Nanasi Lililoozea Ndani...

Nanasi Lililoozea Ndani...

Join Date : 8th March 2008
Location : Psychiatric Ward
Posts : 27,725
Rep Power : 257486

Likes Received16801

Likes Given23669


kweli unastahili kupokea tuzo ya utabibu mwaka huu



Aisee....

Hebu pitieni hapo Manispaa ya Kinondoni mchukue greda lije linizoe na kunipeleka angaza nikapime mie....

Msijidanganye kwa akili na nguvu za binadamu mnaweza kunishawishi nikaenda kwa hiari kupima.

Mi naamini tu maadam wife yuko salama basi nami niko salama. Kupima NEHI!!

Baada ya kusema hayo, nawashaurini vijana, hasa wewe Mentor na Nicas Mtei, acheni ngono zembe.... If you wanna fu.k then fu.k responsibly.

Ni mimi babu yenu ODM nikiwaleteeni hii injili tokea kaunta ya juu, Fesibuku Pub.
 
hii stori inahuzunisha, ogopesha na inatia simanzi kabisa
vitu vinavyoonesha kwa nje ni vizuri kumbe ndani ni muozo
si rahisi kufikiria ukadhani umepata kumbe umepatikana
mkuu Docta babu Asprin kuwa macho
kaka yangu Bujibuji take care kwa jambo hili
 
Last edited by a moderator:
umesahau kuwaambia jinsi mimi na wewe tunavyogongana kavuuuuuuuuu! watuwache hubby wangu, tena watupe pumzi! nakupendajeeeeee??

Sasa ulivokuwa mtamu nitumie tena kondom. Achaga tu nikanyagemo hayo manyaya. Watuwaaache mpk wakome
 
This's so vivid...kuna asilimia fulani ya vijana wa kike na kiume wanaishi na HIV ka maambukizi wakati wa kuzaliwa.
 
Mwe umenikumbusha Dr.chrispin!nimekusikia Mentor najali sana afya yangu kuliko chochote kingine!

Eti mamii huyo daktari anapatikana wapi. Kuna kabinti huku ndani nataka anisaidie kukapimamo. Ukaguzi umekuwa mgumu sana kwa haka kabinti.
 
Last edited by a moderator:
[FONT=century
gothic]NB: Hadithi hii ni ya kweli. Majina na mahali vimebadilishwa ili
kuficha uhalisia wa wahusika. KWa namna yeyote ile, hadithi hii
haiwahusu Nicas Mtei wala
brenda18, ni kufanana tu kwa majina!

Dr. Riwa, Preta na
MziziMkavu: naomba mtupe takwimu za prevalence
ya UKIMWI kwa vijana wenye umri kati ya 25 kurudi chini.
Mtambuzi, Asprin,
Kaizer, Bazazi,
KakaKiiza, Jiwe
Linaloishi
, Kipaji Halisi,
Vin Diesel, TANMO na
mabazazi wote...chungeni. Ikibidi sana hadi 'seal' itolewe kwa kinga.


Ndugu zangu: Mashaxizo,
mwekundu, Rural
Swagga
, Himidini,
Mapi, Mshinga
...kuweni waangalifu.

Dadaz: mwallu, Mwalu,
Heaven on Earth,
Smile, miss chagga,
beibe nasty, mimi49,
et al...sio kina brenda tu. Hata kina Chrispin wapo wa namna hii.
gfsonwin, Paloma,
Madame B, cacico,
snowhite, farkhina,
Dark City, watu8, et
al chungeni watoto wenu!!!

[/FONT]
BEWARE...AIDS
IS REAL...


i heard u kaka....loud and clear!
 
Last edited by a moderator:
Binti mzuri sana, mrembo, wife material, msomi, pole sana kwa binti!
Ila huyo mkware akome uzinzi! Mungu hamlindi mzinifu!
Kamnywesha mapombe ili agegede kiulaini, akome, salamu ziwafikie wapenda bikra wote....
 
Sasa ulivokuwa mtamu nitumie tena kondom. Achaga tu nikanyagemo hayo manyaya. Watuwaaache mpk wakome
the first game was awesome! will never forget! bby u r the best! mwahhhhhhhhh!
 
i heard u kaka....loud and clear!

Sina maana hiyooooooo...sawa mdogo wangu!??

Binti mzuri sana, mrembo, wife material, msomi, pole sana kwa binti!
Ila huyo mkware akome uzinzi! Mungu hamlindi mzinifu!
Kamnywesha mapombe ili agegede kiulaini, akome, salamu ziwafikie wapenda bikra wote....

Emirates4, Uihukumu usije ukahukumiwa!!!!

Oooh mbe...shikeiya

Haika wawae..!

hivi maplayer ni akina nani? Maana wote tunanyoosha vidole....

Nimewataja kwenye post #2 na hawa wengine ni nyongeza: Nyani Ngabu, Bujibuji, Mr Rocky, Judgement, Erickb52, Baba V, et al...

Mie napita tu hapa

Umepita na viatu vichafu!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli my dia....nitaongea naye baadaye jioni nijue pia majibu yake yakoje.

Btw, naomba date nyingine...ila zis taimu donti kipu mi weiting at one coconut laiki lasti taimu.[/QUOTE]



donti wori zis time utaniweiti kituo cha daladala naamini hutakuwa bored maana utehesabu magari na kujua aina zake ili utakapokuwa tayari kuninunulia nikikutajia jina tu utalijua.....:clock::clock::clock:
 
Meku, una ukrasa kwa bwana champion? Kama huna, fanya hima akupe ukrasa
 
Ama kwa hakika hadithi hii inafundisha sana kwa wote wenye tabia hizo za UKWERE.Lakini kwa wote ni kisa kizuri kutafakari mwelekeo wetu sote.Asante mleta mada
 
Back
Top Bottom