Aliyeamrisha alikwisha kufa lakini Bashite aliyesimamia zoezi bado yupo hai, na wala haguswi.Hivi Ben saanane ndo walishaua eti?
Bashite ni mtu mbad....ila Kila jambo Lina mwisho wakeAliyeamrisha alikwisha kufa lakini Bashite aliyesimamia zoezi bado yupo hai, na wala haguswi.
Ndiyo maana nakubaliana na wake wanaosema kwamba Sabaya anakomolewa, siyo kwa sababu ya uovu dhidi ya wananchi bali kwa sababu ya kuwadharau wakubwa.
Japo Sabaya ni mwovu lakini uovu wake, siamini kama unauzidi ule wa Bashite.
Camera za CCTV eneo la tukio ndiyo msema kweli.Kuna shahidi yoyote wa hilo tukio mkuu aliyekueleza alichokiona hadi sasa?
Inawezekana ndio maana wanasema muhusika wa ushahidi ni tundu mwenyewe na associates wake. Hii kesi haina hata mpita njia anayefahamu kilichotokea.
Au mimi ndio sijui?
Sijui labda waliokuwa wanamtuma ndo haohao maboss....wakimwaga mboga anamwaga ugaliSabaya alishtakiwa kwa uhuni wake alioufanya madarakani.
Bashite ana kinga gani asishtakiwe?
Watu wakiamua kuwa wabaya wanakuwa wabaya aisee,wote hao walipitiwa?....daaaBen Saanane
Azorry Gwanda
Lwajabe
N.K.
Majibu yanahitajika kwa sababu kama walikuwa wahaini, nani aliwasomea hukumu kwa kesi ipi?
Bashite atakamatwa tuAliyeamrisha alikwisha kufa lakini Bashite aliyesimamia zoezi bado yupo hai, na wala haguswi.
Ndiyo maana nakubaliana na wake wanaosema kwamba Sabaya anakomolewa, siyo kwa sababu ya uovu dhidi ya wananchi bali kwa sababu ya kuwadharau wakubwa.
Japo Sabaya ni mwovu lakini uovu wake, siamini kama unauzidi ule wa Bashite.
Alishika bunduki na kumshambulia Lisu?Chinjachinja alisha chinjwa. Ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga
Duh!Aliyeamrisha alikwisha kufa lakini Bashite aliyesimamia zoezi bado yupo hai, na wala haguswi...
Na kumbuka.mchezo wa kuchezea katiba na chaguzi vimegharimu maisha ya wengi. Akwilina aliuawa akiwa siyo mshiriki wa maandamano.Watu wakiamua kuwa wabaya wanakuwa wabaya aisee,wote hao walipitiwa?....daaa
Labda wamkamate kumtumia.kama turufu ya uchaguzi 2025.Bashite atakamatwa tu