Nani aliyemuumba Mungu?

Nani aliyemuumba Mungu?

Hahaha Muhammad angezaliwa karne hii angesema Mungu aliumba Simu kwanza akawa anatype mambo yake.
Shida yenu mnabisha vitu kichwa mchunga, na hamuweki majibu sahihi zaidi ya kuhamaki na kuleta kebehi, hapa ndipo huwa nawaona ni kwa jinsi gani mlivyo mazwa zwa.

Nakuuliza swali tu, ni zipi sifa za kitu kilichoumbwa ?
 
Uumbaji ni stori tamu za kuwapa moyo wafiwa.
Hivo kitu chochote kina sifa ya kuumbwa
ila hamna kitu kilichoumbwa
 
Vingi navijua ikiwemo uthibitisho wa kutokuwepo mungu.

Unataka nikuthibitishie mungu hayupo?
Nakusudia kile ulicho sema unakijua mpka nika kuquote kwacho.

Hili la pili huliwezi na hukuwahi kuweza na hicho ulichosema unakijua ni hicho, na ninachofanya hapa nakuchora tu kijana.
 
Uumbaji ni stori tamu za kuwapa moyo wafiwa.
Hivo kitu chochote kina sifa ya kuumbwa
ila hamna kitu kilichoumbwa
Lugha kitu muhimu sana, hasa kujua maana ya maana, kujua maana ya maneno na matumizi yake na mipaka yake.

Thibitisha ya kuwa uumbaji ni story, na utupe sifa ya kitu kiwe "story" kina takiwa kukidhi vigezo gani.

Kauli yako pili ni kauli yenye kosa la kimaana na kimuundo pia, yaani una kiri na unakanusha hapo hapo, huu ni utoto. Chenye sifa ya luumbwa ujue kimeumbwa na kipo ndio maana umejua hilo, sasa unacho andika ni uongo ambao hata tukikupa miaka mia huwezi kuutetea uongo huo. Simu unayotumia ina sifa ya kuumbwa au kinyume chake ? Na nini kimefanya Simu iwepo ?

Humu naona tunajadiliana na watoto au mazwa zwa.
 
Una uhakika ? Tupe ushahidi kisha kwanini ukanasibisha Imani na Maajabu?
Ushahidi wangu upo kwenye kamusi kipengele A
Utaona neno Ajabu wameandika ni nomino
Wingi wake wameandika ni maajabu.

Nimenasibisha kwasababu bila maajabu kusingekuwa na imani

Mfano:Radi ni maajabu hivyo watu wakaamini kuna watu wapo mawinguni wakikasirika radi inapiga

Kakakuona ni mnyama wa ajabu,akitokea wanakijiji huamini kuna jambo kubwa litatokea.

Sayansi imeelezea maajabu na kufanya tusiyaone maajabu, kumbe maajabu ni kuyaona maajabu maajabu kwasababu maajabu ni sisi binadamu kuona maajabu maajabu wakati ni vitu vya kawaida.

ila sio lazima kila ukiniquote uniulize swali Nawewe tia neno mkulungwa naona una maswali kama interview.
 
Nakusudia kile ulicho sema unakijua mpka nika kuquote kwacho.

Hili la pili huliwezi na hukuwahi kuweza na hicho ulichosema unakijua ni hicho, na ninachofanya hapa nakuchora tu kijana.
Sa si ndio nakupanga kua pale nilikusudia mungu kua hayupo?

Unataka uthibitisho kujua hayupo?
 
Ushahidi wangu upo kwenye kamusi kipengele A
Utaona neno Ajabu wameandika ni nomino
Wingi wake wameandika ni maajabu.

Nimenasibisha kwasababu bila maajabu kusingekuwa na imani

Mfano:Radi ni maajabu hivyo watu wakaamini kuna watu wapo mawinguni wakikasirika radi inapiga

Kakakuona ni mnyama wa ajabu,akitokea wanakijiji huamini kuna jambo kubwa litatokea.

Sayansi imeelezea maajabu na kufanya tusiyaone maajabu, kumbe maajabu ni kuyaona maajabu maajabu kwasababu maajabu ni sisi binadamu kuona maajabu maajabu wakati ni vitu vya kawaida.

ila sio lazima kila ukiniquote uniulize swali Nawewe tia neno mkulungwa naona una maswali kama interview.
Safi kabisa. Maajabu huondolewa na nini ? Kaka kuona ni wa ajabu kwenu lakini kwa wengine sio waajabu. Sio kila linalo onekana la ajabu ni ajabu.

Nakuuliza sababu naona unaandika vitu vipya kwangu, na mimi nataka kujua.
 
The question: "If God is the creator, then who created the creator?" is illegitimate because by definition, the Creator is uncreated. He is eternal, without beginning, without end and all affairs return back to Him: (وَأَنَّ إِلَىٰ رَبِّكَ ٱلْمُنتَهَىٰ) "And that to your Lord is the return (of all beings and affairs) (and of all perfections in attributes)." (53:42).

Thus to ask who or what created something that is uncreated is the way of:
a) an ignorant person devoid of intellect,
b) a lying deceiver, a sophist.

Note : Maelezo haya mafupi nime "copy" na ku "paste" toka kwenye tovuti iitwayo "www.aboutatheism.net", mnaweza tembelea huko mpate faida.

Tujadili hili, kwa wale wote ambao huuliza swali hilo, waje watuambie kwanini wanauliza swali hilo.

Ahsante.

Jurjani (Zurri)
Ukiwa auamini Mungu yupo usihangaike kuuliza maswali ya aina hii we potezea maana wengi huishia kuwa walalamikaji na vichaa tu.

Na kama unaamini kuwa kuna Mungu basi imani yako na dini yako itakupa jibu la swali lako.
 
Umejuaje hawezi?
Huwa najadiliana nae sana na hajawahi kufanya hivyo, zaidi ya kuruka ruka, pili haliwezi sababu hamjui Mungu ambaye anadai hayupo, na hili ni ajabu sana katika ulimwengu wa kielimu, kumkuta mtu anamjadili asie mjua halafu anamkanusha huu ujasiri huwa nauona kwa hawa wajinga pekee.
 
Sa si ndio nakupanga kua pale nilikusudia mungu kua hayupo?

Unataka uthibitisho kujua hayupo?
Hilo nilijua kitambo ndio maana nikaona unapoteza muda, yaani ulipo lala wewe mimi nimeamka jana yake.

Sasa naona unalizimisha nitumie akili yangu vibaya kijana. Yaani kosa kubwa kukutaka wewe unipe ushahidi wa kutokuwepo kwa Mungu wakati najua kabisa huwezi kufanya hivyo na pili humjui huyo unaye mkanusha.
 
Lugha kitu muhimu sana, hasa kujua maana ya maana, kujua maana ya maneno na matumizi yake na mipaka yake.

Thibitisha ya kuwa uumbaji ni story, na utupe sifa ya kitu kiwe "story" kina takiwa kukidhi vigezo gani.
Kitu kiwe story kwa lugha ya mtaani ni maelezo juu ya jambo/mambo ambayo hadhira inayosimuliwa haijawahi kushuhudia.
Uumbaji hamna aliyeshuhudia

Kauli yako pili ni kauli yenye kosa la kimaana na kimuundo pia, yaani una kiri na unakanusha hapo hapo, huu ni utoto. Chenye sifa ya luumbwa ujue kimeumbwa na kipo ndio maana umejua hilo, sasa unacho andika ni uongo ambao hata tukikupa miaka mia huwezi kuutetea uongo huo.
Katika stori hata mimi naweza kuwa superman
Hivo nimekiri kuwa katika stori kitu chochote kinaweza kuumbwa
Lakini katika uhalisia hamna kitu kilichoumbwa
Simu unayotumia ina sifa ya kuumbwa au kinyume chake ? Na nini kimefanya Simu iwepo ?

Humu naona tunajadiliana na watoto au mazwa zwa.
Again, hakuna kitu kilichoumbwa ila katoka story tamu hata simu inaweza kuumbwa kwani nini kinashindikana? Au huyo muumbaji akiamua saivi uko alipo aumbe simu anashindwa?
 
Hilo nilijua kitambo ndio maana nikaona unapoteza muda, yaani ulipo lala wewe mimi nimeamka jana yake.

Sasa naona unalizimisha nitumie akili yangu vibaya kijana. Yaani kosa kubwa kukutaka wewe unipe ushahidi wa kutokuwepo kwa Mungu wakati najua kabisa huwezi kufanya hivyo na pili humjui huyo unaye mkanusha.
Siwezi tangu lini?

Leo hii hutaki kuthibitishiwa mungu hayupo?
 
Safi kabisa. Maajabu huondolewa na nini ? Kaka kuona ni wa ajabu kwenu lakini kwa wengine sio waajabu. Sio kila linalo onekana la ajabu ni ajabu.

Nakuuliza sababu naona unaandika vitu vipya kwangu, na mimi nataka kujua.
Sijawahi kupanga kuondoa maajabu..labda wewe huwa unayaondolea nini?
 
Kitu kiwe story kwa lugha ya mtaani ni maelezo juu ya jambo/mambo ambayo hadhira inayosimuliwa haijawahi kushuhudia.
Uumbaji hamna
Kutokushuhudia kwetu sisi hakuonyeshi au hakuthibitishi ya kuwa hakuna uumbaji, na ulitakiwa ujue ya kuwa ulianza uumbaji ndio matokeo yakawepo.

Kama hadhira haijashuhudia lipi hitimisho juu ya hilo, kwamba ni la uongo au halipo ?

Nakuuliza swali moja au mawili, dunia imetokana pasi na chochote au dunia yenyewe imejiumba ?
Katika stori hata mimi naweza kuwa superman
Tutakuuliza kwanza ni nani "Superman" na kisha utuonyeshe kwa lipi wewe uwe "Superman" je kimaana au kivitendo ?
Hivo nimekiri kuwa katika stori kitu chochote kinaweza kuumbwa
Sio kweli sababu kuna UHALISIA.
Lakini katika uhalisia hamna kitu kilichoumbwa
Hili unatakiwa ulitolee maelezo ya kina na utupe na uthibitisho.

Naomba unipe maana ya kuumbwa na uumbaji ni nini ?
Again, hakuna kitu kilichoumbwa ila katoka story tamu hata simu inaweza kuumbwa kwani nini kinashindikana? Au huyo muumbaji akiamua saivi uko alipo aumbe simu anashindwa?
Tuonyeshe katika Story simu inawezaje kuumbwa?

Hili ndiyo tatizo la kumjadili msie mjua. Muumbaji amejiwekea mipaka, na baadhi ya mambo akawafunilia waja wake wayafanye, ndio maana kilugha hatusemi "Simu imeumbwa, bali tunasema simu imetengezwa".
 
Back
Top Bottom