ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,590
Huyu jamaa hamjui naongeza idadi ya Post ili awe Premium!
kumbe ndio zakeee 🙂
Huyu jamaa hamjui naongeza idadi ya Post ili awe Premium!
ushauri: chukua avatar yake nenda kaoge nayo..
Kumbe hamjui maana ya premium!kumbe ndio zakeee 🙂
Kweli ushauri mbaya, maana anataka nikapige..... bafuni! mi huwa nasali sana, sipendi hayo mambo.Wewe. . .Unataka anichafulie avatar yangu?
Akiitumia nabadilisha.
Naona mchezo wa kujianzishia sred alafu unajijibu sasa umepamba moto,tena unaanza kuchukua sura ya kibiashara.
We mlokole?Kweli ushauri mbaya, maana anataka nikapige..... bafuni! mi huwa nasali sana, sipendi hayo mambo.
Kweli ushauri mbaya, maana anataka nikapige..... bafuni! mi huwa nasali sana, sipendi hayo mambo.
Ninapinga, Lizzy na mimi ni watu tofauti kabisa. Ila sema namzimikia, sema hata wewe ndetichia ungekuwa mrembo ningeweza labda kutupa ndoana yangu kwako,kheee eti nini? eboo :shock: 😕
Kumbe hamjui maana ya premium!
Ushauri mbaya ni mbaya tu. Ila sema binti mwenyewe bado mgumu kwelikweli!wewe umehitaji ushauri umepatiwa unakataa haya kila la kheli..
Mh...........!!!!!!!!! basi tu, wacha nilale!We mlokole?
Ninapinga, Lizzy na mimi ni watu tofauti kabisa. Ila sema namzimikia, sema hata wewe ndetichia ungekuwa mrembo ningeweza labda kutupa ndoana yangu kwako,
Inaonekana huyu mwanaJF anaishi kwa imagination!
Ushauri mbaya ni mbaya tu. Ila sema binti mwenyewe bado mgumu kwelikweli!
Acha wivu. . . kama na wewe unataka sema uanzishiwe.
Acha atumie KY, maana jana tuliambiwa hapa kuwa kazi ya KY ni kulainisha vitu vigumumlainishe kwa grisi
anaipenda kweli
Si unajua lazima ajifanye mgumu mgumu, ila nadhani cheusimangala na afrodenzi watanisaidia kumlainisha maana domo langu kidogo lina kokoto nyingi.labda anaogopa utamchezea kiduku kama mkuu wa kaya IMO..
Pole stomach! siku nyingi, hivi ulishapona?
Mh...........!!!!!!!!! basi tu, wacha nilale!