Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
duh nimechokaje Broo? inabidi nipunguze genye mshindo!
Mbe" Mentor mananasi mengi mjini hapa yameoza kwa ndani ile nje mambo safi
Mbe" Hapana pima umbali kwa macho,
Ila mwambie Nicas anaweza kulala na bundi akaamka mwenye bahati..
Story nzuri inafundisha! Maplayer sasa watakuwa macho!
Noted with thanks na kwa masikitiko makubwa....
Manake kinga huwa siizingatii hasa nikishajiridhisha kuwa kilicho mbele yangu ni pure seal.. :A S-confused1:
Story nzuri inafundisha! Maplayer sasa watakuwa macho!
Naona umewataja wenzako..vizuri kabisa.
Vitu laini sishushi hadi muache ubazazi.
umetisha sana Mentor you are the best composer MMU,sijaona the crown is yours
Mwe umenikumbusha Dr.chrispin!nimekusikia Mentor najali sana afya yangu kuliko chochote kingine!
umesahau kuwaambia jinsi mimi na wewe tunavyogongana kavuuuuuuuuu! watuwache hubby wangu, tena watupe pumzi! nakupendajeeeeee??
nitarudi kuisoma kwa uzuri baadae
Mentor I hope my man is fine.......naomba umsalimie sana
Mbe! We 'tutusa' kututisha kila siku ndio nini?
Hahahahahahahahahaaaaaaa!
Mbe" Nicas hakuwa na bastola?
Ni story mwafaka hasa kipindi hiki kuelekea siku ya ukimwi duniani.
Nicas ni msukuma mshamba au umtetee kwa kuwa amezaliwa Moshi na kukua moshi...huenda Umushi ulimuingia....lakini hii stori mbona kama inathibitisha ukweli ule ule wachaga wakizinguliwa mbe WANAJIDHURU?aidha kwa manati ya kizungu,sumu,knife ,suicide etc!!refer "mushilization and ufosarolization"
mkuu ujumbe umefika, maswala ya kufanya tathmini kwa macho na kwenda dry sasa mwisho.
SMU nashukuru....i will think of it mkuu.Mentor ,simulizi nzuri sana hii na funzo ndani yake. Ni muandishi/mtunzi/msimulizi mzuri sana. Kama bado hujaanza kuandika vitabu, jaribu kufikiria kufanya hivyo.
Haya mambo uyasikie na kuyasoma tu kama story usiombe yakukute/yakutokee! EE MOLA TULINDE WATU WAKO! Mentor usiache kwenda kumtia moyo Nicas!
Mbe...umeniweka kundi gani hili.