Namzimikia Lizzy wa JF!

Namzimikia Lizzy wa JF!

jamani kwa nini tu nkutanie dear..
Lizzy ni mdogo wangu kabisa I'm sorry to say hakutaki ..
nimejuaje , kaniambia.. see you later ..

Hahahahahahha.
Asante Kurwa. . . you are the best twin sister I could ever have.
 
dah!! Kila la kheri..jaribu bahati yako pm kwa sana tu huwezi jua
 
jamani kwa nini tu nkutanie dear..
Lizzy ni mdogo wangu kabisa I'm sorry to say hakutaki ..
nimejuaje , kaniambia.. see you later ..

Loh, jamani, mi ni dada yao mkubwa Lizzy na Afrodenzi....Lizzy amesema, anzisha thread nyingine ueleze zaidi kuhusu wewe!
 
Hahahahaha . . . . Dearest hujatulia wewe.

Ni kweli dearest, kutokutulia ndo sifa yangu kuu.. AD amempa mno kavu kaka wa watu, na unajua suicide rate zinaongezeka kila kukicha, nimeona nitumie tu hekima kumpa walau nafasi ya kutoa sifa zake ili uone....lol
 
​Naona siku hizi humu JF mambo ni kuzimikiana tu. Mpaka 2012 iishe tutayasoma mengi.
 
Ni kweli dearest, kutokutulia ndo sifa yangu kuu.. AD amempa mno kavu kaka wa watu, na unajua suicide rate zinaongezeka kila kukicha, nimeona nitumie tu hekima kumpa walau nafasi ya kutoa sifa zake ili uone....lol
Ukimlegezea kamba atadhani ndio amepata 'go ahead' dearest. . . . shauri lako. Ngoja aniibe alafu aseme "dadake mkubwa alinikubalia."
 
Kweli kuna watu hawajuikusoma alama za wakati, and maybe hata kusoma tu!
wakati yeye anatafuta gentleman wewe unakuja kurusha uzi, bila hata kuzingatia zile hint zote alitoa kule?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom