Nani aliyemuumba Mungu?

Mungu ni kama mtu aliyekuwa amelala akastuka na kujikuta yuko pekee huko juu, akaanza kujiuliza niko wapi, Mimi ni Nani, natoka wapi, akasema na watokee wasaidizi malaika wakatokea ,akawaambia Mimi nimewaumba ninyi haya Natuumbe kiumbe na sehemu atakapo kaa ikaumbika dunia, viumbe WA kila aina na binadamu, USIKU MWEMA 🐱Good Night πŸ’€πŸŒ™
😊 Sweet Dream
🌠🌠🌠🌠🌠🌠🌠
☁😞☁☁☁☁😞☁
β˜πŸ’§β˜β˜β˜β˜πŸ’§β˜
πŸŒ‚πŸŒ‚πŸ˜žπŸ˜žπŸ˜žπŸ˜žπŸŒ‚πŸŒ‚
πŸŒ‚πŸ˜žπŸŒ‚πŸŒ‚πŸŒ‚πŸŒ‚πŸ˜žπŸŒ‚
I feel so sad
 
Kabla ya kubishana nani alimuumba Mungu ungeanza kwa kusema Mungu yupi...kama ni Allah tunamjua aliumbwa na Muhammad nk. N.k
Labda ungeanza
kwa kutuonesha kwa thibati kabisa huyo mungu unayemzungumzia
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kama hatuwezi kujua chanzo cha sayari Jua.
Hili Jua linalomulika mwanga mchana, na tunashindwa hata kulisogelea ili kufanya utafiti wa kina.
Basi hatuwezi kutambua chanzo cha Mungu.

Hili swali hili lipo zaidi ya uelewa na uwezo wa Mwanadamu.
Haliwezi kujibiwa kiusahihi na Binadamu yeyote.

Yako maswali mengi tu ambayo hatuwezi kuyajibu Kisayansi
Chanzo cha Ulimwengu.
Chanzo cha Binadamu
Chanzo cha sayari zote ikiwemo dunia
Chanzo cha Mwanga, Giza, Uwepo nk.
 
Uwepo (existence) ndio chanzo pekee cha Mungu. Hakuna namna unaweza kutambua au kuelezea uwepo wa Mungu kama haupo (does not exist). God will continue not to exist until you exist.
 
Uwepo (existence) ndio chanzo pekee cha Mungu. Hakuna namna unaweza kutambua au kuelezea uwepo wa Mungu kama haupo (does not exist). God will continue not to exist until you exist.


Na ili kuelewa dhana hii, hebu tutafakari kidogo swali hili. Kati ya Mzazi na Mtoto, ni yupi wa kwanza kuwepo. Bila shaka, wengi tutasema ni Mzazi.

Mimi nina wazo tofauti. Hakuna mzazi wa kibaolojia(na hata kaa atokee mzazi wa kibaolojia) bila kuzaa kwanza mtoto. Kwa hiyo hiyo, mzazi yupo kwa kuwa mtoto yupo.

The time you exist, the time God and everything exist.
 
Hilo swali achana nalo, ishia hapo hapo.
Exactly. Hili jibu nakumbuka enzi za useminarini tulijibiwa na deacon kwa kusema ''De fide'' ni theological note inayomfanya mtu abaki na kile anachokiamini na Usiendelee kuuliza zaidiii. Don't ask and don't question any more. its a dogma.
 
Yani Mungu hajaubwa maana yeye ndo mwanzo wa kila kitu. All the Mighty forces behind the creation of all universe and all angels and myths
The question: "If God is the creator, then who created the creator?" is illegitimate because by definition, the Creator is uncreated. He is eternal, without beginning, without end and all affairs return back to Him: (ΩˆΩŽΨ£ΩŽΩ†Ω‘ΩŽ Ψ₯ΩΩ„ΩŽΩ‰Ω° Ψ±ΩŽΨ¨Ω‘ΩΩƒΩŽ ٱلْمُنΨͺΩŽΩ‡ΩŽΩ‰Ω°) "And that to your Lord is the return (of all beings and affairs) (and of all perfections in attributes)." (53:42).

Thus to ask who or what created something that is uncreated is the way of:
a) an ignorant person devoid of intellect,
b) a lying deceiver, a sophist.

Note : Maelezo haya mafupi nime "copy" na ku "paste" toka kwenye tovuti iitwayo "www.aboutatheism.net", mnaweza tembelea huko mpate faida.

Tujadili hili, kwa wale wote ambao huuliza swali hilo, waje watuambie kwanini wanauliza swali hilo.

Ahsante.

Jurjani (Zurri)
 
Back
Top Bottom