James_patrick_
Senior Member
- Mar 20, 2017
- 102
- 194
mungu tusamehe.atujui tutendalo!
Hakuwa Malaika perce, alikuwa Malaika kwenye umbile la binadamu. Ni kwenye Kitabu cha Waamuzi sura ya 13Kwanza ulithibitisha ya kuwa huyo aliyemtokea ni Malaika ?
Habari hizi tunazipata katika kitabu gani ?
Tunaweza pekee kufafanua fact katika assumption; hakuna fact bila kwanza assumption...Unafahamu hilo?Jibu lako lina assumption zaidi ya fact.
Kibailojia mtu anatawaliwa na mfumo wa kati wa fahamu ndiyo ubongo na uti wa mgongo.Mtawala anayeweza kuwatawala watu milioni sitini na kuwatuliza kwa kuua wengi ana akili kwa sababu kaweza kuwatawala? Au hana akili kwa sababu anawaua raia wake?
Mungu anatengenezwa kifra sio kitu halisi ndo mana hakipo wala akionekani na wala hakisemi mungu anatengenezwa kwenye UbongoThe question: "If God is the creator, then who created the creator?" is illegitimate because by definition, the Creator is uncreated. He is eternal, without beginning, without end and all affairs return back to Him: (وَأَنَّ إِلَىٰ رَبِّكَ ٱلْمُنتَهَىٰ) "And that to your Lord is the return (of all beings and affairs) (and of all perfections in attributes)." (53:42).
Thus to ask who or what created something that is uncreated is the way of:
a) an ignorant person devoid of intellect,
b) a lying deceiver, a sophist.
Note : Maelezo haya mafupi nime "copy" na ku "paste" toka kwenye tovuti iitwayo "www.aboutatheism.net", mnaweza tembelea huko mpate faida.
Tujadili hili, kwa wale wote ambao huuliza swali hilo, waje watuambie kwanini wanauliza swali hilo.
Ahsante.
Jurjani (Zurri)
Kufikiri, kuthibitisha, kuchunguza, kukataa ndiyo huitwa akili.Akili ni nini?
Unataka uthibitisho wa kuwepo Mungu kwa wenye kuamini Mungu?Tueleze Mungu ni nini na thibitisha Mungu yupo kweli.
"Rekebisha kunitaka nirekebishe swali!"Sijakuelewa unapoandika "dhamira ya swali "nini" haikai katika Jina au Sifa ya chenye Elimu.
Swali lina dhamira au anayeuliza swali ndiye ana dhamira?
Rekebisha kunitaka nirekebishe swali!
Hivi yule msichana aliyenikataa kipindi kile hivi kumbe ana akili.!Kufikiri, kuthibitisha, kuchunguza, kukataa ndiyo huitwa akili.
Huyo msichana hakukukataa kwa sababu kwamba alichunguza akathibitisha kwamba hutapata mwingine zaidi yake.Hivi yule msichana aliyenikataa kipindi kile hivi kumbe ana akili.!
Kabisa alikaa akachunguza akathibitisha sitompata wa zaidi yake
Kwaiyo hayo maamuzi aliyoyachukua huyo msichana ndio Akili yenyewe.?Huyo msichana hakukukataa kwa sababu kwamba alichunguza akathibitisha kwamba hutapata mwingine zaidi yake.
Hayo ulioeleza hapo ni fikiri yako kumuhusu huyo msichana alivyokutendea na sio fikiri ya msichana.
Kwa sababu yeye hakuwa msichana peke yake; hivyo wengine zaidi yake walikuwepo na wapo.
Ni mara ngapi umesikia, umeona, umehisi au umeambiwa taarifa au jambo, lakini ukaacha kulitekeleza au kulipokea? Ni nini hicho kinakufanya ufanye hivyo; na kwa nini?
Anachekesha."Rekebisha kunitaka nirekebishe swali!"
Hahahaha ila nimecheka sio siri
Kutoka kwa yeyote yule, hususan asiyeamini ila anayejua.Unataka uthibitisho wa kuwepo Mungu kwa wenye kuamini Mungu?
Kwa hiyo Mungu naye anafikiri, anathibitisha, anachunguza, anakataa?Kufikiri, kuthibitisha, kuchunguza, kukataa ndiyo huitwa akili.
Kabla ya yote ueleze wewe ni niniTueleze Mungu ni nini na thibitisha Mungu yupo kweli.
Sioni mantiki ya swali hili.Kabla ya yote ueleze wewe ni nini
Naona unaendelea kukosea. Huwa nawaambia silei ujinga.Tueleze Mungu ni nini na thibitisha Mungu yupo kweli.
Hawezi kujibu swali hilo sababu anajua siyo sahihi, na kama hajui,tutamuuliza kwanini anajadili juu ya jambo usilolijua ?Kabla ya yote ueleze wewe ni nini
Hii elimu ya Mantiki inaonekana uliivamia na hujui kama inazidi kukufanya uwe dhaifu katika kujenga hoja na kufikiri mambo katika uhalisia.Logical non sequitur.