- Thread starter
- #741
Haikuwepo.kwani namuuliza nani??Sarufi kabla ya kuandikwa kwa maandishi ilikuwepo au haikuwepo?
Haikuwepo.kwani namuuliza nani??Sarufi kabla ya kuandikwa kwa maandishi ilikuwepo au haikuwepo?
Katika ukuaji wake muundo haubadiliki kijana.Lugha sio jua kuwa halibadiliki,lugha hukua...unahisi akifufuliwa babu wa miaka ya 1800 atatulewa kwa ufasaha sasaivi?
Kumbe hatujaelewana nilishasema kuwa hili neno Mungu ni neno la kiswahili na lina maana yake, sasa ikiwa kila mtu awe anaamua neno fulani kwa tafsiri zake mwenyewe basi tusingekuwa tunaongea lugha na kuelewana, maana utamwambia mtu naomba uniletee kiti ye anakuletea meza ukiomba kisu unapewa jiwe.Ndo na Mimi nikasema kila mtu/ kundi la watu/jamii fulani lina sababu zake maalum za kumuita mungu huyo wamuitaye mungu.
Wewe ungeniambia labda specifically mungu yupi unataka nikuambie kwanini huitwa mungu
Mathalani nimeshakuambia kwanini messi ni mungu
Nadhani unataka definition ya 'mungu' ifit kwa mungu unayemuamini wewe..ndomaana nkasema mtaje labda tutatoa definition yake usiogope
Weka namba ya post, nacheka sana halafu unajinadi kwamba umepata maarifa mapya,ndiyo maama nasema upo hapa kupoteza muda.Nishakuwekea umeiona?
Halafu swali langu hili hujalijibu
Sasa hiyo miungu yote imenadiwa katika dini zao kua ni waumbaji wa ulimwengu, je unakubaliana na hoja hiyo?
Ni sawa na neno kufulia..unaweza ukaniambia kufulia ni nini na ni kiasi gani cha hela mtu akiwa nacho ndo tuseme amefulia?Kumbe hatujaelewana nilishasema kuwa hili neno Mungu ni neno la kiswahili na lina maana yake, sasa ikiwa kila mtu awe anaamua neno fulani kwa tafsiri zake mwenyewe basi tusingekuwa tunaongea lugha na kuelewana, maana utamwambia mtu naomba uniletee kiti ye anakuletea meza ukiomba kisu unapewa jiwe.
Tuonyeshe. Fanya kama nilivyofanya kijana, nimekuwekea namba kama hujui nba ni nini sema uekelezwe.Sijayaweka?, we umejuaje hayapo?
Nani kakuambia?Muundo una vitu vingi.Katika ukuaji wake muundo haubadiliki kijana.
Muundo haubadiliki, ndiyo maana katika kupatia kwa lugha huwa tunarudi kwa wenye lugha kuangalia wanayatumiajae maneno hayo, ndio maana tunasema hivi Kiswahili kilianza kuwepo kabla ya kuwepo Sarufi. Sarufi imekuja kuyaelezea yaliyopo kwenye lugha baada ya kuyaangalia kwa kina.Tukirudi kwenye point, unaweza ukaniambia kosa la kimuundo kwenye sentensi "mwenye usafi?"
Uniambie utofauti wake kimuundo na "mwenye upendo"
Haya uliyo yaandika hayana maana,na sijui kwanini umeyaandika mnapenda sana kupoteza muda.Maneno mengi ya Kiswahili, hasa yale yenye asili ya Kibantu hutia mkazo katika silabi ya pili kutoka mwisho.
Kwa mfano:ma'ma, sandu'ku, kita'bu, tulikoto'ka, buruda'ni, baraba'ra (njia)
Baadhi ya maneno yenye asili ya kigeni,mapya huwa na shada katika silabi nyingine.
Kwa mfano:bara'bara (sawa sawa), mukhta'sari, intelije'nsia
Hivyo muundo wa shada hubadilika ,lugha inapozidi kukua na kuongeza misamiati.
Duh,kazi kwelikweliHaikuwepo.
Soma tena labda utapata maanaHaya uliyo yaandika hayana maana,na sijui kwanini umeyaandika mnapenda sana kupoteza muda.
Kwahyo hakuna rejea ya maandishi?mpaka tumfate athuman muuza kahawa pale kisiwani?Muundo haubadiliki, ndiyo maana katika kupatia kwa lugha huwa tunarudi kwa wenye lugha kuangalia wanayatumiajae maneno hayo, ndio maana tunasema hivi Kiswahili kilianza kuwepo kabla ya kuwepo Sarufi. Sarufi imekuja kuyaelezea yaliyopo kwenye lugha baada ya kuyaangalia kwa kina.
Kwahoyo kosa la kimuundo hapo linabainika kwa kuwaangalia Waswahili wanalitumiaje hilo neno, hasa likinasibishwa na kurudi kwa mwenye kumilikishwa kwalo.
Kwahiyo kauli hiyi inakataa muundo huo kwa Waswahili kimatumizi na kimaana.
Haswaa, rejea kwa Waswahili huko bdio kuna hukumu, ndio maana jana ulishindwa kutoa uthibitisho wa kuonyesha mswahili gani anaongea hivyo, ukaishia kuniuliza maswali ya ya kitoto, mara ooh kwani umeishi na waunguja wote na mfano wa hayo.Kwahyo hakuna rejea ya maandishi?mpaka tumfate athuman muuza kahawa pale kisiwani?
Nimeona hata uvivu kukujibu hii...it goes to show how ignorant you are
Hayo maswali siyo ya kitoto.Haswaa, rejea kwa Waswahili huko bdio kuna hukumu, ndio maana jana ulishindwa kutoa uthibitisho wa kuonyesha mswahili gani anaongea hivyo, ukaishia kuniuliza maswali ya ya kitoto, mara ooh kwani umeishi na waunguja wote na mfano wa hayo.
Ahsante.
Poa.Hayo maswali siyo ya kitoto.
Kama ya kitoto ungeyajibu
ila ni ya kiutu uzima na yamekuzidi kimo
Na ushahidi nilitoa kwasbabu mimi mwenyewe ni muunguja na ndo nimesema hivyo.
Umedai kua huijui hiyo miunguWeka namba ya post, nacheka sana halafu unajinadi kwamba umepata maarifa mapya,ndiyo maama nasema upo hapa kupoteza muda.
Sijaona namba ya post nachojua mimi bado unaishi kwenue kauli yako ya "kisichopo hakithibitishiki". Unacheza mdumange kijana.
Nikuoneshe ili iweje?Tuonyeshe. Fanya kama nilivyofanya kijana, nimekuwekea namba kama hujui nba ni nini sema uekelezwe.
Twende taratibu tu mkuu.Ni sawa na neno kufulia..unaweza ukaniambia kufulia ni nini na ni kiasi gani cha hela mtu akiwa nacho ndo tuseme amefulia?
Mwingine akiwa na buku ndo amefulia mwngine amefulia ila ana million mia benki
Kuna vitu vingine subjective mzee
Wewe unaweza ukamuambia mhadzabe nipeleke kwa mungu akakupeleka kwenye kichuguu.
Kuavoid misconfusion,,wewe unataka definition ya mungu yupi?
Tungeelewana kwa kuangalia muktadhaTwende taratibu tu mkuu.
Hoja yangu ni kwamba ikiwa kila mtu ataamua kujichagulia tafsiri zake za maneno unafikiri hata mie na tungeakuwa tunaelewana hapa?
Hebu nijibu kwanza.