Nani aliyemuumba Mungu?

Nani aliyemuumba Mungu?

Umedai kua huijui hiyo miungu

Sasa hiyo miungu yote imenadiwa katika dini zao kua ni waumbaji wa ulimwengu, je unakubaliana na hoja hiyo?
Weka huo ushahidi,hujaelewa wapi kijana ? Au hawana maandiko yao katika dini hizo ?
 
Nikuoneshe ili iweje?

Mimi kazi yangu ni kukuthibitishia kisichopo so usinipe task isiyonihusu

Unaweza kuthibitisha madai yako kua hakuna uthibitisho humu?
Sasa tutajuaje kama umethibitisha ? Kijana hii kazi huiwezi, tumia akili tu ya kawaida. Kama hivyo ndivyo hupaswi kusema kazi yako ni kuthibitisha wakati huwezi kuthibitisha na huwezi kuonyesha huo uthibitisho.

Nimemaliza ....
 
Haya maneno nayotumia mimi kujadiliana na wewe unawezaje kujua huo muktadha wake ?
Kwasababu mimi ni mswahili na wabongo tunajuana.
Nikisema "kuna mtoto mkali jana nimemdaka" utanielewa lakini mzungu anayejifunza lugha atapata shida akianza kuuliza maana ya mtoto,mkali,nimemdaka
Kwahyo muktadha mkuu,muktadha
 
Weka huo ushahidi,hujaelewa wapi kijana ? Au hawana maandiko yao katika dini hizo ?
Maandiko haya hapa, kwa maelezo zaidi waweza kupakua kitabu chake amazon


Zeus was the king of the Greek gods.

Zeus: Greek god of thunder, king of all men, declared to be the creator of universe, hurler of lightning bolts. The short story & myth of Zeus, King of the Gods is a suitable for kids and children. His other symbol is the eagle. This title has Common Core connections. Greek God of the Sky and King of the Gods. Zeus, the king of the greek gods. Zeus in Greek mythology is the king of the gods, the ruler of Mount Olympus and god of the sky and thunder. Zeus was the king of the Greek gods. As polytheistic systems evolve, there is a tendency for one deity, usually male, to achieve preeminence as king of the gods.This tendency can parallel the growth of hierarchical systems of political power in which a monarch eventually comes to assume ultimate authority for human affairs. He was also god of the skies, and is often shown holding a bolt of lightening. This title has Common Core connections. Zeus, King of the Greek Gods. Although, he could pretty much intervene in every decision made by any of other gods, he had no control over the fates.Zeus was naturally the most respected and awed god by both gods and mortals. A sky god, he controls lightning, which he uses as a weapon, and thunder. His other symbol is the eagle. Zeus’s father was Cronos, who was a Titan (giant). Volume 1 of OLYMPIANS, ZEUS: King OF THE GODS, introduces readers to the ruler of the Olympian Pantheon, telling his story from his boyhood to his ascendance to supreme power. Zeus. Buy Zeus: King of the Gods by Rob Romeyn at jwpepper.com. Zeus was the king of the ancient Greek gods, and the god of the sky, weather, law and order, destiny and fate. He was depicted as a regal, mature man with a sturdy figure and dark beard. Zeus: King of gods is the first book in a new graphic novel series about the stories and myths of the old Greek Gods. Cronos had a nasty habit of eating his children. Zeus, the king of the greek gods. His name is cognate with the first element of his Roman equivalent Jupiter. He was the dominant god of the Olympian pantheon, and in the Iliad is seen as the father of both Gods and men, ruling over all from Olympus or from the heavens (which was effectively the same thing). Cronos had a nasty habit of eating his children. His usual attributes were a lightning bolt, royal sceptre and eagle. This title has Common Core connections. Zeus: King of the Gods. Considering the king’s high status, you would expect that a game deeming him the main character would demand a fortune. The art is wonderful. Zeus was a god of the sky and weather.He was also known as the King of the gods and a ruler of mankind as he influenced the natural law and order of the cosmos. Soon after Zeus was born, his mother Rhea hid the baby in a … And its sort of awesome. It's no Big Bang, but we do see a lot of Titans, Cyclopes, Hekatonchieres and all sorts of other monsters, and a bunch of Greek Gods as well. He was also god of the skies, and is often shown holding a bolt of lightening. The stories themselves are familiar and well thought out and organised. Zeus was the first of the gods and a very imposing figure. Zeus’s father was Cronos, who was a Titan (giant). Zeus. In Greek mythology, Zeus is the god of the sky, thunder and lightning, whom from his throne on Mount Olympus, ruled over god and man alike, maintaining order and justice in the universe as the king of the gods.
 
Sasa tutajuaje kama umethibitisha ? Kijana hii kazi huiwezi, tumia akili tu ya kawaida. Kama hivyo ndivyo hupaswi kusema kazi yako ni kuthibitisha wakati huwezi kuthibitisha na huwezi kuonyesha huo uthibitisho.

Nimemaliza ....
ni kwasababu nilishakuambia kua nimethibitisha humu tayali, na uthibitisho niliotoa ndio ule ule ambao uliukubali kwenye uzi wako kabla ya huu

tuambie we umejuaje kua uthibitisho haupo?
 
ni kwasababu nilishakuambia kua nimethibitisha humu tayali, na uthibitisho niliotoa ndio ule ule ambao uliukubali kwenye uzi wako kabla ya huu

tuambie we umejuaje kua uthibitisho haupo?
Utoto mwingi sana. Hili huwezi unaruka ruka tu.
 
Kwasababu mimi ni mswahili na wabongo tunajuana.
Nikisema "kuna mtoto mkali jana nimemdaka" utanielewa lakini mzungu anayejifunza lugha atapata shida akianza kuuliza maana ya mtoto,mkali,nimemdaka
Kwahyo muktadha mkuu,muktadha
Ulichoeleza hapo tunaita kiswahili cha mtaani na sio kiswahili tunachotumia hapa.
 
Hicho kiswahili ulichotolea mfano hata babu yako mswahili ila hakijui.

Mbuzi ni mnyama na pia mbuzi ni kifaa cha kukunia Nazi.
Sasa hapo mbuzi umeweka definition mbili assume zingekuwa 300..ungeziandika zote?
 
Back
Top Bottom