Nani aliyemuumba Mungu?

Nani aliyemuumba Mungu?

The question: "If God is the creator, then who created the creator?" is illegitimate because by definition, the Creator is uncreated. He is eternal, without beginning, without end and all affairs return back to Him: (وَأَنَّ إِلَىٰ رَبِّكَ ٱلْمُنتَهَىٰ) "And that to your Lord is the return (of all beings and affairs) (and of all perfections in attributes)." (53:42).

Thus to ask who or what created something that is uncreated is the way of:
a) an ignorant person devoid of intellect,
b) a lying deceiver, a sophist.

Note : Maelezo haya mafupi nime "copy" na ku "paste" toka kwenye tovuti iitwayo "www.aboutatheism.net", mnaweza tembelea huko mpate faida.

Tujadili hili, kwa wale wote ambao huuliza swali hilo, waje watuambie kwanini wanauliza swali hilo.

Ahsante.

Jurjani (Zurri)
Mjinga hujisemea moyoni mwake, "Hakuna Mungu"-Zaburi 14:1
 
God as in a 'generalized' perception over the few past thousands of years is a myth that continues to carried forward over generations to where we are today.

We, when born, we are guided or taught by our parents towards such a myth.

Irrespective of our ' born with a religion by virtue' of our parents, we continue to dwell because of what we inherited from our parents.

Who eventually is God is what remains an intriguing question going on over those very thousands of years..
 
An interesting question is if that very God created our universe than why did he segregate the current diversities of various religious belief's? Why??
 
An interesting question is if that very God created our universe than why did he segregate the current diversities of various religious belief's? Why??

A blind person can not experience the beauty of the Sun as he/she has an excuse of not seeing. So to blame is not he/she but his/her eyes, the same applies to the one who can not "see" God, he/she has an excuse for in him/her the senses to perceive God are defunct.
 
Huyo jamaa ni kundi moja na wewe, unawezaje kumwita mtu Sophist, deceiver, un intellectual, kwa kuhoji tu; Mungu kaumbwa na nani??

Sasa kama angeamini bila kuhoji kwamba Mungu naye ameumbwa hapo utamwitaje??!!--- hapo ndipo unatakiwa umwite ignorant kwa kuamini ujinga kwamba Mungu kaumbwa.

Mtu anayehoji au kuuliza huyo siyo mjinga bali mtu anayeamini na kushikilia ujinga huyo ndiye mjinga, au hujasikia kauli hii; "KUULIZA SIO UJINGA"???--- wewe ni mtu wa wapi??, una copy-paste na kutetea vitu vya ajabu!!!

Mtu anayehoji huyo anaitwa "Curious" na ukimwita mjinga ni tusi.

Halafu pia unatetea mambo ya ajabu au hujui English??, eti mtu anayehoji aitwe deceiver??!!, hiyo ni sawa???

Angalia maana ya asili ya neno; Sophist uone, Sophist walikuwa ni waalimu na wanataaluma wa kigiriki enzi hizo, sasa utasemaje a Sophist awe ignorant? ?!!.

Elimu zenu zimejaa viburi na kutusi watu, hamuwezi kufundisha watu kwa hekima na kauli njema ila matukano ndiyo mitaala yenu.
Na kazia,, unapo hoji Kuwa MUNGU kaumbwa na nani na ukashindwa kupata jibu hapo ujue umefanikiwa kutambua ukuu na utukufu wa MUNGU,, rejea kwa Mussa na watu wake Walio taka kumuona MUNGU alivyo.
 
Kama anajua ila anauliza kwa kejeli basi ni ujinga lakini kama mtu hajui ameuliza ni akili kubwa sana.
Naona una anza kunyoosha maelezo. Sasa huyu ndio mjinga maradufu. Tatizo sio kuuliza tu bali ameuliza vitu visivyo na maana yaani vinaonyesha hali ya ujinga na kushangaza kwa mtu makini, ishara inayo onyesha hapo ni kuwa huyo mtu ni mjinga sana, kwa kutoko kumjua Mola ni nani na ujinga wa pili ni kutokujua ya kuwa aliyeumba haumbwi.
Mwanao wa miaka mitatu akikuuliza "baba sasa ivi kuna joto kilo ngapi"
Utamuona mjinga au utamfundisha?
Nitamuona mjinga. Ujinga sio tusi ila ni sofa mbaya, ndio maana hata mjinga hapendi kuitwa mjinga, bali mjinga hupenda kuitwa mwenye Elimu. Ujinga maana yake ni kinyume na kujua yaani kutokuwa na Elimu.
Sasa swali la nani kamuumba Mungu sio la kijinga kwasababu sio kila mtu anajua,na inawezekana hata wewe hujui ila umekaririshwa kutouliza kama ambavyo huujui mchanganuo wa sadaka zinaenda wapi na huulizii.
Ni swali ambalo linaonyesha "UJINGA WA KIMATABA" wa muulizaji.

Mimi nilianza kwanza kusoma kisha nikaitendea kazi elimu husika ndio maana siwezi kuuliza maswali ya uongo na yenye kuonyesha uhayawani.

Suala la sadaka ni jambo lingine na suala la kuumbwa kwa Mola ni jambo lingine, nilikuweka sawa huko mwanzo ya kuwa huna elu ya kumithilisha mambo,yaani hata tu kutoa mifano unakosea. Hili ni tatizo kubwa mno.
 
Mjinga hujisemea moyoni mwake, "Hakuna Mungu"-Zaburi 14:1

Lakini Muerevu huuliza; je Mungu yupo?? aliumbwa??, anakula??

Na wenye elimu yawapasa wamjibu kukidhi kiu yake kuliko kumkashifu kwa kujifanya wao ndio wajuaji zaidi kuliko hata huyo Mungu mwenyewe.

Ni kibri na majivuno tu, kwani hata hawaoni mbele ya ncha ya pua zao kuna nini licha ya pua kuwa jirani na macho yao !!🤣
 
Mtu anauliza, Baba namtoto yupi mkubwa??, joto la nje ni kilo ngapi??--- kuna ishara gani kwa muulizaji??, Mtu huyo anaashiria kutaka kujua majibu ya hayo maswali, kutaka kwake kujua hauitwi "ujinga" udanganyifu, uongo, umaamuma, sophist nk.kama jinsi wewe na huyo Mwalimu wako unavyotaka kutuaminisha, Kuuliza sio ujinga bali ujinga ni kutojua na kung'ang'ania kutokuuliza.
Naona unazunguka na kupoteza muda. Sisemi kuuliza ni ujinga nasema ishara ya muulizaji kutokana na maswali. Muulizaji ni mjinga tena mjinga hasa, kwanza kwa kutoku mjua Mola ni nani na pili kutokujua mambo yasiyo muhusu Mola ni yapi. UJINGA maana yake ni kinyume na kujua ni kinyume na kutokuwa na elimu ya jambo husika. Kwahiyo kutaka kujua ni kitu kando na ujinga ni kitu kingine, elewa maneno.

Unashindwa kutoa maana ya Sophist kwa kiswahili kwasababu huwezi kwani umezoea kukopi na kupest bila tafakuri ndiyo maana nasisitiza mwite huyo uliyekopi hiyo post nijadiliane naye hapa, bila shaka yeye atanielewa kwasababu post ni yake na aliiandika kwa kiingereza na wewe kiingereza huwezi.
Hii ndio hasara ya kupoteza muda na kujadili yasiyo kuwa na tija, sasa nikuulize swali, maana ya "Sophist" nimeitoa au sijaitoa ? Sasa kama unajua kweli kosoa maana niliyo itoa,usitafute pa kujificha na kukimbia kivuli chako, na hapa hakuna kwenda nukta nyingine mpaka hii iishe. Hatueli ujinga na hilo nilishakwambia tangu zamani.

Pili, Kiswahili chake kitabadilisha nini katila ile maana ya niliyo itoa ? Muache kudandia mada zilizo wazidi ukubwa,ona sasa unaandika yasiyo na maana.

Tatu, hata mbawa huna ajabu unataoa kuruka. Kujadiliana na mimi hujawahi kuweza vipi uweze kujadiliana na wakubwa, huku ni kuikosea adabu elimu.
 
Naona una anza kunyoosha maelezo. Sasa huyu ndio mjinga maradufu. Tatizo sio kuuliza tu bali ameuliza vitu visivyo na maana yaani vinaonyesha hali ya ujinga na kushangaza kwa mtu makini, ishara inayo onyesha hapo ni kuwa huyo mtu ni mjinga sana, kwa kutoko kumjua Mola ni nani na ujinga wa pili ni kutokujua ya kuwa aliyeumba haumbwi.

Nitamuona mjinga. Ujinga sio tusi ila ni sofa mbaya, ndio maana hata mjinga hapendi kuitwa mjinga, bali mjinga hupenda kuitwa mwenye Elimu. Ujinga maana yake ni kinyume na kujua yaani kutokuwa na Elimu.

Ni swali ambalo linaonyesha "UJINGA WA KIMATABA" wa muulizaji.

Mimi nilianza kwanza kusoma kisha nikaitendea kazi elimu husika ndio maana siwezi kuuliza maswali ya uongo na yenye kuonyesha uhayawani.

Suala la sadaka ni jambo lingine na suala la kuumbwa kwa Mola ni jambo lingine, nilikuweka sawa huko mwanzo ya kuwa huna elu ya kumithilisha mambo,yaani hata tu kutoa mifano unakosea. Hili ni tatizo kubwa mno.
Kila mtu ni mjinga lakini kuuliza swali sio ujinga.
Tatizo wewe unataka iwe kama kuuliza swali hilo (ambalo hata wewe huna jibu kamili) ni ujinga

Ujinga ni kutokujua ila kuuliza ni akili ya kutaka kujua
 
Kwasababu jibu ulilojaribu kuliweka sio jibu.
Turudi kwenye mada:Kuuliza hilo swali nani kamuumba mungu SIO UJINGA
Tatizo hujibu ninacho kuuliza, na kila unacho kiandika kinakuwa nusu, kwacho kinahitaji maelezo ili ukamilishe kauli, tatizo linakuja kwenye kukamilisha kauli, huwezi kufanya hivoy. Hapa lazima nikuulize "Umejuaje ka hilo jibu nililo jaribu kuweka sio jibu, na likowapi jibu hilo na jibu ni lipi hasa? ".

Nimeonw una tatizo moja kwako yaani hufikirii kabla ndio maana kujengea hoja unachoulizwa huwezi unaishia kuzunguka hapo hapo ulipo tu.

Tuendelee......
 
Naona unazunguka na kupoteza muda. Sisemi kuuliza ni ujinga nasema ishara ya muulizaji kutokana na maswali. Muulizaji ni mjinga tena mjinga hasa, kwanza kwa kutoku mjua Mola ni nani na pili kutokujua mambo yasiyo muhusu Mola ni yapi. UJINGA maana yake ni kinyume na kujua ni kinyume na kutokuwa na elimu ya jambo husika. Kwahiyo kutaka kujua ni kitu kando na ujinga ni kitu kingine, elewa maneno.

Hii ndio hasara ya kupoteza muda na kujadili yasiyo kuwa na tija, sasa nikuulize swali, maana ya "Sophist" nimeitoa au sijaitoa ? Sasa kama unajua kweli kosoa maana niliyo itoa,usitafute pa kujificha na kukimbia kivuli chako, na hapa hakuna kwenda nukta nyingine mpaka hii iishe. Hatueli ujinga na hilo nilishakwambia tangu zamani.

Pili, Kiswahili chake kitabadilisha nini katila ile maana ya niliyo itoa ? Muache kudandia mada zilizo wazidi ukubwa,ona sasa unaandika yasiyo na maana.

Tatu, hata mbawa huna ajabu unataoa kuruka. Kujadiliana na mimi hujawahi kuweza vipi uweze kujadiliana na wakubwa, huku ni kuikosea adabu elimu.

Haya sasa toa tafsiri ya Kiswahili ya Sophist tuone kama inaambatana na mtu anayeuliza swali la; je Mungu kaumbwa??--- copy and paste is a problem to some people.

Angalia hapo chini na utoe tafsiri yake kutetea hoja yenu wewe na huyo Alamaa wako.

Screenshot_20200525-223624.png
 
Tatizo hujibu ninacho kuuliza, na kila unacho kiandika kinakuwa nusu, kwacho kinahitaji maelezo ili ukamilishe kauli, tatizo linakuja kwenye kukamilisha kauli, huwezi kufanya hivoy. Hapa lazima nikuulize "Umejuaje ka hilo jibu nililo jaribu kuweka sio jibu, na likowapi jibu hilo na jibu ni lipi hasa? ".

Nimeonw una tatizo moja kwako yaani hufikirii kabla ndio maana kujengea hoja unachoulizwa huwezi unaishia kuzunguka hapo hapo ulipo tu.

Tuendelee......
Hoja niliyoweka ni kuwa kuuliza sio ujinga ambayo umeikwepa na kukimbilia hoja hii nyingine ambayo Sijataka kuingia deep sana..nlijua tutaanza tena kubishana
Najua zurri hujawahi kukubali kitu tokea ujiunge jf kwahyo najua kujibishana nawewe ni kazi bure lakini unapenda sana zile back and forth na kila kitu unaweka ligi.
 
Haya maswali huwa yanakuja ukianza kupata akili

That is very true, kwa maoni yao ya ajabu wanasema; ukiuliza swali au maswali kama hayo wewe unakuwa, Mjinga, Muongo, mdanganyifu, maamuma, na Sophist, 🤣
 
Haya maswali huwa yanakuja ukianza kupata akili

That is very true, kwa maoni yao ya ajabu wanasema; ukiuliza swali au maswali kama hayo wewe unakuwa, Mjinga, Muongo, mdanganyifu, maamuma, na Sophist. -- sasa huo uongo (deception) unatokea wapi katika kuuliza??!!🤣
 
Haya sasa toa tafsiri ya Kiswahili ya Sophist tuone kama inaambatana na mtu anayeuliza swali la; je Mungu kaumbwa??--- copy and paste is a problem to some people.

Angalia hapo chini na utoe tafsiri yake kutetea hoja yenu wewe na huyo Alamaa wako.

View attachment 1459648
 
Attachments

  • 20200525_224652.jpg
    20200525_224652.jpg
    66.6 KB · Views: 7
Haya sasa toa tafsiri ya Kiswahili ya Sophist tuone kama inaambatana na mtu anayeuliza swali la; je Mungu kaumbwa??--- copy and paste is a problem to some people.

Angalia hapo chini na utoe tafsiri yake kutetea hoja yenu wewe na huyo Alamaa wako.

View attachment 1459648
Hii maana uliyo itoa mbona inakuumbua mzee, inaonyesha kabisa "Sophist" ni mtu muongo muongo, msanini,mpotoshaji,soma chini kabisa.
 
Back
Top Bottom