UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 18,071
- 9,464
Utulivu ndio unalindwa kwa bunduki sio amani.Wezi na waharibifu wa mali waliojificha kwenye jina la waandamanaji walistahili kifo unaenda kuchoma mali za umma mali za watu hadi vituo vya polisi alafu uchekewe? Dawa ni kuchapwa risasi tu hakuna kucheka na nyumbu wahalifu.
Lile lilikua ni funzo zuri sana ndo maana hadi leo hamna nyumbu anaejaribu kuingia barabarani kujaribu kuleta machafuko, amani ya nchi hii italindwa kwa gharama yoyote.