Aisee....
Hebu pitieni hapo Manispaa ya Kinondoni mchukue greda lije linizoe na kunipeleka angaza nikapime mie....
Msijidanganye kwa akili na nguvu za binadamu mnaweza kunishawishi nikaenda kwa hiari kupima.
Mi naamini tu maadam wife yuko salama basi nami niko salama. Kupima NEHI!!
Baada ya kusema hayo, nawashaurini vijana, hasa wewe Mentor na Nicas Mtei, acheni ngono zembe.... If you wanna fu.k then fu.k responsibly.
Ni mimi babu yenu ODM nikiwaleteeni hii injili tokea kaunta ya juu, Fesibuku Pub.
NB: Hadithi hii ni ya kweli. Majina na mahali vimebadilishwa ili kuficha uhalisia wa wahusika. KWa namna yeyote ile, hadithi hii haiwahusu Nicas Mtei wala brenda18, ni kufanana tu kwa majina!
Dr. Riwa, Preta na MziziMkavu: naomba mtupe takwimu za prevalence ya UKIMWI kwa vijana wenye umri kati ya 25 kurudi chini.
Mtambuzi, Asprin, Kaizer, Bazazi, KakaKiiza, Jiwe Linaloishi, Kipaji Halisi, Vin Diesel, TANMO na mabazazi wote...chungeni. Ikibidi sana hadi 'seal' itolewe kwa kinga.
Ndugu zangu: Mashaxizo, mwekundu, Rural Swagga, Himidini, Mapi, Mshinga ...kuweni waangalifu.
Dadaz: mwallu, Mwalu, Heaven on Earth, Smile, miss chagga, beibe nasty, mimi49, et al...sio kina brenda tu. Hata kina Chrispin wapo wa namna hii.
gfsonwin, Paloma, Madame B, cacico, snowhite, farkhina, Dark City, watu8, et al chungeni watoto wenu!!!
BEWARE...AIDS IS REAL...
Muulize Mentor anamfaham!!Eti mamii huyo daktari anapatikana wapi. Kuna kabinti huku ndani nataka anisaidie kukapimamo. Ukaguzi umekuwa mgumu sana kwa haka kabinti.
[FONT=century
gothic]NB: Hadithi hii ni ya kweli. Majina na mahali vimebadilishwa ili
kuficha uhalisia wa wahusika. KWa namna yeyote ile, hadithi hii
haiwahusu Nicas Mtei wala
brenda18, ni kufanana tu kwa majina!
Dr. Riwa, Preta na
MziziMkavu: naomba mtupe takwimu za prevalence
ya UKIMWI kwa vijana wenye umri kati ya 25 kurudi chini.
Mtambuzi, Asprin,
Kaizer, Bazazi,
KakaKiiza, Jiwe
Linaloishi, Kipaji Halisi,
Vin Diesel, TANMO na
mabazazi wote...chungeni. Ikibidi sana hadi 'seal' itolewe kwa kinga.
Ndugu zangu: Mashaxizo,
mwekundu, Rural
Swagga, Himidini,
Mapi, Mshinga
...kuweni waangalifu.
Dadaz: mwallu, Mwalu,
Heaven on Earth,
Smile, miss chagga,
beibe nasty, mimi49,
et al...sio kina brenda tu. Hata kina Chrispin wapo wa namna hii.
gfsonwin, Paloma,
Madame B, cacico,
snowhite, farkhina,
Dark City, watu8, et
al chungeni watoto wenu!!!
[/FONT]BEWARE...AIDS
IS REAL...
donti wori zis time utaniweiti kituo cha daladala naamini hutakuwa bored maana utehesabu magari na kujua aina zake ili utakapokuwa tayari kuninunulia nikikutajia jina tu utalijua.....:clock::clock::clock:
Meku, una ukrasa kwa bwana champion? Kama huna, fanya hima akupe ukrasa
dah, Mentor kinachonihuzunisha ni kuwa ni stori ya kweli :disapointed:
asante kwa kuturudisha back to reality mara mojamoja
MSeush, better b a fool before people..lakini uishi kwa raha n stress free!Kwa hakika ni kisa chenye kufundisha sana kwa watu wote na tukumbuke kwamba UKIMWI upo na tuchukue tahadhari sana kwa maisha yetu.Binafsi nimejikuta natafakari sana mwelekeo mpya kwa janga hili la UKIMWI.
Ningependa kuwasiliana na Mentor nina kitu kizuri nataka kumwambia...siwezi kukiweka hapa. Please Mentor tuwasiliane.
Ingekuwa Nicas Mtei amejipiga Pistol kwa kweli hadithi ingekuwa ileile.
Back to the story: Mara nyingi haya matunda ambayo hayajavundikwa ndio huwa yanafuatwa na wadudu so inapotokea umelimega pasi na tahadhari basi wale wadudu wanahamia kwako. Ila kutoa seal na sox nayo inataka moyo kweli aisee 'mbe'
Naona umeainisha list ya Mabazazi maarufu.. Hao jamaa ni msala aisee
basi sitaki tena
Muulize Mentor anamfaham!!
mwallu mtawa hii sikudhani kama inakuhusu:disapointed:...au umemaanisha kushukuru kwa ajili ya kwenda kuwaelimisha vijana wa parokia!??daaah..ama kweli ni vyema kua makini kila mahali,kila wakati na kwa kila mtu ...asante Mentor kwa kutukumbusha tena
maisha tunayapenda sana...
Mbona wamtaja sana tu kwenye simulizi zako :A S 39:?We unalo utake usitake!!Mi thimo!:tape:
Eti mamii huyo daktari anapatikana wapi. Kuna kabinti huku ndani nataka anisaidie kukapimamo. Ukaguzi umekuwa mgumu sana kwa haka kabinti.
Na hili ndilo neno la Mungu.
Am glad u learned
something...umenionelea wapi Blue G naye asome
hapa?
MSeush, better b a fool before people..lakini
uishi kwa raha n stress free!
Poa mkuu nangojea PM yako..au wewe ndo mdau wa gazeti la champions nini?
Nicas huyu wa kwenye hadithi hii siyo 'mangi' andhani ndiyo maana
aliamua kuchukua hatua hii.
Mbe kwanza unaanzaje kuitoa na sox mbe, na iheshimiwe na watu wote...Cc:
Kaizer
Akawasahau silent killers: Filipo na
LiverpoolFC
Kweli mkuu acha kabisa...
Mi thimo!:tape:
mwallu mtawa hii sikudhani kama
inakuhusu:disapointed:...au umemaanisha kushukuru kwa ajili ya kwenda
kuwaelimisha vijana wa parokia!??