewa inawezekanaje uelewe kwamba ulikosea?

Kama ulielewa, kwamba umekosea; hukuelewa, bali umejifunza kwamba ulikosea.

Mtu hawezi kuwahi kuelewa kwamba alikosea. Lakini anajifunza kwamba alikosea.

Kwani uelewa ni sauala la intellectual knowledge ambapo hapa hakuna makosa.

Hivyo kadiri ya swali lako la awali ulivyouliza, haiwezekani uelewa ukaambatana na makosa.
Intellectual knowledge ni nini na sensual knowledge ni nini na unawezaje kutofautisha moja na nyingine?
 
Hujajibu nilichouliza na ulichojibu sijauliza.

Nikisema na kufundisha 1 + 1= 1 , katika base ten math, hicho nilichosema na kufundiaha kina mantiki?
Tatizo lako unauliza usichojua na unajua usichouliza.

Utakubali kwamba base ten mathematics ina sheria inayoiongoza, si ndiyo?

Kama ndio tutaangalia hiyo sheria inasemaje na hii 1+1=1 ikoje katika sheria ya base ten mathematics. Mchezo unakuwa umeisha.
 
Intellectual knowledge ni nini na sensual knowledge ni nini na unawezaje kutofautisha moja na nyingine?
Sio kwamba ninakosea kusema hauna uelewa. Ni kweli unakosa uelewa.

Unavyojipambanua haiwezekani ukawa hujui intellectual knowledge na sensual knowledge!

Jifunze utajua na utaelewa.
 
Sio kwamba ninakosea kusema hauna uelewa. Ni kweli unakosa uelewa.

Unavyojipambanua haiwezekani ukawa hujui intellectual knowledge na sensual knowledge!

Jifunze utajua na utaelewa.
Hujajibu swali langu. Hata kama sijaelewa, kutonijibu jwako hakunieleweshi.

Intellectual knowledge ni nini na sensual knowledge ni nini na unazitofautushaje?

Hujajibu swali hili.
 
Tatizo lako unauliza usichojua na unajua usichouliza.

Utakubali kwamba base ten mathematics ina sheria inayoiongoza, si ndiyo?

Kama ndio tutaangalia hiyo sheria inasemaje na hii 1+1=1 ikoje katika sheria ya base ten mathematics. Mchezo unakuwa umeisha.
Sasa mbona bado hujajibu kama nilichosema na kufundisha, kwamba katika base ten math 1 + 1 = 1, kina mantiki au hakina mantiki?
 
Unaelewa kwamba kuna kuelewa kukosea na hapo neno kuelewa linaambatana na kukosea?
Chief unapenda sana kuzunguka, sasa sijui hili linachangiwa na uoga ulio nao au vipi ? (Utatupa jibu ukipenda).

Mimi naomba utunge sentensi kwayo maneno hayo mawili yakifata kisha ikaleta maana. Maneno hayo yakiambatana hayaleti maana sababu yanaonyesha wazi kabisa ili yalete maana lazima yatenganishwe na tamko moja au zaidi. Huu ndiyo usahihi wa jambo. Wewe tunga sentensi uone.
Kwa nini neno "unaelewa" lisiweze kuambatana na neno "kukosea"?
Haliwezi kuambatana sababu ukiyaambatanisha hayaleti maana, na sisi Waswahili hatuyaambatanishi maneno haya.

"Wewe yaambatanishe uone kama yanaleta maana".
Unashindwa hata ku define mantiki, sitegemei uweze kufikiri na kujenga hoja kwa mantiki.
Mantiki ilikuja baada ya mjengeko wa maneno na kuleta maana. Hii ni fani tu ikiyowekewa misingi kwa kufata mawazo ya watu, kwahiyo si hoja katika hili na unaweza usiijue elimu hii na ukajenga hoja na kueleweka vyema, kama ilivyo ya kuwa si lazima uwe Mwanafalsafa au usomee Falsafa ndiyo uwe hodari katika kujenga hoja.

Elimu ya Mantiki ni miongoni mwa elimu za kupuuzwa ambazo ziliwafanya watu wafikirie mambo kwa kufata mawazo ya muanzilishi wa fani hii ambaye ni Aristosto.
 
Pia, unakataa kwamba hakuna kuelewa kwamba hapa nimekosea?

Hujawahi kuelewa kwamba umekosea?
Sasa huu ndiyo usahihi wa mambo na ni majibi dhidi yako ya kuwa maneno hayo ukiyaweka kwa kufuatana moja likafata lingine halileti maana isipokuwa mpaka pale utakapo yaleta maneno baina ya maneno haya.

Sada inakuwaje unapoteza muda kwa kuvunja kanuni za mjengeko wa sentensi huki unajua kabisa ya kuwa maneno hayo huleta maana yakiambatana na maneno mengine.
 
Nikisema na kufundisha kwamba 1+1 = 1 katika base ten mathematics, kusema kwangu na kufundisha hivyo kuna mantiki?
Hakuna mantiki yoyote kwa maana ya mantiki kama maana sababu 1+1=1 hili si kweli.
 
Kwasababu hakuwepo kabla ya Muhammad... Au una ushahidi alikuwepo before Muhammad?
Kwasababu mitume mingi ilipita kabla ya Muhammad..Kama Nabii Musa,,Nabii Yusuph, nabii ISSA bin maryum.

Hao wote waliwaambia Watu kuhusu Mungu..

Vipi mtume Muhammad (S.a.w) awe amemuumba Mungu?..
 
Hujajibu nilichouliza na ulichojibu sijauliza.
Naona kuna kosa la kimantiki hapa, ingetosha tu kuandika "Hujajibu nilichouliza" kwani kuandika "Hujajibi nilichouliza na ulichojibu sijauliza" ni kitu kimoja,inaonekana Elimu ya Logic uliyo isoma haijakusaidia. Unapoteza muda kurudia jambo moja.
 
Hujajibu nilichouliza na ulichojibu sijauliza.

Nikisema na kufundisha 1 + 1= 1 , katika base ten math, hicho nilichosema na kufundiaha kina mantiki?
Hakina mantiki.
 
Kwasababu mitume mingi ilipita kabla ya Muhammad..Kama Nabii Musa,,Nabii Yusuph, nabii ISSA bin maryum.

Hao wote waliwaambia Watu kuhusu Mungu..

Vipi mtume Muhammad (S.a.w) awe amemuumba Mungu?..
hiyo mitume+allah ni stori za muhamad na kitabu chake cha quran,,,
hao mitume wenyewe wewe huna maandishi yao au huwajui ila kupitia stori alizokuja nazo muhamad kwenye kitabu chake cha quran(technically kitabu kiliandikwa miaka mingi na wafuasi wake waliokuwa bado wanazikumbuka soga zake)
 
Back
Top Bottom