Nani aliyemuumba Mungu?

Hawa wajomba madrassa wamekaririshwa kuomba uthibitisho wa vitu ambavyo havipo.
Lengo lao mzungushane mpotezeane muda ila mwisho wa siku hamna kitu cha maana mtakachodiscuss
Mtaishia kubishana tu, huyu anataka umpe uthibitisho wa kitu ambacho hakipo, huyu naye anataka umpe uthibitisho wa kutokuwepo hicho kitu...

mwisho wa siku hawajui jukumu la kutoa uthibitisho liko juu ya yule anaedai uwepo wa hiko kitu
ndomaana watu wanaishia kuwaona wajinga.
So save ur energy.
 
Kudai uthibitisho wa kitu ni kudai definition ya hicho kitu?!!
Ina maana mwenye kutaka uthibitisho wa kitu ni kwamba hakijui hicho kitu ni nini?
 



Wewe umeweka hadithi au aya gani ya Qur'an inayosema kwamba Mtu YEYOTE anayehoji kuumbwa kwa Mungu ni Muongo na tapeli??

Unanitaka mimi nioe aya kwani mimi ndio nitoaye hayo madai??? -- wewe ndiye unayetakiwa kwanza kuthibitisha madai yako kwa aya na hadithi sahihi za Alrasulullah (saw) mbora wa manabii.


Namsubiri huyo teacher wako umlete hapa aje kujibu kwani haya ni maji marefu kwako.
 
Kudai uthibitisho wa kitu ni kudai definition ya hicho kitu?!!
Ina maana mwenye kutaka uthibitisho wa kitu ni kwamba hakijui hicho kitu ni nini?
Basi mimi sio kiranga...naomba definition ya Mungu
 
Ulichomalizia kwenye mada yako ni hiki

"Tujadili hili, kwa wale wote ambao huuliza swali hilo, waje watuambie kwanini wanauliza swali hilo.

Ahsante.

Jurjani (Zurri)"

Nukuu hii haijibu swali langu ambalo mi nimekuuliza
Hahaaa umejibu vyema sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakitaka uthibitisho wa kitu ambacho hakipo wanione mimi

Ninao uthibitisho
 
Hahaaa mtoa mada anafit hapo mwenye namba 1. Anachokiamini yeye huwa analazimisha wengine wakiamini hivyo hivyo pia hata kama hakina logic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia akili japo kidogo kufikiri kwamba mtu anadai kuwa kitu fulani hakipo, sasa tutawezaje kujua kuwa anachosema ni kweli?
 
Jamaa huwa anashangaza sana.. Kitu ambacho hakipo kinawezekana vipi kuthibitishwa kutokuwepo kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…