Nani aliyemuumba Mungu?

Nani aliyemuumba Mungu?

Wewe utaruka na hutoweza kujibu kwasababu umekopi na kupaste kitu ambacho huwezi kukitetea, hiyo ndiyo shida ya kukopi na kupaste bila kutafakari, Muite hapa huyo uliyekopi hiyo post nijadiliane naye uone kama atachomoka.
Nimecheka sana, watu wanapo shindwa kujibu hoja, huamua kujivika ukubwa,mpaka ukubwa wenyewe una shangaa.

Mimi nipa namuwakilisha, jibu tu maswali niliyo kuuliza kisha tuendelee.
How comes when some one asks; Was God created??!! ------- he be regarded as an ignorant, a lying, a deceiver an un intellectual , and a sophist ???!!
Nakuuliza swali, kwahiyo anae uliza kwamba Je Mola ameumbwa hana sifa hizo ?

Je anakuwa anamjua Mola ? Asie mjua Mola ni mjinga au sio mjinga ?

Je anakuwa sio muongo ? Kweli Mola ameumbwa ?

Je anakuwa sio "Sophist" ? Maana ya "Sophist" na nukuu : "
  1. a paid teacher of philosophy and rhetoric in Greece in the Classical and Hellenistic periods, associated in popular thought with moral scepticism and specious reasoning.
  2. a person who reasons with clever but false arguments.
Sasa ukiwa unabisha jambo, hakikisha una elimu nalo bwanamdogo.

Kwakuhoji kwake anakuwa lying, kamdanganya nani??, anakuwa deceiver kamuongopea nani??
Kaiongopea nafsi yake na kuidangany pia. Kwa akili yako muongo ni mpaka amuongepee mtu fulani nini ?
anakuwa Ignorant kwa ujinga upi wa kuuliza wakati majibu yapo ndani ya Qur'an??!!----
Angekuwa anajua angeuliza ? Kijana mbona unakiwa mjinga kiasi hiki mzee ? Unajua mtume amefundisha nini mtu anapoijiwa na swali kama hilo ? Soma katika "Sahih Muslim" hadithi namba 343, 344, 345, 349 na 351.
ulimpatia aya kuonyesha kwamba Mungu hajaumbwa na akashikilia kwamba kaumbwa??--- kama atashikilia kwamba kaumbwa hapo ndipo anakuwa mjinga.
Kijana unacakili ndogo saba, hili huja baadae, na anaweza akakubali au akakadhibisha, kwahiyo hili halitushughulishi, sisi tunaangalia hali ya anae hoji kwanza,pindi anapo hoji anakuwa katika hali gani na anahoji nini ?
Midomo yenu ni mikali kama kisu kwa maneno ya kashfa utadhani sio Waislamu!!!--- eti kutusi watu ndiyo haki yao!!🤣
Naona huna hoja, unalialia.
Wewe ukiitwa mjahili mbona huwa unafura kama koboko aliyeona mawindo.
Onyesha hilo, ila nikiitwa mjinga hali ya kuwa mjinga kweli siwezi kupinga, sababu najua lipi sina elimu nalo.

Ahsante, mpaka sasa bado hujaweka hoja.
 
Mimi nimesema hakuna ushahidi alikuwepo...sasa kama unabisha weka ushahidi kama alikuwepo..usiombe ushahidi tena kwangu ninayesema hakuwepo
Usikimbie kivuli chako na usikimbie wajibu wako, wewe umejuaje kama hakuna huo ushahidi, hapo nduo unatakiwa ututhibitishie hilo. Tatizo lenu mnapenda sana "Kila wa kala" na kukosoa tu ila mnapotakiwa mtoe ushahidi mnakimbia.

Sasa jibu swali kwanza kisha nijibu lako, usiwe kama Wakana Mungu, wanapo dai ya kuwa kisa wao hawaamini uwepo wa Mola basi wao hawana wajibu wa kuthibisha madai yao hao ila walecwanao kiri uwepo wa Mola, aisee huku ni kujidanganya wenyewe na kukimbia wajibu.

Sasa sababu umekiri ya kuwa hapakuwa na ushahidi,unatakiwa ututhibitishie umelijuaje hili.
 
Wanasema lakini ukiwaulizia ushahidi hawana
Wewe mbona huweki ushahidi wa madai unayo dai, zaidi ya kukimbia. Sisi ushahidi tunao,ila itifaki lazima zizingatiwe,maana kama kusema tu kila mtu anaweza kusema,lakini ushahidi ndio unawafunga midomo wasemaji hovyo kama wewe.
 
The question: "If God is the creator, then who created the creator?" is illegitimate because by definition, the Creator is uncreated. He is eternal, without beginning, without end and all affairs return back to Him: (وَأَنَّ إِلَىٰ رَبِّكَ ٱلْمُنتَهَىٰ) "And that to your Lord is the return (of all beings and affairs) (and of all perfections in attributes)." (53:42).

Thus to ask who or what created something that is uncreated is the way of:
a) an ignorant person devoid of intellect,
b) a lying deceiver, a sophist.

Note : Maelezo haya mafupi nime "copy" na ku "paste" toka kwenye tovuti iitwayo "www.aboutatheism.net", mnaweza tembelea huko mpate faida.

Tujadili hili, kwa wale wote ambao huuliza swali hilo, waje watuambie kwanini wanauliza swali hilo.

Ahsante.

Jurjani (Zurri)
Mungu ni roho(energy) yaani ni nishati hai na tafsiri ya nishati kwa kiingereza inasema hivi... Energy can neither be created nor destroyed.. It can only be transformed
Kwamba Mungu ni nishati (hai) na nishati haiumbwi wala haiharibiri bali huweza tu kubadilika ama kubadilishwa.... Mungu sio mwili Mungu ni roho na roho haiumbwi wala haiharibiwi (haiharibiki)

Jr
 
Kwahiyo Potential Energy, Kinetic Energy nazo ni Mungu ? Hili ulilo andika unatakiwa uliwekee ushahidi.

Nani alikwambia Mola hana umbile ?
 
Inasikitisha sana...

Cc chaliifrancisco
Hahaha why me?

Anyway, sio kwamba hawaamini uwepo wa Mungu bali huyo unaemwita 'Mungu' wao wanaweza kuwa wanajina lao tofauti.

In short ni kuwa wanaamini kuwa kuna supernatural being ambae ndio source ya kila kitu. Sasa kwakuwa wengine wanamwita Mungu wao sio lazima wamwite Mungu wana jina lao.
 
umesahau kitu kimoja Jehovah God creat also time depend on rotation of sun so our think limited with time tofauti kabisa na Muumba alikuwepo kabla ya kipimio hicho unachokitumia in mathematician called it infinity because is out our thinking range
 
Hahaha why me?

Anyway, sio kwamba hawaamini uwepo wa Mungu bali huyo unaemwita 'Mungu' wao wanaweza kuwa wanajina lao tofauti.

In short ni kuwa wanaamini kuwa kuna supernatural being ambae ndio source ya kila kitu. Sasa kwakuwa wengine wanamwita Mungu wao sio lazima wamwite Mungu wana jina lao.

Unajua why you,

Yani ulivyoandika ni wewe mtupu,maelezo uliyotoa nimeyaconvert to sauti yako....heheheheehhh

Sijui watakuwa wanatumia jina gani ambalo ni tofauti na jina Mungu?🤔
 
Nimecheka sana, watu wanapo shindwa kujibu hoja, huamua kujivika ukubwa,mpaka ukubwa wenyewe una shangaa.

Mimi nipa namuwakilisha, jibu tu maswali niliyo kuuliza kisha tuendelee.

Nakuuliza swali, kwahiyo anae uliza kwamba Je Mola ameumbwa hana sifa hizo ?

Je anakuwa anamjua Mola ? Asie mjua Mola ni mjinga au sio mjinga ?

Je anakuwa sio muongo ? Kweli Mola ameumbwa ?

Je anakuwa sio "Sophist" ? Maana ya "Sophist" na nukuu : "
  1. a paid teacher of philosophy and rhetoric in Greece in the Classical and Hellenistic periods, associated in popular thought with moral scepticism and specious reasoning.
  2. a person who reasons with clever but false arguments.
Sasa ukiwa unabisha jambo, hakikisha una elimu nalo bwanamdogo.

Kaiongopea nafsi yake na kuidangany pia. Kwa akili yako muongo ni mpaka amuongepee mtu fulani nini ?

Angekuwa anajua angeuliza ? Kijana mbona unakiwa mjinga kiasi hiki mzee ? Unajua mtume amefundisha nini mtu anapoijiwa na swali kama hilo ? Soma katika "Sahih Muslim" hadithi namba 343, 344, 345, 349 na 351.

Kijana unacakili ndogo saba, hili huja baadae, na anaweza akakubali au akakadhibisha, kwahiyo hili halitushughulishi, sisi tunaangalia hali ya anae hoji kwanza,pindi anapo hoji anakuwa katika hali gani na anahoji nini ?

Naona huna hoja, unalialia.

Onyesha hilo, ila nikiitwa mjinga hali ya kuwa mjinga kweli siwezi kupinga, sababu najua lipi sina elimu unalo.

Ahsante, mpaka sasa bado hujaweka hoja.

Mtu anahoji iweje aitwe mjinga kwa kuhoji?? Kama asipohoji na anaamini kwamba Mungu kaumbwa aitwe nani??!!

Kuuliza kwake kunamfanya awe mjinga?? muongo, maamuma nk??

Nakwambia mlete hapa huyo ulipokopi hiyo post, hiyo ndiyo shida ya Copy-paste hovyo.
 
Sasa kama unashindwa kujibu hoja zangu na huelewi unachokiandika,utawezaje kujadiliana na wakubwa zangu, acha kuikosea adabu elimu kijana.

Unachotakiwa kufanya muda huu ni kujenga hoja na sio hisia za malalamiko.

Nipo hapa nasubiri hoja.
 
Back
Top Bottom