King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,904
- 89,959
Chande kulinda heshima yake angekataa kuingia kwenye hiyo TUME ,kwa miaka aliyofanya kazi ,kiiunua mgongo ,pension ya kila mwezi ,bosta kutoka kwa watoto zingemtosha kusurvive kuliko kuuza UTU kwa Vipande vya fedha vya Mama MADURO.Bakht mbaya tume haikutupa majibu ya nani alisimamia zoezi Zima la kuwafyatulia risasi za moto na kuwauwa wandamanaji wasokuwa na silaha.
Mimi katika family yangu Kuna kijana wa miaka 20 alipigwa risasi ya mbavu na kuwawa maeneo ya mbauda pale sina uhakika kama tume ya chande ilimuhesabu ktk wale 518 kama sikosei
Tunataka kusahau yalopita na kuganga yajayo
Tunataka kuingia kwenye maridhiano tukiwa tunajua nani aliamrisha watoto wetu wafyatuliwe risas za kichwa.