Namzimikia Lizzy wa JF!

Namzimikia Lizzy wa JF!

Hahahaha. . .
Kweli kabisa Cheusie. . . sio wanatumia tu majina yetu kujifaidisha , tena bila hata ruhusa.

tena nahisi huyu ni mtu wa marketing maana kwa hali iliyopo chit chat kajua neno lizzy likionekana tu lazima watu mbio wachungulie kuona kuna nin.msamehe bure siku nyingine akitumie hii logo bila idhin itabid apate mashitaka.
 
Hahaha. . . mjanja kweli.
Ila nikimpa umaarufu lazima ataulipia tu. . . .we ngoja.
Hahahahahahah!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Nitakugongea like 10000000........................!!!!!!!!!
 
tena nahisi huyu ni mtu wa marketing maana kwa hali iliyopo chit chat kajua neno lizzy likionekana tu lazima watu mbio wachungulie kuona kuna nin.msamehe bure siku nyingine akitumie hii logo bila idhin itabid apate mashitaka.
We mwache tu achekelee sasa hivi. . . .
 
hahahahahahah Mahari ya kwetu utaweza mkuu..??
Doto itabidi niongee na wewe kwa herufi kubwa...
 
Naona mchezo wa kujianzishia sred alafu unajijibu sasa umepamba moto,tena unaanza kuchukua sura ya kibiashara.
 
hahahahahahah Mahari ya kwetu utaweza mkuu..??
Doto itabidi niongee na wewe kwa herufi kubwa...

Kurwa acha kabisa, this was heaven sent. Nilikua nimenuna sasa nacheka, ila huko kwenye mahari hatufiki hata aniendee kwa mganga.
 
hahahahahahah Mahari ya kwetu utaweza mkuu..??
Doto itabidi niongee na wewe kwa herufi kubwa...
Nitaweza, kama ni lubisi natoa, kama ni ng'ombe natoa, kama ni hela natoa, kama ni mbege natoa, kama ni wanzuki natoa, kama ni ulaka natoa! kama ni senene natoa, sema sasa nini nitashindwa?
 
Kurwa acha kabisa, this was heaven sent. Nilikua nimenuna sasa nacheka, ila huko kwenye mahari hatufiki hata aniendee kwa mganga.

fyuuuuufuu sasa naanza kupumua tena, maana duuhh
nlipoteza hewa kidoncho, we si unamjua mazaa na kibwebwe
usimfanya akabeba malapa mkononi kama kipindi kile chaa vijidudu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom