Namzimikia Lizzy wa JF!

hehehe jf imekucha.
ww unajipromote tu wenye nia kweli wananyoosha moja kwa moja pm wakifika huku wanajikausha kimya.
itabia macelebu wa jf lol tukatie majina yetu haki miliki mtu akitaka kutumia jina cheusi bila malipo anapigwa fine.
 
Niambie mkubwa swalama?
 
Acha kumpotosha kijana wa watu. . . .

Hakuna cha mtu kupotoshwa hapa! Kuna tetesi ulikwenda kwa Babu na uliposhika kikombe ukaomba BAHATI (Fortune) sasa hayo ndiyo matokeo ya kikombe! But kama tetesi ni za kweli.
 
hehehe jf imekucha.
ww unajipromote tu wenye nia kweli wananyoosha moja kwa moja pm wakifika huku wanajikausha kimya.
itabia macelebu wa jf lol tukatie majina yetu haki miliki mtu akitaka kutumia jina cheusi bila malipo anapigwa fine.
cheusi cheusi mangala!! sema king'amuzi changu kimemuona Lizzy! Subiri zamu yako siku nyingine.
 
hehehe jf imekucha.
ww unajipromote tu wenye nia kweli wananyoosha moja kwa moja pm wakifika huku wanajikausha kimya.
itabia macelebu wa jf lol tukatie majina yetu haki miliki mtu akitaka kutumia jina cheusi bila malipo anapigwa fine.

Hahahaha. . .
Kweli kabisa Cheusie. . . sio wanatumia tu majina yetu kujifaidisha , tena bila hata ruhusa.
 
Hakuna cha mtu kupotoshwa hapa! Kuna tetesi ulikwenda kwa Babu na uliposhika kikombe ukaomba BAHATI (Fortune) sasa hayo ndiyo matokeo ya kikombe! But kama tetesi ni za kweli.
Loh. . . kama bahati yenyewe ndio iko hivi bora nikamwambie babu aichukue. Siitaki mie.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom