Namzimikia Lizzy wa JF!

Nitaweza, kama ni lubisi natoa, kama ni ng'ombe natoa, kama ni hela natoa, kama ni mbege natoa, kama ni wanzuki natoa, kama ni ulaka natoa! kama ni senene natoa, sema sasa nini nitashindwa?

duhhhh
Kama una uwezo wa kutoa ulivyotaja
uwezo wa kutoa mahari inayotakiwa huna...
 
fyuuuuufuu sasa naanza kupumua tena, maana duuhh
nlipoteza hewa kidoncho, we si unamjua mazaa na kibwebwe
usimfanya akabeba malapa mkononi kama kipindi kile chaa vijidudu..

Hahaahha. . . .ungeenda kunishtakia ehhh? Maana we huchelewi.
 
a.k.a Roll your own! Hainaga shida hiyo ila kwa mtindo huo sidhani kama anaweza kukusoma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom